Watanzania msidharau dawa za asili
Ujio wa ukoloni umeathiri sana mwenendo mzima wa hali ya afya kwa Waafrika wengi. Mojawapo wa athari za ujio huu ni kupandikizwa katika akili za Waafrika dhana kuwa kila kitu kilicho cha asili ni kibaya na hakina budi kuachwa. Kwa mfano chakula cha asili, nyumba za asili, mavazi ya asili, dawa za asili na hata tabia na mienendo ya asili.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo05 Mar
Wauzaji dawa za asili wabanwa
SERIKALI imesisitiza kuwa dawa zote za tiba asilia ama za kisasa, zinatakiwa kufuata taratibu zote za kuziingiza hapa nchini, tofauti na hapo ni uvunjaji wa sheria.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-fz6RzY9NaXk/U3nQGN-KzQI/AAAAAAAFjo0/wtpo_gDsCqY/s72-c/MMGN7346.jpg)
DUKA LA DAWA ZA ASILI LILALOTEMBEA
![](http://3.bp.blogspot.com/-fz6RzY9NaXk/U3nQGN-KzQI/AAAAAAAFjo0/wtpo_gDsCqY/s1600/MMGN7346.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima14 Jun
MSD watakiwa kununua dawa asili
CHAMA cha Watabibu wa Dawa Asilia Tanzania (ATME) kimeitaka Bohari ya Dawa (MSD), kujenga mazoea ya kununua dawa asili, ili ziweze kutumika sambamba na dawa nyingine katika vituo vya afya...
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
Tanzania, China kuboresha dawa za asili
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, imeanzisha ushirikiano wa dawa za asili na Chuo cha Henan cha nchini China kinachojishughulisha na dawa hizo. Hatua hiyo imefikiwa baada...
11 years ago
Mwananchi16 May
Madhara ya kuchanganya dawa za hospitali na za asili
11 years ago
BBCSwahili30 Apr
Lishe asili ni dawa ya wagonjwa wa moyo
10 years ago
Habarileo02 Apr
China, Tanzania kusaini utafiti dawa asili
TANZANIA na China leo wanatia saini Mkataba wa Makubaliano wa kuendeleza na kufanya utafiti wa matumizi ya dawa za asili kwa ajili ya tiba ya magonjwa ya mbalimbali ya binadamu nchini.
11 years ago
Dewji Blog22 May
Asilimia 60 ya watanzania kutumia tiba asili-WHO
Mlezi wa Chama Cha Utabibu wa Dawa Asilia Tanzania (ATME), Kingunge Ngombale (kushoto), akifungua mafunzo kwa wahariri na waandishi wa vyombo vya habari kuhusu tiba asilia, katika ukumbi wa mikutano NIMR jijini Dar es Salaam,ambapo amewataka Watanzania kuondokana na imani potofu dhidi ya tiba asili na badala yake watumie ili kupona maradhi mbalimbali yanayowakabili (kulia),Mwenyekiti wa Chama cha Utabibu wa Dawa Asili Tanzania (ATME), Bw.Simba Abdulrahmani.
Na Damas Makangale, MOblog...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ugHb9t1tiNY/XuIvGNkNsiI/AAAAAAAEHws/4X2aVxgATicnZGwIwyqm_htZCqO4U7BxACLcBGAsYHQ/s72-c/12.jpg)
Rais Magufuli aitaka Wizara ya Afya kuongeza bajeti katika dawa za asili
![](https://1.bp.blogspot.com/-ugHb9t1tiNY/XuIvGNkNsiI/AAAAAAAEHws/4X2aVxgATicnZGwIwyqm_htZCqO4U7BxACLcBGAsYHQ/s640/12.jpg)
Rais Magufuli ametoa kauli hiyo leo jijini Dodoma wakati akizindua Jengo la Ofisi za TARURA zilizojengwa kwenye mji wa Mtumba.
"Nimeshatoa maelekezo kwa Wizara ya Afya, kile kitengo cha dawa asili kiendelezwe kwa nguvu zote na bajeti iongezwe ili watu...