Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Asilimia 60 ya watanzania kutumia tiba asili-WHO

2

Mlezi wa Chama Cha Utabibu wa Dawa Asilia Tanzania (ATME), Kingunge Ngombale (kushoto), akifungua mafunzo kwa wahariri na waandishi wa vyombo vya habari kuhusu tiba asilia, katika ukumbi wa mikutano NIMR jijini Dar es Salaam,ambapo amewataka Watanzania kuondokana na imani potofu dhidi ya tiba asili na badala yake watumie ili kupona maradhi mbalimbali yanayowakabili (kulia),Mwenyekiti wa Chama cha Utabibu wa Dawa Asili Tanzania (ATME), Bw.Simba Abdulrahmani.

Na Damas Makangale, MOblog...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BARAZA LA TIBA ASILI, MBADALA LAPIGA MARUFUKU MATANGAZO NA VIPINDI VYA TIBA HIYO

Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Profesa Rogassian Mahunnah. Kutoka kushoto ni Kaimu Msajili wa tiba Asili Mboni Bakari, Mwenyekiti, Profesa Rogassian Mahunnah na Mfamasia Lucy Samweli. BARAZA hilo limesema halitambui vipindi na matangazo yote ya tiba asili na tiba mbadala yanayoendelea kwa sasa kwenye vyombo vya habari… ...

 

9 years ago

StarTV

Ukosefu wa vifaa tiba hospitali wachangia watu kutumia tiba za jadi.

Ongezeko la ugonjwa wa Malaria na U.T.I kwa wananchi wanaoishi vijijini na idadi ndogo ya madaktari nchini ni baadhi ya sababu zinazochangia kwa kiasi kikubwa wagonjwa wengi kukimbilia kwa waganga wa tiba za jadi kupata matibabu licha ya magonjwa hayo kuwa na tiba za uhakika Hospitali na kwenye vituo vya Afya.

Tiba ya Asili ilipitishwa na Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2002 baada ya sheria namba 23 ya Tiba Mbadala kupitishwa.

Katika Kituo cha Afya cha Jamii Mjini Kahama,...

 

10 years ago

Habarileo

Tiba Asili walaani mauaji ya albino

SHIRIKISHO la Vyama vya Tiba Asili Tanzania limelaani mauaji wanayofanyiwa walemavu wa ngozi, vikongwe na kunajisi watoto yanayofanyika kwa baadhi ya mikoa ya Kanda ya Ziwa.

 

9 years ago

Habarileo

Waganga tiba asili waagizwa kujisajili

BARAZA la tiba asili na tiba mbadala limetakiwa kuhakikisha waganga wote wanaotoa huduma kwa wateja wanasajiliwa ili kuepuka udanganyifu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maonyesho tiba asili kufanyika Dar

MAONYESHO ya Biashara ya Kimataifa ya Tiba Asili ya Mwafrika yamepangwa kufanyika jijijini Dar es Salaam kuanzia Novemba 16 hadi 23 katika viwanja vya Mnazi Mmoja. Maonyesho hayo ambayo yanafanyika...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maonyesho tiba asili chachu ya matibabu

MAONYESHO ya Biashara ya Kimataifa ya Tiba Asili ya Mwafrika yanatarajiwa kufanyika kati ya Novemba 16 hadi 23 mwaka huu, kutafanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. Maonyesho...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania:Matangazo tiba asili marufuku

Baraza la tiba asili na tiba mbadala Tanzania limesitisha vibali vya kurusha matangazo kwenye vyombo vya habari

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Onyesheni tiba asili zenye ubora’

WASHIRIKI katika maonyesho ya biashara ya kimataifa ya Tiba Asili ya Mwafrika yanayotarajiwa kuanza Novemba 16 hadi 23 mwaka huu, wametakiwa kuonyesha bidhaa bora zitakazoleta ushindani katika soko la Tiba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani