Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maonyesho tiba asili kufanyika Dar

MAONYESHO ya Biashara ya Kimataifa ya Tiba Asili ya Mwafrika yamepangwa kufanyika jijijini Dar es Salaam kuanzia Novemba 16 hadi 23 katika viwanja vya Mnazi Mmoja. Maonyesho hayo ambayo yanafanyika...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAONYESHO YA TIBA ASILI KIMATAIFA KUFANYIKA MNAZI MMOJA DAR ES SALAAM KUANZIA ALHAMISI HII


MAONYESHO ya Biashara ya Kimataifa ya Tiba Asili ya Mwafrika yamepangwa kufanyika jijini Dar es Salaam katika Viwanja vya Mnazi Mmoja kuanzia Novemba 16 hadi 23. 
Maonyesho hayo ambayo yanafanyika nchini kwa mara ya kwanza yameandaliwa na Jukwaa la Tiba Asili Tanzania kwa kushirikiana na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii na Mamlaka ya ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE). Mwenyekiti wa Kamati ya Manndalizi ya Maonyesho hayo, Boniventure Mwalongo alisema jijini Dar es Salaam jana kuwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maonyesho tiba asili chachu ya matibabu

MAONYESHO ya Biashara ya Kimataifa ya Tiba Asili ya Mwafrika yanatarajiwa kufanyika kati ya Novemba 16 hadi 23 mwaka huu, kutafanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. Maonyesho...

 

10 years ago

GPL

BARAZA LA TIBA ASILI, MBADALA LAPIGA MARUFUKU MATANGAZO NA VIPINDI VYA TIBA HIYO

Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Profesa Rogassian Mahunnah. Kutoka kushoto ni Kaimu Msajili wa tiba Asili Mboni Bakari, Mwenyekiti, Profesa Rogassian Mahunnah na Mfamasia Lucy Samweli. BARAZA hilo limesema halitambui vipindi na matangazo yote ya tiba asili na tiba mbadala yanayoendelea kwa sasa kwenye vyombo vya habari… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Maonyesho ya miradi ya kibiashara kufanyika Dar

Dar es Salaam. Ushindani wa biashara unaozidi kukua kila siku umepelekea Kampuni ya East Afrika Unique (TIPEC), kubuni na kupanga maonyesho ya kukuza uwekezaji kwa wafanyabiashara wa hapa nchini ili kuweka msukumo zaidi kwenye uwekezaji.

 

9 years ago

Dewji Blog

Maonyesho ya Mavazi Kuhamasisha Amani Tanzania kufanyika Oktoba 17 Dar

20151006142603450_640_905_1_0

FASHION FOR PEACE: Fashion Show on Saturday 17th October at 8PM at King Solomon Hall (Behind Eaters Point, Namanga) Dar es Salaam, Tanzania.

GET YOUR TICKET: +255767123055 www.mustafahassanali.net

 

 

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania:Matangazo tiba asili marufuku

Baraza la tiba asili na tiba mbadala Tanzania limesitisha vibali vya kurusha matangazo kwenye vyombo vya habari

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Onyesheni tiba asili zenye ubora’

WASHIRIKI katika maonyesho ya biashara ya kimataifa ya Tiba Asili ya Mwafrika yanayotarajiwa kuanza Novemba 16 hadi 23 mwaka huu, wametakiwa kuonyesha bidhaa bora zitakazoleta ushindani katika soko la Tiba...

 

9 years ago

Habarileo

Waganga tiba asili waagizwa kujisajili

BARAZA la tiba asili na tiba mbadala limetakiwa kuhakikisha waganga wote wanaotoa huduma kwa wateja wanasajiliwa ili kuepuka udanganyifu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani