MAONYESHO YA TIBA ASILI KIMATAIFA KUFANYIKA MNAZI MMOJA DAR ES SALAAM KUANZIA ALHAMISI HII
MAONYESHO ya Biashara ya Kimataifa ya Tiba Asili ya Mwafrika yamepangwa kufanyika jijini Dar es Salaam katika Viwanja vya Mnazi Mmoja kuanzia Novemba 16 hadi 23.
Maonyesho hayo ambayo yanafanyika nchini kwa mara ya kwanza yameandaliwa na Jukwaa la Tiba Asili Tanzania kwa kushirikiana na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii na Mamlaka ya ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE). Mwenyekiti wa Kamati ya Manndalizi ya Maonyesho hayo, Boniventure Mwalongo alisema jijini Dar es Salaam jana kuwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima17 Oct
Maonyesho tiba asili kufanyika Dar
MAONYESHO ya Biashara ya Kimataifa ya Tiba Asili ya Mwafrika yamepangwa kufanyika jijijini Dar es Salaam kuanzia Novemba 16 hadi 23 katika viwanja vya Mnazi Mmoja. Maonyesho hayo ambayo yanafanyika...
10 years ago
Dewji Blog23 Apr
Maadhimisho siku ya Malaria duniani kitaifa kufanyika Mnazi mmoja jijini Dar Es Salaam
Mkuu wa wilaya ya Ilala Bw. Raymond Mushi akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kuhusu maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani mwaka 2015 alipokutana na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yanalenga kuwakumbusha na kuwaelimisha wananchi juu ya athari za Malaria na mbinu za kukabiliana na ugonjwa huo.
Na Mwandishi Wetu, Dar es salaam
Tanzania itaungana na mataifa mengine kuadhimisha Siku ya Malaria duniani Aprili 25 mwaka huu ili kutathmini...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-o21JUDlXfBE/VTlSFVAgAzI/AAAAAAAHS0s/bPSpgIv0snw/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
MAADHIMISHO SIKU YA MALARIA DUNIANI KITAIFA KUFANYIKA MNAZI,MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM
Mkuu wa wilaya ya Ilala Bw. Raymond Mushi akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kuhusu maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani mwaka 2015, leo jijini Dar es salaam amesema maadhimisho ya mwaka huu yanalenga kuwakumbusha na kuwaelimisha wananchi juu ya athari za ugonjwa wa Malaria...
10 years ago
VijimamboBOHARI YA DAWA (MSD) YASHIRIKI MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
9 years ago
VijimamboMAADHIMISHO YA SIKU YA WATU NA WATOTO WENYE MTINDIO WA UBONGO KUFANYIKA OKTOBA 7, 2015 VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
VijimamboMAMIA WAFURIKA BANDA LA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF), KUPIMA AFYA ZAO KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
Dewji Blog17 Apr
Dkt. Bilal atembelea kukagua mabanda ya maonyesho ya sherehe za Muungano Mnazi Mmoja Jijini Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kuhusu Chungu na Vibuyu, vilivyotumika kuchanganya Udongo wa Tanganyika na Zanzibar, mwaka 1964, kutoka kwa Mawazo Ramadhan wa Makumbusho ya Taifa, wakati alipotembelea kwenye Banda la Idara ya Muungano Ofisi ya Makamu wa Rais, alipotembelea maonyesho ya Sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. (Picha na OMR).
Makamu wa...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-MTep7JVeEJY/U9JuFoKAcNI/AAAAAAAF6UM/EvLHLErVSbA/s72-c/0L7C0126.jpg)
KIKWANGUA ANGA KIPYA MNAZI MMOJA, DAR ES SALAAM
![](http://1.bp.blogspot.com/-MTep7JVeEJY/U9JuFoKAcNI/AAAAAAAF6UM/EvLHLErVSbA/s1600/0L7C0126.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-k9768ySxnug/U9JursVjLVI/AAAAAAAF6UY/OqcnviHiuK0/s1600/0L7C0257.jpg)
10 years ago
GPLMAMIA WAFURIKA BANDA LA NHIF, KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR