Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIKWANGUA ANGA KIPYA MNAZI MMOJA, DAR ES SALAAM

Kikwangua anga kipya katika barabara ya Lumumba na pembeni mwa Busatani ya Mnazi Mmoja garden jijini Dar es salaam ambalo limelipiku jengo konge la Ushirika (juu kulia) ambalo miaka ya nyuma ndilo lilikuwa linaongoza kwa urefu jijini Dar es salaam.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BARAZA LA USHAURI LA WATUMIAJI USAFIRI WA ANGA TCAA-CCC WASHIRIKI KIKAMILIFU WIKI YA UTUMISHI WA UMMA MNAZI MMOJA DAR ES SALAAM

Kikosi kazi cha Watumishi wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafiri wa Anga (TCAA-CCC) wakiwa tayari kutoa huduma kwa wageni mbalimbali watakaotembelea banda hilo katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Athuman Bakari, Aziza Tamim na Debora Mligo. Watumishi wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafiri wa Anga (TCAA-CCC)wakitoa huduma kwa wageni mbalimbali waliotembelea banda hilo leo.
 Katibu Mtendaji wa Baraza...

 

10 years ago

Dewji Blog

Baraza la ushauri la watumiaji usafiri wa Anga TCAA-CCC washiriki kikamilifu wiki ya Utumishi wa Umma Mnazi Mmoja Dar

048A2694

Watumishi wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafiri wa Anga (TCAA-CCC)wakitoa huduma kwa wageni mbalimbali waliotembelea banda hilo leo.

Kikosi kazi cha Watumishi wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafiri wa Anga (TCAA-CCC) wakiwa tayari kutoa huduma kwa wageni mbalimbali watakaotembelea banda hilo katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam leo. Kutoka kushoto ni Athuman Bakari, Aziza Tamim na Debora Mligo.

Katibu Mtendaji wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2015 YAENDELEA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM

Mchumi Idara ya Maendeleo ya Sekta Binafsi, Uwekezaji na Uwezeshaji, Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Octavian Rutta akizungumza na TBC1 kuhusu masuala ya Uwekezaji na Uwezeshaji wakati wa Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam. Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

11 years ago

Michuzi

DKT BILALI AONGOZA SWALA YA IDDI KITAIFA MNAZI MMOJA DAR ES SALAAM LEO

 Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal (nyuma ya Shehe anayeswalisha) akijumuika na waumini wa Kiislamu kwa Swala ya Iddi Kitaifa iliyofanyika katika Bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam asubuhi ya leo.Sehemu ya waumini wa Kiislamu katika Swala ya Iddi Kitaifa iliyofanyika katika Bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam asubuhi ya leo.

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO SIKU YA MALARIA DUNIANI KITAIFA KUFANYIKA MNAZI,MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM

Tanzania itaungana na mataifa mengine kuadhimisha Siku ya Malaria duniani Aprili 25 mwaka huu ili kutathmini mafanikio ya utekelezaji wa mikakati  mbalimbali ya kupambana na ugonjwa huo hapa nchini.
Mkuu wa wilaya ya Ilala Bw. Raymond Mushi akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kuhusu maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani mwaka 2015, leo jijini Dar es salaam amesema maadhimisho ya mwaka huu yanalenga kuwakumbusha na kuwaelimisha wananchi juu ya athari za ugonjwa wa Malaria...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maadhimisho siku ya Malaria duniani kitaifa kufanyika Mnazi mmoja jijini Dar Es Salaam

DC ILALA -1

Mkuu wa wilaya ya Ilala Bw. Raymond Mushi akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kuhusu maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani mwaka 2015 alipokutana na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yanalenga kuwakumbusha na kuwaelimisha wananchi juu ya athari za Malaria na mbinu za kukabiliana na ugonjwa huo.

Na Mwandishi Wetu, Dar es salaam

Tanzania itaungana na mataifa mengine kuadhimisha Siku ya Malaria duniani Aprili 25 mwaka huu ili kutathmini...

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA YA ANGA LA UPANGA,MNAZI MMOJA NA KARIAKOO MCHANA WA LEO


Pichani ni Mwonekano wa Anga la DSM maeneo ya fire,Mnazimmoja na Upanga.Picha na Sanga festo wa www.sangafesto.blogspot.com

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani