Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DKT BILALI AONGOZA SWALA YA IDDI KITAIFA MNAZI MMOJA DAR ES SALAAM LEO

 Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal (nyuma ya Shehe anayeswalisha) akijumuika na waumini wa Kiislamu kwa Swala ya Iddi Kitaifa iliyofanyika katika Bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam asubuhi ya leo.Sehemu ya waumini wa Kiislamu katika Swala ya Iddi Kitaifa iliyofanyika katika Bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam asubuhi ya leo.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Swala ya Eid El Fitr kitaifa yaswaliwa kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar leo

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohamed Gharib Bilal (katikati),Sheikh Mkuu,Issa Shaaban Simba,Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Sadick na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Sheikh Mussa Salum wakijumuika na Waumini wengine wa Dini ya Kiislam kwenye Swala ya Eid El Fitr iliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam leo.Picha zote na Othman Michuzi.


Sehemu ya Waumini wa Dini ya Kiislam wakiwa kwenye Ibada ya Eid el Fitr katika...

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO SIKU YA MALARIA DUNIANI KITAIFA KUFANYIKA MNAZI,MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM

Tanzania itaungana na mataifa mengine kuadhimisha Siku ya Malaria duniani Aprili 25 mwaka huu ili kutathmini mafanikio ya utekelezaji wa mikakati  mbalimbali ya kupambana na ugonjwa huo hapa nchini.
Mkuu wa wilaya ya Ilala Bw. Raymond Mushi akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kuhusu maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani mwaka 2015, leo jijini Dar es salaam amesema maadhimisho ya mwaka huu yanalenga kuwakumbusha na kuwaelimisha wananchi juu ya athari za ugonjwa wa Malaria...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maadhimisho siku ya Malaria duniani kitaifa kufanyika Mnazi mmoja jijini Dar Es Salaam

DC ILALA -1

Mkuu wa wilaya ya Ilala Bw. Raymond Mushi akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kuhusu maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani mwaka 2015 alipokutana na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yanalenga kuwakumbusha na kuwaelimisha wananchi juu ya athari za Malaria na mbinu za kukabiliana na ugonjwa huo.

Na Mwandishi Wetu, Dar es salaam

Tanzania itaungana na mataifa mengine kuadhimisha Siku ya Malaria duniani Aprili 25 mwaka huu ili kutathmini...

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA SIKU YA MTINDIO WA UBONGO DUNIANI KITAIFA YAFANYIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa Chama cha Wazazi wa Watoto Wenye Ulemavu wa Mtindio wa Ubongo Tanzania (Chawaumiviata), Hilal Said wakati akizungumza na waandishi wa habari katika maadhimisho ya Siku ya Mtindio wa Ubongo Duniani yaliyoadhimishwa viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana. Mzazi mwenye mtoto mwenye changamoto ya maradhi hayo, Titus Chengula akizungumza na waandishi wa habari katika maadhimisho hayo. Hapa wakiwa katika picha ya pamoja.


Na Dotto MwaibaleWAKUU wa Shule mbalimbali wametakiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMA SALMA KIKWETE AONGOZA SIKU YA WANAWAKE VIWANJA VYA MNAZI MMOJA DAR LEO

Mama Salma akipungia washiriki wa matembezi wakati wakiwasili viwanja vya Mnazi MmojaWanawake wa Tanzania leo Jumapili Machi 8, 2015, wameungana na wenzao Duniani kote, kusherehekea siku ya Wanawake Duniani. Kitaifa sherehe hiyo imefanyika mkoani Morogoro, wakati jijini Dar es Salaam, wanawake kutoka wizara, taasisi za umma, halmashauri zote za jiji pamoja na vikundi vya wajasiriamali, walishiriki matembezi kutoka jengo la Ushirika barabara ya Lumumba jijini Dar es Salaam, hadi viwanja vya...

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA KATIKA SIKU YA MWISHO YA MAONESHO YA WIKI YA UTUMISHI MNAZI MMOJA DAR ES SALAAM LEO

 Msanii maarufu wa ngoma za utamaduni Mfalme Siboma akiwa katika banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa alilotembelea katika siku ya mwisho ya Maonesho ya Wiki ya Utumishi katika bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo. Pamoja naye ni wafanyakazi katika banda hilo Wadau wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wakijidai na vyeti vyao vya ushiriki katika siku ya mwisho ya Maonesho ya Wiki ya Utumishi katika bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo. Pamoja naye ni...

 

10 years ago

Vijimambo

BOHARI YA DAWA (MSD) YASHIRIKI MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Ofisa Uhusiano wa MSD, Benjamin Massangya akiwa ndani ya banda la MSD.
Ofisa Uhusiano wa MSD, Benjamin Massangya (kulia), akimuelekeza jambo mwananchi aliyetembelea banda la MSD katika maonyesho hayo yaliyoyoanza leo na kufikia tamati baada ya wiki mojaOfisa Uhusiano Mkuu wa MSD, Etty Kusiluka (kulia), akimuelekeza jambo Mwanahabari aliyetembelea banda la MSD katika maonyesho hayo. Katikati ni Ofisa Udhibiti Viwango na Ubora wa MSD, Betia Kaema.
Ofisa Udhibiti Viwango na Ubora wa MSD, Betia...

 

11 years ago

Michuzi

KIKWANGUA ANGA KIPYA MNAZI MMOJA, DAR ES SALAAM

Kikwangua anga kipya katika barabara ya Lumumba na pembeni mwa Busatani ya Mnazi Mmoja garden jijini Dar es salaam ambalo limelipiku jengo konge la Ushirika (juu kulia) ambalo miaka ya nyuma ndilo lilikuwa linaongoza kwa urefu jijini Dar es salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani