Maonyesho ya miradi ya kibiashara kufanyika Dar
Dar es Salaam. Ushindani wa biashara unaozidi kukua kila siku umepelekea Kampuni ya East Afrika Unique (TIPEC), kubuni na kupanga maonyesho ya kukuza uwekezaji kwa wafanyabiashara wa hapa nchini ili kuweka msukumo zaidi kwenye uwekezaji.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-f4NQ3-9WeqE/VZORHM8YWFI/AAAAAAAHmGM/OD5iD9mH4UE/s72-c/DSC_0158.jpeg)
WIZARA YA FEDHA-IDARA YA BAJETI KATIKA MAONYESHO YA 39 YA KIBIASHARA JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://1.bp.blogspot.com/-f4NQ3-9WeqE/VZORHM8YWFI/AAAAAAAHmGM/OD5iD9mH4UE/s640/DSC_0158.jpeg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-LVY5tIiVxgw/VZOHHUz87CI/AAAAAAAHmFA/zvGIls_i1ts/s640/072.jpeg)
10 years ago
Tanzania Daima17 Oct
Maonyesho tiba asili kufanyika Dar
MAONYESHO ya Biashara ya Kimataifa ya Tiba Asili ya Mwafrika yamepangwa kufanyika jijijini Dar es Salaam kuanzia Novemba 16 hadi 23 katika viwanja vya Mnazi Mmoja. Maonyesho hayo ambayo yanafanyika...
9 years ago
Dewji Blog08 Oct
Maonyesho ya Mavazi Kuhamasisha Amani Tanzania kufanyika Oktoba 17 Dar
GET YOUR TICKET: +255767123055 www.mustafahassanali.net
10 years ago
MichuziMAONYESHO YA TIBA ASILI KIMATAIFA KUFANYIKA MNAZI MMOJA DAR ES SALAAM KUANZIA ALHAMISI HII
MAONYESHO ya Biashara ya Kimataifa ya Tiba Asili ya Mwafrika yamepangwa kufanyika jijini Dar es Salaam katika Viwanja vya Mnazi Mmoja kuanzia Novemba 16 hadi 23.
Maonyesho hayo ambayo yanafanyika nchini kwa mara ya kwanza yameandaliwa na Jukwaa la Tiba Asili Tanzania kwa kushirikiana na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii na Mamlaka ya ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE). Mwenyekiti wa Kamati ya Manndalizi ya Maonyesho hayo, Boniventure Mwalongo alisema jijini Dar es Salaam jana kuwa...
10 years ago
Tanzania Daima26 Sep
Maonyesho ya biashara ya kimataifa kufanyika Mbeya
ZAIDI ya wafanyabishara 200 na kampuni mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali duniani wanatarajia kushiriki maonyesho ya biashara ya kimataifa katika kituo cha Mikutano cha Mkapa eneo la Sokomatola jijini Mbeya. Mwenyekiti...
10 years ago
Dewji Blog14 Dec
10 years ago
MichuziMAONYESHO YA PESA EXPO KUFANYIKA SEPTEMBA MWAKA HUU.
Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.KAMPUNI Exclusive media (T)Ltd ikishirikiana na Qutub Global Ltd kukutanisha Tasisi na Asasi za Kifedha hapa nchini katika maonyesho ya Pesa Expo katika Maonyesho yatafanyika mwanzoni...
10 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/1-2.jpg?width=650)
MAONYESHO YA TAASISI ZA KIFEDHA YA PESA EXPO KUFANYIKA MWEZI SEPTEMBA
11 years ago
Mwananchi30 Jun
UWEKEZAJI: Nagu: Miradi mikubwa kufanyika kwa ubia