Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UWEKEZAJI: Nagu: Miradi mikubwa kufanyika kwa ubia

>Serikali imedhamiria kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo kwa ubia kati ya sekta za umma na binafsi (PPP) ili kufikia malengo ya maendeleo kwa faida ya taifa na watu wake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Magereza waingia ubia kutekeleza miradi mikubwa

KAMISHNA Jenerali wa Magereza nchini (CGP), John Minja, amesema kuwa jeshi hilo kwa sasa limeanza kuingia ubia na baadhi ya kampuni za ndani na nje ya nchi ili kutekeleza miradi...

 

5 years ago

Michuzi

SHINYANGAYATAKIWA KUKAMILISHA MIRADI MIKUBWA KWA WAKATI



Katibu Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Eng. Joseph Nyamhanga kushoto, akimsikiliza Muhandisi wa Halmashauri ya Shinyanga Bw. William Lusiu kuhusu ujenzi wa Hospitali ya Wilaya hiyo jana alipofanya ziara ya Siku moja Mkoani Shinyanga kujionea miradi ya maendeleo inayoendelea Mkoani Shinyanga, katikati ni Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Bw. Albert Msovera.
Katibu Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Eng. Joseph Nyamhanga akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kuhusu ujenzi...

 

11 years ago

Michuzi

Mitaji ya ubia chachu ya maendeleo–Dk. Nagu

Mitaji ya ubia imetajwa kama mpango unaoweza kuongeza nguvu katika miradi ya wafanyabishara nchini na kuchangia uchumi na ustawi wa jamii.  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mary Nagu aliwaambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam hivi karibuni kuwa kukubalika kwa mpango wa mitaji ya ubia ni moja ya utayari wa serikali katika kuweka mazingira ya kuifanya sekta binafsi kuwa injini ya uchumi hapa nchini. “Hiki ni chanzo mbadala cha mitaji ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

MIGA kufadhili miradi mikubwa Tanzania

KITENGO cha Taasisi za Benki ya Dunia kinachodhamini uwekezaji (MIGA) imeanza ziara ya kufadhili miradi mikubwa hapa nchini. Ziara hiyo ya siku mbili imeanza kwa kukutana na wizara za serikali,...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali kuimarisha elimu ya ufundi miradi mikubwa

NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama amesema serikali inafanya uwekezaji wa elimu ya ufundi kwenye maeneo yenye miradi mikubwa kama gesi, makaa ya mawe na yalipogunduliwa madini ya urani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nagu avutia uwekezaji, biashara kutoka Sweden

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mary Nagvu, amesema ujio wa Malkia Mtarajiwa Princess Victoria wa Sweden utasaidia kuitangaza Tanzania kwa wafanyabiashara wa nchi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bagamoyo ina fursa nyingi za uwekezaji — Nagu

MJI wa Bagamoyo umetajwa kuwa ni moja ya maeneo yenye fursa nyingi za  uwekezaji na zinavutia wawekezaji kuwekeza katika sekta mbalimbali ambazo zikitumika ipasavyo zitasaidia mji huo kupiga hatua za...

 

10 years ago

Michuzi

NSSF YAWATEMBEZA WAHARIRI KUONA MIRADI MIKUBWA DAR ES SALAAM

 Meneja Mradi wa Ujenzi wa Daraja la kisasa la Kigamboni, kutoka Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mhandisi Karrim Mataka (kulia), akitoa maelezo ya mradi ujenzi wa daraja hilo kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari, wanaotembelea mradi mbalimbali ya uwekezaji unaofanywa na NSSF. Wa pili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo, Creasentius Magori. Wahariri wa Vyombo vya Habari, wakijaribu kupita kwenye njia ya dharura, kwa ajili ya kuangalia mradi mkubwa wa Ujenzi wa Daraja la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani