Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nagu avutia uwekezaji, biashara kutoka Sweden

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mary Nagvu, amesema ujio wa Malkia Mtarajiwa Princess Victoria wa Sweden utasaidia kuitangaza Tanzania kwa wafanyabiashara wa nchi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

DKT. MPANGO: USHIRIKIANO WA TANZANIA NA SWEDEN USAIDIE BIASHARA NA UWEKEZAJI


Na. Josephine Majura na Peter Haule, WFM, Dodoma

Serikali imesema kuwa Ushirikiano mpya kati ya Tanzania na Sweden unatakiwa kujikita katika biashara na Uwekezaji kuliko ushirikiano wa misaada pekee ili kuisaidia Tanzania kuwa na uchumi endelevu na shirikishi kwa manufaa ya wananchi wa nchi hizo.

Hayo yamesemwa jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, alipokutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Bw. Anders Sjoberg.

Dkt. Mpango alisema kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO (UB) CHATOA MAFUNZO KWA MAOFISA WA SERIKALI KUTOKA NCHI 15 KUHUSU UANDIKAJI WA MIKATABA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA

 Naibu Mkamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo (UB),  anayeshughulikia Masuala ya Fedha, Dk. Elifuraha Mtalo (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoaj na washiriki  wa mkutano kuwajengea uwezo maofisa wa serikali wa kujadili mikataba inayohusu uwekezaji pamoja na biashara, walipotembelea  Ofisi za Chuo Kikuu cha Bagamoyo zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa kuwajengea uwezo maofisa wa serikali kuhusu uandikaji wa mikataba inayohusu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bagamoyo ina fursa nyingi za uwekezaji — Nagu

MJI wa Bagamoyo umetajwa kuwa ni moja ya maeneo yenye fursa nyingi za  uwekezaji na zinavutia wawekezaji kuwekeza katika sekta mbalimbali ambazo zikitumika ipasavyo zitasaidia mji huo kupiga hatua za...

 

11 years ago

Mwananchi

UWEKEZAJI: Nagu: Miradi mikubwa kufanyika kwa ubia

>Serikali imedhamiria kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo kwa ubia kati ya sekta za umma na binafsi (PPP) ili kufikia malengo ya maendeleo kwa faida ya taifa na watu wake.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI NAGU AZINDUA ZIARA YA WAFANYABIASHARA KUTOKA UBELIGIJI

Mhe. Dr. Mary Nagu Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji (wa pili kutoka kushoto) akijiandaa kuzindua ziara ya Wafanyabiashara kutoka Ubeligiji iliyoanza leo Dar es salaam. Wa pili kulia ni Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala na wa kwanza kushoto ni Balozi wa Ubeligiji Tanzania Mhe. Adam Koenraad. Waziri Nagu kazindua ziara hiyo ya siku saba katika Hoteli ya Serena.

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AKUTANA NA WAZIRI WA BIASHARA NA UWEKEZAJI WA UINGEREZA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi Biashara na Uwekezaji wa Uingereza, Lord Livingstone mjini London Oktoba 22a, 2014. Kulia ni Balozi wa Uingereza nchini Dianna Meryrose. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi, Biashara ya Uwekezaji wa Uingereza, Lord Livingstone mjini London, Oktoba 22, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

10 years ago

GPL

MHE. PINDA AKUTANA NA WAZIRI WA BIASHARA NA UWEKEZAJI WA UINGEREZA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi Biashara na Uwekezaji wa Uingereza, Lord Livingstone mjini London Oktoba 22, 2014. Kulia ni Balozi wa Uingereza nchini Dianna Meryrose. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi, Biashara ya Uwekezaji wa Uingereza, Lord Livingstone mjini London, Oktoba 22, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri… ...

 

11 years ago

Michuzi

maandalizi ya kongamano la uwekezaji na biashara linaloanza kesho dar es salaam

Mkurugenzi wa Huduma wa Kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC), Bi. Nakuala Senzia (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari mwishoni mwa wiki kuhusiana na kongamano la siku mbili la uwekezaji na biashara linalotarajiwa kuanza kesho jijini Dar es Salaam.  Wengine katika picha ni Meneja Mawasiliano wa TIC Bi. Pendo Gondwe, (wa pili kushoto), Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Stanbic Tanzania, Bw. Paul Omara (wa tatu kushoto), Afisa Habari Mkuu wa benki hiyo, Bi. Naomi Vincent na Mkuu wa...

 

9 years ago

Vijimambo

TANZANIA NA NORWAY KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA SEKTA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akihutubia katika ufunguzi rasmi wa Semina ya Ushirikiano wa Kibiashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Norway iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency ya Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Waziri wa Biashara na Viwanda wa Norway, Mhe. Monica Maeland, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, Balozi wa Norway nchini, Mhe. Hanna-Marie Kaarstad na wadau...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani