Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI NAGU AZINDUA ZIARA YA WAFANYABIASHARA KUTOKA UBELIGIJI

Mhe. Dr. Mary Nagu Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji (wa pili kutoka kushoto) akijiandaa kuzindua ziara ya Wafanyabiashara kutoka Ubeligiji iliyoanza leo Dar es salaam. Wa pili kulia ni Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala na wa kwanza kushoto ni Balozi wa Ubeligiji Tanzania Mhe. Adam Koenraad. Waziri Nagu kazindua ziara hiyo ya siku saba katika Hoteli ya Serena.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI NAGU AHUTUBIA WAFANYABIASHARA WA UBELGIJI NA LUXEMBOURG

Aliyeshika karatasi ni Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji Mhe. Dr. Mary Michael Nagu akibainisha fursa mbalimbali  za Uwekezaji zilizo Tanzania. Akihutubia Wafanyabiashara hao  amewashauri kuchangamkia fursa mbalimbali katika sekta za kilimo, gesi, utalii, madini na ujenzi. Kongamano la Biashara limeandaliwa na Ubalozi wa Tanzania Ubelgiji kwa kushirikiana na Taasisi ya Biashara ya Ubelgiji na Luxembourg.Pichani ni sehemu ya Wafanyabiashara wa Ubelgiji na Luxembourg wakimsikiliza Mhe. Dr....

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MARY NAGU AFUNGUA WARSHA YA WAFANYABIASHARA NA WATOA HUDUMA SEKTA YA FEDHA

Waziri wa Uwezeshaji katika ofisi ya Waziri Mkuu Mary Nagu akiongea jambo na mshauri wa Tanzania Private Sector Foundation(TPSF) Dk.Donath Olombi (Kulia ) na Meneja Biashara wa M-pesa wa Vodacom Tanzania,Asia Mhina (katikati) kwenye warsha ya kushirikishana uzoefu kuhusiana na kuboresha huduma za Kifedha kwa wafanyabiashara ndogo na za kati uliofanyika kwenye Hotel ya Serena jijini Dar es Salaam leo na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania. Mkurugenzi mtendaji Mkuu wa Tanzania Private Sector...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AAGANA VIONGOZI WA TAASISI YA WAFANYABIASHARA YA UBELIGIJI

Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa taasisi ya Wafanyabiara Ubeligiji baada ya kumaliza kikao cha kuagana nao  Brussels. Balozi Kamala anarejea Tanzania baada ya kumaliza kipindi chake cha Kuwa Balozi wa Tanzania Ubeligi, Luxembourg na Jumuiya ya Ulaya.

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA WA UBELIGIJI WATEMBELEA BANDARI YA NCHI KAVU YA PMM - DAR ES SALAAM

Balozi wa Tanzaniania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (wa tatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyabiashara kutoka Ubeligiji baada ya kutembelea bandari ya nchi kavu ya PMM- Dar es salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nagu avutia uwekezaji, biashara kutoka Sweden

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mary Nagvu, amesema ujio wa Malkia Mtarajiwa Princess Victoria wa Sweden utasaidia kuitangaza Tanzania kwa wafanyabiashara wa nchi...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Nagu akiwa nchini Ubelgiji

Waziri wa Uwekezaji na Uwezashaji Mhe. Dr Mary Michael Nagu akibadilishana mawazo na wamiliki wa Viwanda wa Wetteren Ubelgiji baada ya kumaliza ziara ya kutembelea baadhi ya Viwanda. Jana Waziri Nagu alibainisha fursa mbalimbali za uwekezaji zilizo Tanzania katika Kongamano la Biashara liloandaliwa na Taasisi ya Biashara ya Ubelgiji kwa kushirikiana na Ubalozi wa Tanzania Ubelgiji. Kongamano hilo lilifanyika jijini Brussels Ubelgiji. Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji Dr. Mary Michael Nagu...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA UONGOZI WA SUMATRA, TRA, TABOA, RC-DSM NA WAZIRI WA FEDHA IKULU KWA MAZUNGUMZO, PIA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA ECG NA AL KAN KUTOKA MISRI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA) TRA, SUMATRA, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Waziri wa Fedha, wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 29, 2015.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa SUMATRA, TRA, na Wamiliki wa Mabasi Tanzania TABOA, Mkuu...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI NAGU ATEMBELEA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO

Na Saidi Mkabakuli
Waziri wa nchi (Ofisi ya Rais) Mahusiano na Uratibu, Mhe. Dkt. Mary Nagu amefanya ziara ya kujitambulisha kwa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ambayo ni moja taasisi anazoziratibu.

Akizungumza wakati wa ziara hiyo Dkt. Nagu alitoa wito kwa Tume ya Mipango ijielekeze katika kujibu changamoto kuu za kiuchumi zinazowakabili watanzania kwa sasa ikiwemo umaskini miongoni kwa Watanzania walioko vijijini, ukosefu wa wa viwanda vya kuongeza thamani mazao hasa kipindi hiki Tanzania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani