Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Nagu akiwa nchini Ubelgiji

Waziri wa Uwekezaji na Uwezashaji Mhe. Dr Mary Michael Nagu akibadilishana mawazo na wamiliki wa Viwanda wa Wetteren Ubelgiji baada ya kumaliza ziara ya kutembelea baadhi ya Viwanda. Jana Waziri Nagu alibainisha fursa mbalimbali za uwekezaji zilizo Tanzania katika Kongamano la Biashara liloandaliwa na Taasisi ya Biashara ya Ubelgiji kwa kushirikiana na Ubalozi wa Tanzania Ubelgiji. Kongamano hilo lilifanyika jijini Brussels Ubelgiji. Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji Dr. Mary Michael Nagu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI NAGU AHUTUBIA WAFANYABIASHARA WA UBELGIJI NA LUXEMBOURG

Aliyeshika karatasi ni Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji Mhe. Dr. Mary Michael Nagu akibainisha fursa mbalimbali  za Uwekezaji zilizo Tanzania. Akihutubia Wafanyabiashara hao  amewashauri kuchangamkia fursa mbalimbali katika sekta za kilimo, gesi, utalii, madini na ujenzi. Kongamano la Biashara limeandaliwa na Ubalozi wa Tanzania Ubelgiji kwa kushirikiana na Taasisi ya Biashara ya Ubelgiji na Luxembourg.Pichani ni sehemu ya Wafanyabiashara wa Ubelgiji na Luxembourg wakimsikiliza Mhe. Dr....

 

10 years ago

Tanzania Daima

Akiwa Waziri Mkuu eti wapigwe tu, akiwa rais si atasema wachinjw

MOJA  ya wosia wa Baba wa Taifa Julius Nyerere ni kutaka wanaoutamani urais wa nchi kujitokeza mapema ili wananchi wapate muda wa kutosha wa kuwatambua,  kuwafahamu na kuwajadili. Alisema hivyo...

 

11 years ago

Michuzi

Wajasiriamali nchini kujengewa uwezo zaidi-Dr Nagu

SERIKALI kupitia Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), itaendelea kutoa mafunzo ya wafanyabiashara wadogo na wakati (SMEs) ilikuboresha zaidi mahusiano ya kibiashara na wafanyabishara wakubwa na makampuni.Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji),Dkt. Mary Nagu, alisema jijini Dar es Salaam hivi karibu kuwa tayari wajasiriamali  214 wameshafaidika na mafunzo hayo hapa nchini. Miongoni mwa walionufaika 152 ni wanaume na 62 ni wanawake.“Kupitia mafunzo haya, wajasiriamali...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI NAGU AZINDUA ZIARA YA WAFANYABIASHARA KUTOKA UBELIGIJI

Mhe. Dr. Mary Nagu Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji (wa pili kutoka kushoto) akijiandaa kuzindua ziara ya Wafanyabiashara kutoka Ubeligiji iliyoanza leo Dar es salaam. Wa pili kulia ni Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala na wa kwanza kushoto ni Balozi wa Ubeligiji Tanzania Mhe. Adam Koenraad. Waziri Nagu kazindua ziara hiyo ya siku saba katika Hoteli ya Serena.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI NAGU ATEMBELEA OFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO

Na Saidi Mkabakuli
Waziri wa nchi (Ofisi ya Rais) Mahusiano na Uratibu, Mhe. Dkt. Mary Nagu amefanya ziara ya kujitambulisha kwa Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ambayo ni moja taasisi anazoziratibu.

Akizungumza wakati wa ziara hiyo Dkt. Nagu alitoa wito kwa Tume ya Mipango ijielekeze katika kujibu changamoto kuu za kiuchumi zinazowakabili watanzania kwa sasa ikiwemo umaskini miongoni kwa Watanzania walioko vijijini, ukosefu wa wa viwanda vya kuongeza thamani mazao hasa kipindi hiki Tanzania...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MARY NAGU AFUNGUA WARSHA YA WAFANYABIASHARA NA WATOA HUDUMA SEKTA YA FEDHA

Waziri wa Uwezeshaji katika ofisi ya Waziri Mkuu Mary Nagu akiongea jambo na mshauri wa Tanzania Private Sector Foundation(TPSF) Dk.Donath Olombi (Kulia ) na Meneja Biashara wa M-pesa wa Vodacom Tanzania,Asia Mhina (katikati) kwenye warsha ya kushirikishana uzoefu kuhusiana na kuboresha huduma za Kifedha kwa wafanyabiashara ndogo na za kati uliofanyika kwenye Hotel ya Serena jijini Dar es Salaam leo na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania. Mkurugenzi mtendaji Mkuu wa Tanzania Private Sector...

 

11 years ago

Michuzi

MH. LOWASSA AKUTANA NA BALOZI WA UBELGIJI NCHINI

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje,Mh. Edward Lowassa akizungumza na balozi wa Ubelgiji Hapa nchini,Mh. Koen Adam aliyekwenda kumtembelea ofisini kwake jijini Dar es Saalam leo.Walijadiliana masuala mbalimbali yakiwemo suala la mchakato wa Katiba Mpya,mzozo katika eneo la nchi za maziwa makuu pamoja na hali katika Umoja wa Ulaya.

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Nagu amwakilisha Rais Kikwete kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Asia na Afrika, Jakarta,Indonesia

Waziri wa nchi (Ofisi ya Rais) Mahusiano na Uratibu, Mhe. Dkt. Mary Nagu (wa tatu kushoto) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Tanzania nchini Indonesia,Dkt. Aziz Ponary Mlima (wa tatu kulia), Mkurugenzi wa Asia-Australasia, Balozi Mbelwa Kairuki (wa pili kushoto), Afisa wa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje, Bw. Hatibu Makenga (kushoto), Afisa Ubalozi wa Tanzania nchini Indonesia, Bw. Dismass Assenga (wa pili kuliana Bwana Emmanuel Rhobi-Msaidizi wa Waziri, mara baada ya kuhudhuria...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani