Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Akiwa Waziri Mkuu eti wapigwe tu, akiwa rais si atasema wachinjw

MOJA  ya wosia wa Baba wa Taifa Julius Nyerere ni kutaka wanaoutamani urais wa nchi kujitokeza mapema ili wananchi wapate muda wa kutosha wa kuwatambua,  kuwafahamu na kuwajadili. Alisema hivyo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKIWA BUNDA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bw. Sanya William ambaye ni mlemavu na wanawe Mussa, Nasma na Dickson baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Bunda alikonda kuweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Bunda ikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya maji Machi 20, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Viongozi wa wilaya ya Busega mkoani Simiyu wakati aliposimama kwa muda mfupi kwenye makazi ya Mkuu wa wilaya hiyo akiwa njiani kwenda Mwanza akitokea Bunda alikoweka jiwe...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKIWA MKOANI RUKWA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua shule ya Sekondari ya Magnificat wilayani Siha Septemba 20, 2014. Kushoto ni mkewe Tunu. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wazee wa Mpanda baada ya kuzungumza na mjini Mpanda Septemba 22, 2014. Alikuwa njiani akitoka Sumbawanga kuelekea Dodoma.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa shule ya Msingi ya Kakuni wilayani Mlele Septemba 22, 2014. Alikuwa njiani akitoka Sumbawanga kuelekea Dodoma. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Dkt. Rajab...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKIWA WILAYANI MLELE

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na walimu wa shule ya sekondari ya Usevya wakati alipoitembeklea na kuzungumza na walimu na wanafunzi wa shule hiyo Januari 1, 2015.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Usevya wakati alipoitembeklea na kuzungumza na walimu na wanafunzi wa shule hiyo Januari 1, 2015.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Michuzi

KUTOKA BUNGENI: WAZIRI MKUU AKIWA NA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba na Mbunge wa Zamani wa Morogoro, Shamim Khan, nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Februari 24, 2014. Kulia ni mbunge wa Sumve Richard Ndassa. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba na Mbunge wa Zamani wa Morogoro, Shamim Khan, nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Februari 24, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Singida Magharibi Mohamed Bissanga na...

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA: Timbwili Mitandaoni, Diamond Akiwa na Zari Huku Wema Akiwa na Ommy

Kweli mafahari wikigombana nyasi ndio uumia! Picha za mwanamziki Diamond akiwa na mpenzi wake Zari  wakiwa ndani ya gari alizoziweka mtandao usiku wa kuamkia leo siku ya wapendanao na kuandika kwa maneno ya lugha ya kingreza kuwa wanaelekea siku ya Valentine “Road to Valentine...”

Zilizua timbwili la maneno miongoni mwa mashabiki wa Diamond ambao walikuwa wakisifia “Project hii” na wale wa Wema  aka TeamWema walikuwa wakiponda na kumshabulia sana mwanadada Zari ikiwemo kumuiga mtindo wa...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu akiwa na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino waliotembelea Bunge Maalum la Katiba mjini dodoma leo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino waliotembelea Bunge Maalum la Katiba wakipigwa picha na Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Zaynab Kawawa wakati wa mapumziko ya mchana ya Bunge hilo mjini Dodoma Aprili 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Nagu akiwa nchini Ubelgiji

Waziri wa Uwekezaji na Uwezashaji Mhe. Dr Mary Michael Nagu akibadilishana mawazo na wamiliki wa Viwanda wa Wetteren Ubelgiji baada ya kumaliza ziara ya kutembelea baadhi ya Viwanda. Jana Waziri Nagu alibainisha fursa mbalimbali za uwekezaji zilizo Tanzania katika Kongamano la Biashara liloandaliwa na Taasisi ya Biashara ya Ubelgiji kwa kushirikiana na Ubalozi wa Tanzania Ubelgiji. Kongamano hilo lilifanyika jijini Brussels Ubelgiji. Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji Dr. Mary Michael Nagu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani