Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU AKIWA WILAYANI MLELE

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na walimu wa shule ya sekondari ya Usevya wakati alipoitembeklea na kuzungumza na walimu na wanafunzi wa shule hiyo Januari 1, 2015.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Usevya wakati alipoitembeklea na kuzungumza na walimu na wanafunzi wa shule hiyo Januari 1, 2015.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Shughuli mbalimbali za Waziri Mkuu Pinda na mkewe Tunu wilayani Mlele

PG4A7542

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika  picha ya pamoja na wanafunzi  wa shule ya sekondari ya Usevya wakati alipoitembelea na kuzungumza na walimu na wanafunzi wa shule hiyo Januari 1, 2015. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A7551

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda akiwa katika  picha ya pamoja na walimu wa shule ya sekondari ya Usevya wakati alipoitembelea na kuzungumza na walimu na wanafunzi wa shule hiyo Januari 1, 2015.

PG4A7037

Mke wa Waziri Mkuu, Mama  Tunu Pinda  akionyesha DVD...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MHE MIZENGO PINDA AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA ELIMU WILAYANI MLELE

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa amekalia oja ya madwati mapya ya plastiki yaliyowekwa kwenye moja ya madara ya shuley amsingi ya Kakuni  wilayani Mlele akiwa katika mapumziko mafupi kijijini kwake Kibaoni Julai 16, 2015Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda akikagua ujenzi wa nyumba za walimu katika shule ya msingi ya Kakuni wilayani Mlele Julai 16, 2015. Picha na PMO

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AZINDUA MRADI WA UJENZI WA NYUMBA 60 ZA NHC WILAYANI MLELE MKOANI KATAVI LEO




 Katibu Mkuu wa CC,Ndugu Abdulrahman Kinana akikata utepe na kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa nyumba 60 za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC),katika kijiji cha Inyonga ndani ya Wilaya Mpya ya Mlele mkoani Katavi mapema leo jioni.
========  ======  =====

KATIBU Mkuu wa CCM amelipongeza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kwa kasi ya ujenzi miradi ya nyumba za makazi na biashara kwenye miji mbalimbali hasa makao makuu ya wilaya mpya.
Kinana aliyasema hayo katika mji wa Inyonga...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU PINDA KUTANA NA WANANCHI WA MLELE

 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  akifafanua jambo kwa kutumia  kompyuta ndogo (Ipad) wakati alipozungumza  na wanafamilia wa Mzee Katinda wa kitongoji cha Tupindo wilayani Mlele akiwa katika mapumziko mafupi nyumbani kwake  Kibaoni, Katavi julai 22, 2015. Watoto  wa familia ya  mzee Katinda wa  Kitongoji cha Tupindo wilayani Mlele  wakicheza ngoma ya Kisukuma mbele ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda .   Mheshiiwa Pinda yuko katika mapumziko mafupi kijijini kwake Kibaoni, katavi. 7027  Waziri Mkuu,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Akiwa Waziri Mkuu eti wapigwe tu, akiwa rais si atasema wachinjw

MOJA  ya wosia wa Baba wa Taifa Julius Nyerere ni kutaka wanaoutamani urais wa nchi kujitokeza mapema ili wananchi wapate muda wa kutosha wa kuwatambua,  kuwafahamu na kuwajadili. Alisema hivyo...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AKAGUA MRADI WA KUPUNGUZA ATHARI ZA MAAFA YA UKAME WILAYANI KISHAPU

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Regina Kikuli akiongozana na Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brigedia Jenerali  Mbazi Msuya wakati wa kufuatilia Utekelezaji wa Mradi wa kupunguza Athari za Maafa ya Ukame kijijini Masanga , wilayani Kishapu Shinyanga, tarehe 5 Julai, 2015, Mradi huo unafadhiliwa na Benki ya Dunia kupitia UNICEF. Baadhi ya wanakikundi cha Mkombozi kata ya Masanga wilayani Kishapu Shinyanga, wakiwa na mbuzi waliowapata kutoka Idara ya...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKIWA BUNDA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bw. Sanya William ambaye ni mlemavu na wanawe Mussa, Nasma na Dickson baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Bunda alikonda kuweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Bunda ikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya maji Machi 20, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Viongozi wa wilaya ya Busega mkoani Simiyu wakati aliposimama kwa muda mfupi kwenye makazi ya Mkuu wa wilaya hiyo akiwa njiani kwenda Mwanza akitokea Bunda alikoweka jiwe...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKIWA MKOANI RUKWA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua shule ya Sekondari ya Magnificat wilayani Siha Septemba 20, 2014. Kushoto ni mkewe Tunu. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wazee wa Mpanda baada ya kuzungumza na mjini Mpanda Septemba 22, 2014. Alikuwa njiani akitoka Sumbawanga kuelekea Dodoma.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa shule ya Msingi ya Kakuni wilayani Mlele Septemba 22, 2014. Alikuwa njiani akitoka Sumbawanga kuelekea Dodoma. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Dkt. Rajab...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani