Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NSSF YAWATEMBEZA WAHARIRI KUONA MIRADI MIKUBWA DAR ES SALAAM

 Meneja Mradi wa Ujenzi wa Daraja la kisasa la Kigamboni, kutoka Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mhandisi Karrim Mataka (kulia), akitoa maelezo ya mradi ujenzi wa daraja hilo kwa Wahariri wa Vyombo vya Habari, wanaotembelea mradi mbalimbali ya uwekezaji unaofanywa na NSSF. Wa pili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo, Creasentius Magori. Wahariri wa Vyombo vya Habari, wakijaribu kupita kwenye njia ya dharura, kwa ajili ya kuangalia mradi mkubwa wa Ujenzi wa Daraja la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

wahariri walipotembelea bandari ya dar es salaam

 Kaimu Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Hebel Mhanga (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Kitengo cha Kimataifa cha Makasha (TICTS), Bw. Paul Wallace wakati wa ziara ya wahariri wa vyombo vya habari katika bandari ya Dar es Salaam hivi karibuni.  Wahariri hao walitembelea maeneo mbalimbali katika bandari hiyo.Kaimu Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Bw. Hebel Mhanga (kulia) akiwaelezea jambo wahariri wa vyombo vya habari katika bandari ya Dar es Salaam hivi karibuni.  Wahariri...

 

10 years ago

Michuzi

Spika Makinda, Wenyeviti wa Bunge Watembelea Miradi ya NSSF Dar

Meneja Mradi wa NSSF, Mhandisi John Msemwa (mwenye kipaza sauti) akielezea maendeleo ya mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa zinazojengwa na shirika hilo Kigamboni jijini Dar es Salaam kwa Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda pamoja na wajumbe wa kamati ya uongozi ya Bunge walipo tembelea mradi wa daraja la kisasa linalojengwa na NSSF kwa ubia na Serikali kuunganisha Jiji la Dar es Salaam na mji wa Kigamboni. Meneja Mradi wa NSSF, Mhandisi John Msemwa (mwenye kipaza sauti) akielezea maendeleo ya mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa zinazojengwa na shirika hilo Kigamboni jijini Dar es Salaam kwa Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda pamoja na wajumbe wa kamati ya uongozi ya Bunge walipo tembelea mradi wa daraja la kisasa linalojengwa na NSSF kwa ubia na Serikali kuunganisha Jiji la Dar es Salaam na mji wa Kigamboni.
Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda pamoja na wajumbe wa kamati ya uongozi ya Bunge wakitembelea mradi wa daraja la kisasa linalojengwa na NSSF kwa ubia na Serikali kuunganisha Jiji la Dar es Salaam na mji wa Kigamboni. Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda pamoja na wajumbe wa kamati ya uongozi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

MIGA kufadhili miradi mikubwa Tanzania

KITENGO cha Taasisi za Benki ya Dunia kinachodhamini uwekezaji (MIGA) imeanza ziara ya kufadhili miradi mikubwa hapa nchini. Ziara hiyo ya siku mbili imeanza kwa kukutana na wizara za serikali,...

 

10 years ago

Michuzi

MFUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI (WCF), WAKUTANA NA WAHARIRI, DAR ES SALAAM


 MKURUGENZI Mkuu wa kwanza wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Masha Mshomba, akiwasilisha mada wakati wa warsha iliyoandaliwa na Mfuko huo kwa Wahariri kwenye Hoteli ya Court Yard jijini Dar es Salaam, Julai 22, 2015
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, (SSRA), Irine Isaka, akifungua warsha hiyo Mhariri Shemax Ngahamera akizungumza kwenye warsha hiyo Mhariri wa vipindi wa ITV/Radio One, Steven Chuwa, (kulia), na Mhariri Mtendaji wa EFM, Scolastica Mazula,...

 

5 years ago

Michuzi

SHINYANGAYATAKIWA KUKAMILISHA MIRADI MIKUBWA KWA WAKATI



Katibu Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Eng. Joseph Nyamhanga kushoto, akimsikiliza Muhandisi wa Halmashauri ya Shinyanga Bw. William Lusiu kuhusu ujenzi wa Hospitali ya Wilaya hiyo jana alipofanya ziara ya Siku moja Mkoani Shinyanga kujionea miradi ya maendeleo inayoendelea Mkoani Shinyanga, katikati ni Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Bw. Albert Msovera.
Katibu Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Eng. Joseph Nyamhanga akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kuhusu ujenzi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Magereza waingia ubia kutekeleza miradi mikubwa

KAMISHNA Jenerali wa Magereza nchini (CGP), John Minja, amesema kuwa jeshi hilo kwa sasa limeanza kuingia ubia na baadhi ya kampuni za ndani na nje ya nchi ili kutekeleza miradi...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali kuimarisha elimu ya ufundi miradi mikubwa

NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista Mhagama amesema serikali inafanya uwekezaji wa elimu ya ufundi kwenye maeneo yenye miradi mikubwa kama gesi, makaa ya mawe na yalipogunduliwa madini ya urani.

 

10 years ago

Michuzi

wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari watembele mamlaka ya bandari dar es salaam

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imesema maboresho mbalimbali yanayofanyika kwenye Bandari ya Dar es Salaam na kuimarishwa kwa mahusiano na wadau wake vimesaidia kuongeza ufanisi bandarini.  Akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo, Bw. Awadhi Massawe alisema mahusiano mazuri ya kikazi na wadau pamoja na uboreshaji wa miundombinu na huduma vimechangia kwa kiasi kikubwa kuongeza ufanisi bandarini.  “Wahariri na ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani