Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tiba Asili walaani mauaji ya albino

SHIRIKISHO la Vyama vya Tiba Asili Tanzania limelaani mauaji wanayofanyiwa walemavu wa ngozi, vikongwe na kunajisi watoto yanayofanyika kwa baadhi ya mikoa ya Kanda ya Ziwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Waganga walaani mauaji ya albino

Siku chache baada ya Mkuu wa Mkoa wa Geita, Fatma Mwassa kutamka kuwafutia vibali waganga wa kienyeji huku wenzao 32 wakishikiliwa na polisi kutokana na kuibuka kwa mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), Chama cha Waganga wa Tiba Asilia Tanzania (Chawatiata) tawi la mji wa Katoro wilayani Geita, kimeomba Serikali kuwachukulia hatua kali wanaobainika kuhusika na vitendo hivyo badala ya kuwafutia vibali waganga wote.

 

10 years ago

GPL

BARAZA LA TIBA ASILI, MBADALA LAPIGA MARUFUKU MATANGAZO NA VIPINDI VYA TIBA HIYO

Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Profesa Rogassian Mahunnah. Kutoka kushoto ni Kaimu Msajili wa tiba Asili Mboni Bakari, Mwenyekiti, Profesa Rogassian Mahunnah na Mfamasia Lucy Samweli. BARAZA hilo limesema halitambui vipindi na matangazo yote ya tiba asili na tiba mbadala yanayoendelea kwa sasa kwenye vyombo vya habari… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Albino walaani unyanyapaa

CHAMA cha Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi nchini (Albino-TAS), Mkoa wa Mwanza, kimelaani unyanyapaa wanaofanyiwa na kuiomba serikali kuwapatia huduma bora za kiafya na elimu. Wameomba pia kusaidiwa vyumba kwa...

 

10 years ago

Habarileo

Wasabato walaani ukatili kwa albino

KANISA la Waadventista Wasabato Nyanda za Juu Kusini, limelaani visa vya kikatili wanavyotendewa watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), ikiwemo kukatwa viungo vyao na kuuawa, likisema watu wanaowatendea uovu huo wamelaaniwa na Mungu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

BAWACHA walaani mauaji ya wanawake Mara

BARAZA la Wanawake CHADEMA, (BAWACHA), limelaani mauaji ya wanawake yanayofanywa na watu wasiofahamika maeneo mbalimbali ya Wilaya za Butiama na Musoma mkoani Mara huku Jeshi la Polisi likishindwa kuyadhibiti. Akiwahutubia...

 

10 years ago

Mwananchi

MAUAJI ALBINO: Albino: Adhabu ya kifo sawa

>Mbunge wa Lindi Mjini, Salum Barwany amemwomba Rais Jakaya Kikwete kusaini hukumu ya kunyongwa hadi kufa inayowakabili watu wanne waliopatikana na hatia ya kumuua mtu mwenye ulemavu wa ngozi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania:Matangazo tiba asili marufuku

Baraza la tiba asili na tiba mbadala Tanzania limesitisha vibali vya kurusha matangazo kwenye vyombo vya habari

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Onyesheni tiba asili zenye ubora’

WASHIRIKI katika maonyesho ya biashara ya kimataifa ya Tiba Asili ya Mwafrika yanayotarajiwa kuanza Novemba 16 hadi 23 mwaka huu, wametakiwa kuonyesha bidhaa bora zitakazoleta ushindani katika soko la Tiba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani