Waganga walaani mauaji ya albino
Siku chache baada ya Mkuu wa Mkoa wa Geita, Fatma Mwassa kutamka kuwafutia vibali waganga wa kienyeji huku wenzao 32 wakishikiliwa na polisi kutokana na kuibuka kwa mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), Chama cha Waganga wa Tiba Asilia Tanzania (Chawatiata) tawi la mji wa Katoro wilayani Geita, kimeomba Serikali kuwachukulia hatua kali wanaobainika kuhusika na vitendo hivyo badala ya kuwafutia vibali waganga wote.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo10 Mar
Tiba Asili walaani mauaji ya albino
SHIRIKISHO la Vyama vya Tiba Asili Tanzania limelaani mauaji wanayofanyiwa walemavu wa ngozi, vikongwe na kunajisi watoto yanayofanyika kwa baadhi ya mikoa ya Kanda ya Ziwa.
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Albino walaani unyanyapaa
CHAMA cha Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi nchini (Albino-TAS), Mkoa wa Mwanza, kimelaani unyanyapaa wanaofanyiwa na kuiomba serikali kuwapatia huduma bora za kiafya na elimu. Wameomba pia kusaidiwa vyumba kwa...
10 years ago
Habarileo23 Mar
Wasabato walaani ukatili kwa albino
KANISA la Waadventista Wasabato Nyanda za Juu Kusini, limelaani visa vya kikatili wanavyotendewa watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), ikiwemo kukatwa viungo vyao na kuuawa, likisema watu wanaowatendea uovu huo wamelaaniwa na Mungu.
10 years ago
Tanzania Daima11 Nov
BAWACHA walaani mauaji ya wanawake Mara
BARAZA la Wanawake CHADEMA, (BAWACHA), limelaani mauaji ya wanawake yanayofanywa na watu wasiofahamika maeneo mbalimbali ya Wilaya za Butiama na Musoma mkoani Mara huku Jeshi la Polisi likishindwa kuyadhibiti. Akiwahutubia...
10 years ago
BBCSwahili07 Mar
Albino:Waganga 32 wakamatwa Tanzania
10 years ago
Mwananchi07 Mar
MAUAJI ALBINO: Albino: Adhabu ya kifo sawa
11 years ago
Mwananchi17 Jun
Viongozi wa dini walaani mauaji ya bomu Z’bar
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/n7Vr5lDn5dE/default.jpg)
10 years ago
BBCSwahili12 Mar
Albino:Zaidi ya waganga 200 wakamatwa TZ