Albino:Zaidi ya waganga 200 wakamatwa TZ
Zaidi ya waganga 200 wa kienyeji wamekamatwa nchini Tanzania katika juhudi za kusitisha mauaji ya Albino.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili07 Mar
Albino:Waganga 32 wakamatwa Tanzania
10 years ago
GPLMSAKO: WAGANGA WA KIENYEJI 55 WAKAMATWA MKOANI MWANZA
10 years ago
Vijimambo07 Mar
VITA DHIDI YA MAUAJI YA ALIBINO, WAGANGA 32 WAKAMATWA
Polisi nchini Tanzania wamewakamata waganga 32 wa kienyeji kazkazini magharibi mwa jimbo la Geita katika juhudi za kukabiliana na mauaji ya Albino.
Siku ya Alhamisi ,watu wanne walihukumiwa kifo kwa mauaji ya mwanamke albino mwaka wa 2008 katika jimbo hilo.
Serikali iliwapiga marufuku waganga wa kienyeji mwezi Januari kama mojawapo ya kampeni ya kusitisha mauaji hayo.
Waganga wa kienyeji wanaamini viungo vya mwili wa Albino vina nguvu maalum za...
10 years ago
Mwananchi08 Mar
Waganga walaani mauaji ya albino
11 years ago
Tanzania Daima13 Jul
Wakamatwa na nyara za mil. 200/-
WATU sita wakazi wa wilayani ya Manyoni mkoani Singida, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kukutwa na nyara za serikali zenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 200....
10 years ago
Mtanzania13 Mar
Waganga wanaswa na meno, nywele za albino
NA SHEILA KATIKULA, MWANZA
JESHI la Polisi mkoani Mwanza limewakamata waganga wa kienyeji 55 wakiwa na viungo vya binadamu vikiwamo meno na nywele vinavyodaiwa kuwa ni vya watu wenye albino.
Vitu vingine walivyokutwa navyo ni ngozi ya simba, nyumbu, mamba, vibuyu, njuga, vioo, shanga na debe tatu za bangi.
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino Mlowola, alisema waganga hao walikamatwa katika wilaya za Mkoa wa Mwanza kwenye msako ulioanza...
11 years ago
BBCSwahili01 Apr
200 wakamatwa baada ya shambulizi Kenya
10 years ago
Mtanzania03 Jan
Waliotembea km 1, 200 kwenda Ikulu wakamatwa
Na Elias Msuya
ILE safari ya zaidi ya kilometa 1,200 ya makada watatu wa Chadema kutoka mkoani Geita waliotaka kwenda Ikulu ya Dar es Salaam kumwona Rais Jakaya Kikwete, imeishia mikononi mwa polisi baada ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana, kuwazuia kuendelea na safari yao hadi watakapopata maelekezo.
Vijana hao, Khalid Selemani, Athanas Michael na Juma Maganga, walisema wameamua kutembea kwa miguu kwa siku 37 ili kumfikishia Rais Kikwete ujumbe wao kuhusu kupinga ufisadi,...
11 years ago
CloudsFM12 Jun
WAGANGA WANAOWATIBU WATEJA WAO KWA KUFANYA NAO NGONO WAKAMATWA, WAKUTWA NA NGUO ZA NDANI 22 ZA WANAWAKE HAO
Polisi Mkoa wa Kinondoni, imewakamata vijana wawili wanaodaiwa kujifanya waganga wanaotoa tiba kwa wanawake, ambao masharti yake ni kushiriki nao ngono bila kinga na kuacha nguo za ndani, ili zifanyiwe dawa zaidi.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibert Kiondo, alidai vijana hao Juma Hemedi (32) na Abrahman Mulsin, wote wakazi wa Tandika, baada ya kushiriki ngono na wagonjwa wao huwaambia waache nguo za ndani.
Kamanda Kiondo...