Rais Magufuli aitaka Wizara ya Afya kuongeza bajeti katika dawa za asili
![](https://1.bp.blogspot.com/-ugHb9t1tiNY/XuIvGNkNsiI/AAAAAAAEHws/4X2aVxgATicnZGwIwyqm_htZCqO4U7BxACLcBGAsYHQ/s72-c/12.jpg)
Rais John Pombe Magufuli ameitaka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuweka nguvu na kuongeza bajeti katika Kitengo cha Tiba asili/tiba mbadala ili kutengeneza dawa za asili kwa ajili ya kuponya magonjwa mbalimbali.
Rais Magufuli ametoa kauli hiyo leo jijini Dodoma wakati akizindua Jengo la Ofisi za TARURA zilizojengwa kwenye mji wa Mtumba.
"Nimeshatoa maelekezo kwa Wizara ya Afya, kile kitengo cha dawa asili kiendelezwe kwa nguvu zote na bajeti iongezwe ili watu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboNAWERA AITAKA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII KUPUNGUZA BEI KUBWA ZA DAWA NCHINI
MWENYEKITI wa Chama cha Walaji na Tiba Tanzania , Elias Nawera, ameitaka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kutatua changamoto ya bei kubwa ya dawa za binadamu wanayotozwa Watanzania.
Nawera alisema sera ya afya inasema kila mtu ana haki ya kupata huduma za afya kwa bei nafuu, lakini bado Watanzania wengi wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kununua dawa kwa bei kubwa.“Tunaomba Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii aingilie kati suala hili,wanaoteseka kwa kiwango...
10 years ago
MichuziWaziri Mkuu aitaka NHIF kuongeza bidii katika kutoa elimu ya Afya kwa Jamii
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-jsq-i5Q_8tE/Xp_-g0yG0DI/AAAAAAAC3rc/_TqUsgdd2a8OBTje9CRWJKQxQZzQ8hYfwCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
10 years ago
MichuziSERIKALI YASHAURIWA KUONGEZA BAJETI WIZARA YA HABARI
9 years ago
Mwananchi25 Dec
Wizara ya Afya yataka nyaraka za watoa tiba asili
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-2bx2a0H6Spc/VPS9Sbk79BI/AAAAAAAHHNg/OpM4tZjCh8k/s72-c/unnamed%2B(66).jpg)
WAGANGA WA TIBA ASILI ZANZIBAR WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA MADAKTARI WA WIZARA YA AFYA
![](http://1.bp.blogspot.com/-2bx2a0H6Spc/VPS9Sbk79BI/AAAAAAAHHNg/OpM4tZjCh8k/s1600/unnamed%2B(66).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-eOUr-pszGP8/VPS9SYwLldI/AAAAAAAHHNc/2rR7-S5se-0/s1600/unnamed%2B(67).jpg)
11 years ago
Mwananchi04 Jun
Waiponda Bajeti Wizara ya Afya
11 years ago
Mwananchi08 Jun
Wawakilishi waikataa Bajeti ya Wizara ya Afya
11 years ago
Habarileo10 Jun
Bajeti Wizara ya Afya Z'bar kupitiwa tena
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi watapitia tena vifungu vya bajeti ya Wizara ya Afya ambayo ilikwama mwishoni mwa wiki, baada ya wajumbe wengi kutoridhishwa na mgawanyo wa fedha katika maeneo muhimu.