SERIKALI YASHAURIWA KUONGEZA BAJETI WIZARA YA HABARI
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara akiwasilisha bajeti ya wizara hiyo leo bungeni mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii Mhe. Said Mtanda akiwasilisha mapendekezo ya kamati yake kuhusu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakati wa bajeti ya wizara hiyo leo mjini Dodoma.Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga (wa tatu kutoka kushoto) akiwa na Naibu Katibu Mkuu Prof....
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV06 Oct
Serikali yashauriwa kuongeza uwekezaji katika elimu
Rais wa Chama cha Waalimu Tanzania (CWT), Gratian Mukoba amesema Siku ya waalimu duniani imeadhimishwa huku Tanzania kukiwa na malalamiko mengi katika sekta ya elimu kutokana na uwekezaji mdogo.
Amesema ili kuweza kufikia malengo endelevu ya maendeleo ni lazima nchi ifanye uwekezaji wa kutosha kwa kuongeza fedhaa kwa ajili ya kuondoa malalamiko hayo.
Rais wa Chama cha Walimu Gratian Mukoba amesema ualimu ni taaluma muhimu na ni lazima ithaminiwe na kuheshimiwa kwa kuwa hatma ya taifa la...
5 years ago
MichuziSERIKALI YASHAURIWA KUONGEZA UWEKEZAJI KATIKA KUENDELEZA SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UBUNIFU
Ushauri huo umetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Peter Serukamba wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Chuo cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela...
5 years ago
MichuziRais Magufuli aitaka Wizara ya Afya kuongeza bajeti katika dawa za asili
Rais Magufuli ametoa kauli hiyo leo jijini Dodoma wakati akizindua Jengo la Ofisi za TARURA zilizojengwa kwenye mji wa Mtumba.
"Nimeshatoa maelekezo kwa Wizara ya Afya, kile kitengo cha dawa asili kiendelezwe kwa nguvu zote na bajeti iongezwe ili watu...
9 years ago
StarTV30 Nov
Serikali yashauriwa kutenga bajeti ya kununua vifaa tiba ili Kupunguza Vifo Vya Watoto
SERIKALI imepewa changamoto ya kutenga fedha katika bajeti yake na kununua vifaa tiba pamoja na dawa zitakazosaidia kupunguza au kuondoa kabisa vifo vya watoto wachanga hapa nchini ambapo ripoti mbalimbali zinaonyesha mwaka jana pekee imefikia watoto elfu kumi na tatu.
Changamoto hiyo imetolewa na Taasisi ya Doris Mollel Foundation muda mfupi baada ya kukabidhi vifaa vitakavyosaidia kuokoa maisha ya watoto wachanga hususani watoto njiti katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Iringa.
Ndani ya...
9 years ago
StarTV07 Nov
Serikali awamu ya tano Yashauriwa kutenganisha Wizara ya Michezo.
Serikali ya awamu ya tano, imeshauriwa kuitenganisha Wizara ya Michezo na wizara nyingine, ili kusukuma maendeleo ya michezo nchini. Katika awamu iliyopita, michezo ilikuwa Wizara moja na Habari, Vijana na Utamaduni, na hivyo baadhi ya wadau kudai kwamba waziri husika alikuwa na mzigo wa kushughulikia sekta nne kwa wakati mmoja. Ushauri kwa serikali mpya umetolewa na aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Chama cha Soka Wilaya ya Kinondoni (KIFA) mkoani Dar es Salaam, Majaliwa Mbassa,...
10 years ago
Tanzania Daima15 Nov
Serikali yashauriwa kushirikisha vyombo vya habari
SERIKALI imeshauriwa kuvishirikisha vyombo vya habari katika mchakato mpya wa Malengo Endelevu ya Maendeleo (SDGs), ili viweze kuielimisha jamii kutokana na nafasi kubwa ilivyo navyo. Rai hiyo, ilitolewa jijini Dar...
10 years ago
Habarileo09 Jun
Wadau wa lishe wataka serikali kuongeza bajeti
WADAU wa masuala ya lishe nchini, wameiomba Serikali kuongeza kiwango cha fedha inachotenga kwenye bajeti yake kuhusu masuala ya lishe ili kuongeza nguvu zaidi katika kukabiliana na tatizo la utapiamlo nchini.
10 years ago
Habarileo05 May
Kamati yaridhia bajeti ya Wizara ya Habari
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, imeridhia zaidi ya Sh bilioni 29.41 zilizotengwa kwa ajili makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.
10 years ago
Habarileo29 May
Wabunge walia na bajeti ndogo ya Wizara Habari
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii imeitaka Serikali kuiongezea fedha Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ili ikidhi mahitaji ya uendeshaji.