Wadau wa lishe wataka serikali kuongeza bajeti
WADAU wa masuala ya lishe nchini, wameiomba Serikali kuongeza kiwango cha fedha inachotenga kwenye bajeti yake kuhusu masuala ya lishe ili kuongeza nguvu zaidi katika kukabiliana na tatizo la utapiamlo nchini.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziSERIKALI YASHAURIWA KUONGEZA BAJETI WIZARA YA HABARI
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-jFiQwClPIUs/VVqjEhbrlDI/AAAAAAAHYJg/vxcifc3cDdw/s72-c/unnamed%2B(2).jpg)
WADAU WATAKA SERIKALI ZISIMAMIE UFUATILIAJI NA TATHMINI YA SDGs
Na Mwandishi Maalum, New York Mchakato wa ukamilishaji wa Malengo Mapya ya Maendeleo endelevu baada ya 2015 ( SDGs) umeingia katika hatua nyingine muhimu ambapo, nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa wanakutana hapa makao makuu ya UM wakijadiliana kuhusu mfumo wa ufuatiliaji na tathmini ya malengo hayo. Mkutano huo unaojadili aina ya mfumo wa ufuatiliaji na tathmini, utafanyika kwa siku nne na umeanza siku ya jumatatu kwa wajumbe kutoa mchango wa maoni na mawazo yao kwa...
10 years ago
VijimamboWADAU WATAKA SERIKALI ZISIMAMIE UFUATILIAJI NA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA SDGs
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-hU-NDKNTPhQ/Vaa-zTI035I/AAAAAAAHqAw/2Sd-RQUjsqo/s72-c/unnamed%2B%252825%2529.jpg)
JINSI YA KUANDAA NA KUTAYARISHA DAWA-LISHE NA KUNENEPESHA, KURUTUBISHA NA KUONGEZA MWILI.
![](http://2.bp.blogspot.com/-hU-NDKNTPhQ/Vaa-zTI035I/AAAAAAAHqAw/2Sd-RQUjsqo/s640/unnamed%2B%252825%2529.jpg)
Kusoma zaidi makala hii BOFYA...
5 years ago
MichuziWadau wakutanishwa na Lishe Endelevu kutokomeza udumavu Rukwa
Wadau mbalimbali wa maendeleo katika Mkoa wa Rukwa wamekutanishwa katika warsha ya wadau wa lishe ili kuhakikisha wanajadili na kushirikiana juu ya utekelezaji wa afua za lishe ndani ya mkoa huo na hatimae kutokomeza utapiamlo unaopelekea zaidi ya watoto 90,000 walio na umri wa chini ya miaka mitano kuwa na udumavu
Katika kikao hicho kilichoongozwa na mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dkt. Khalfan Haule aliyemuwakilisha mkuu wa mkoa wa Rukwa alisema kuwa mbali na mpango mkakati...
Katika kikao hicho kilichoongozwa na mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dkt. Khalfan Haule aliyemuwakilisha mkuu wa mkoa wa Rukwa alisema kuwa mbali na mpango mkakati...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ugHb9t1tiNY/XuIvGNkNsiI/AAAAAAAEHws/4X2aVxgATicnZGwIwyqm_htZCqO4U7BxACLcBGAsYHQ/s72-c/12.jpg)
Rais Magufuli aitaka Wizara ya Afya kuongeza bajeti katika dawa za asili
![](https://1.bp.blogspot.com/-ugHb9t1tiNY/XuIvGNkNsiI/AAAAAAAEHws/4X2aVxgATicnZGwIwyqm_htZCqO4U7BxACLcBGAsYHQ/s640/12.jpg)
Rais Magufuli ametoa kauli hiyo leo jijini Dodoma wakati akizindua Jengo la Ofisi za TARURA zilizojengwa kwenye mji wa Mtumba.
"Nimeshatoa maelekezo kwa Wizara ya Afya, kile kitengo cha dawa asili kiendelezwe kwa nguvu zote na bajeti iongezwe ili watu...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jan
Wadau wataka wanahabari walindwe
WADAU wa habari mkoani Mtwara wameiomba serikali kuwawekea ulinzi wa kutosha waandishi wa habari wakati wanapotekeleza majukumu yao. Hayo yalisemwa na mdau wa habari, Mohamed Juma, wakati akichangia mada kwenye...
11 years ago
Mwananchi06 Jul
Wadau wataka mfumo wa elimu uboreshwe
Wadau wa elimu wamependekeza mfumo wa elimu nchi uboreshwe ili uendane na matakwa ya jamii.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania