Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WADAU WATAKA SERIKALI ZISIMAMIE UFUATILIAJI NA TATHMINI YA SDGs

Na Mwandishi Maalum, New York Mchakato wa ukamilishaji wa Malengo Mapya ya Maendeleo endelevu baada ya 2015 ( SDGs) umeingia katika hatua nyingine muhimu ambapo, nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa wanakutana hapa makao makuu ya UM wakijadiliana kuhusu mfumo wa ufuatiliaji na tathmini ya malengo hayo. Mkutano huo unaojadili aina ya mfumo wa ufuatiliaji na tathmini, utafanyika kwa siku nne na umeanza siku ya jumatatu kwa wajumbe kutoa mchango wa maoni na mawazo yao kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WADAU WATAKA SERIKALI ZISIMAMIE UFUATILIAJI NA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA SDGs

 Sehemu ya Wawakilishi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa  Mataifa katika siku yao ya kwanza ya mkutano wa siku nne unaojadili juu ya mfumo wa ufuatiliaji  na tathmini ya utekelezaji wa Maendeleo  Endelevu ya   Maendeleo baada ya 2015. Majadiliano  hayo ni  moja ya eneo muhimu kueleleka ukamilishaji wa  Mchakato wa  Ajenda na Malengo SDGs.  Mkutano huu unafanyika  hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa. Afisa Mkuu wa uwakilishi wa Kudumu wa  Tanzania  katika Umoja wa Mataifa, Bw. Songelael Shilla, ...

 

10 years ago

Michuzi

Viongozi Watendaji wa Serikali wakutana kujadili mifumo ya ufuatiliaji na tathmini

Mkutano wa faragha wa Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Makatibu Tawala wa Mikoa umeandaliwa na ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi ikishirikiana na UONGOZI Institute yenye lengo kuu ya viongozi hawa kujadiliana kuhusu mada kuu ya Mifumo ya Ufuatiliaji na Tathmin, pamoja na maswala mbali mbali za kitaifa. Mkutano huu wa siku mbili ulifanyika tarehe 27-28 Oktoba, 2014 mjini Dodoma.
“Napenda kuishukuru sana Taasisi ya Uongozi, na Mtendaji wake Mkuu, Prof. Joseph Semboja, kwa mchango wao mkubwa...

 

10 years ago

Habarileo

Wadau wa lishe wataka serikali kuongeza bajeti

WADAU wa masuala ya lishe nchini, wameiomba Serikali kuongeza kiwango cha fedha inachotenga kwenye bajeti yake kuhusu masuala ya lishe ili kuongeza nguvu zaidi katika kukabiliana na tatizo la utapiamlo nchini.

 

10 years ago

Michuzi

TASAF, Wadau wa maendeleo wafanya tathmini

Mfuko wa Maendeleo ya jamii-TASAF kwa ushirikiano na wadau wa Maendeleo wameanza mkutano wiki mbili wa tathmini ya utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini nchini -PSSN  unaosimamiwa na mfuko huo.
Zifuatazo ni picha zikionyesha wadau hao wa maendeleo na watendaji wa TASAF wakiwa katika kikao cha kupokea taarifa ya utekelezaji iliyowasilishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga katika ukumbi wa mikutani wa Makao makuu ya mfuko huo jijini Dar es Salaam.  Baadhi ya wadau...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wadau wataka wanahabari walindwe

WADAU wa habari mkoani Mtwara wameiomba serikali kuwawekea ulinzi wa kutosha waandishi wa habari wakati wanapotekeleza majukumu yao. Hayo yalisemwa na mdau wa habari, Mohamed Juma, wakati akichangia mada kwenye...

 

11 years ago

Mwananchi

Wadau wataka mfumo wa elimu uboreshwe

Wadau wa elimu wamependekeza mfumo wa elimu nchi uboreshwe ili uendane na matakwa ya jamii.

 

10 years ago

Mwananchi

Wadau wataka fursa kuwekeza kwenye reli

Wadau wa sekta binafsi nchini, wameitaka Serikali iwapatie fursa zaidi za kuwekeza katika sekta ya reli ili kuendeleza biashara na kukuza uchumi wa nchi.

 

10 years ago

Habarileo

Wadau wataka wabunge EAC kuchaguliwa na wananchi

Profesa Kitilla Mkumbo WANANCHI wametaka wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) kuchaguliwa na wananchi kutoka nchi wanachama badala ya hivi sasa wabunge hao kuchaguliwa na mabunge ya nchi wanazotoka.

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YAWATAKA WASIMAMIZI NA WADADISI WA UTAFITI WA TATHMINI YA HUDUMA ZA AFYA NCHINI KUZINGATIA WELEDI

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Seif Rashid akifungua mafunzo ya siku 27 kwa wakufunzi na wadadisi kutoka Tanzania Bara na Zanzibar watakaoendesha Utafiti wa Tathmini ya utoaji wa Huduma za Afya nchini 2014/15 leo mkoani Kilimanjaro. Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa akizungumza na washiriki wa mafunzo ya Utafiti wa Tathmini ya utoaji wa Huduma za Afya nchini leo mkoani Kilimanjaro. Mkufunzi wa mafunzo ya wasimamizi na wadadisi wa Utafiti wa Tathmini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani