Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wadau wataka fursa kuwekeza kwenye reli

Wadau wa sekta binafsi nchini, wameitaka Serikali iwapatie fursa zaidi za kuwekeza katika sekta ya reli ili kuendeleza biashara na kukuza uchumi wa nchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Wadau waombwa kuwekeza kwenye mapambano dhidi ya  maambukizi ya vvu

Kamati  za kudhibiti maambukizi vya virusi vya ugonjwa wa UKIMWI katika wilaya ya Pangani mkoani Tanga zimesema upo umuhimu kwa wadau mbalimbali kuendelea kuwekeza kwenye mapambano dhidi ya ugonjwa huo.

Kamati hizo zimesema licha ya baadhi ya jamii kuwa na uelewa dhidi ya ugonjwa huo jitihada zaidi  zinahitajika ili elimu hiyo imfikie kila mtu na hatimaye kujikinga na ugonjwa huo.

Wanakamati hao wametoa kauli hiyo katika tamasha la kuzizawadia kamati bora za ukimwi, jinsia, uongozi  na...

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI HALMASHAURI YA MWANGA AFUNGUKA FURSA ZA KIUCHUMI ZILIZOPO, AWAITA WAWEKEZAJI KUWEKEZA KWENYE UTALII


Charles James, Michuzi TV

NYUMBANI kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya. Nyumbani kwa Aliyekua Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Dk Asha-Rose Migiro. Ndipo nyumbani pia kwa Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Prof Jumanne Maghembe.

Naizungumzia Wilaya ya Mwanga iliyopo Kilimanjaro. Wilaya ambayo licha ya kutawaliwa na milima mingi lakini ina miundombinu madhubuti ya barabara na nishati ya umeme pia.

Wilaya ya Mwanga licha ya kuwa na Tarafa sita lakini umaarufu wa Tarafa...

 

10 years ago

Michuzi

JK AKUTANA NA UONGOZI WA MAKAMPUNI YA CHINA YANAYOTAKA KUWEKEZA KATIKA UJENZI WA RELI NCHINI TANZANIA

Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiangalia ramani ya Tanzania inayoonyesha mchoro wa reli ya Kati inayotarajiwa kujengwa upya na kwa viwango vya kisasa wakati alipokutana na uongozi wa juu wa makampuni ya China yakiongozwa na China Railway Group Ltd. Makampuni mengine ni SINOSURE, Exim Bank, China Development Bank na China Agriculture Development Bank. Rais Dkt. Kikwete yuko nchini China kwa ziara rasmi ya kikazi (State Visit).Rais Dkt. Jakaya Kikwete akifanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya...

 

10 years ago

Michuzi

Membe awahimiza Watanzania kuchangamkia fursa za kibiashara na kuwekeza katika Visiwa vya Comoro

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) amewahimiza wafanyabiashara wa Tanzania kuchangamkia fursa za biashara na uwekezaji Visiwani Comoro kwani uhusiano baina ya nchi hizi mbili umeimarika.  Mhe. Membe alitoa kauli hiyo wakati akilihutubia Kongamano la Biashara baina ya Tanzania na Comoro lililoandaliwa na Balozi za Tanzania na Comoro kwa kushirikiana na sekta binafsi za nchi hizo mbili jijini Moroni, Comoro tarehe 23 Aprili, 2015.  “Watanzania...

 

11 years ago

Michuzi

WADAU WA BANDARI NA RELI KUTOKA TANZANIA WAANZA ZIARA YA MAFUNZO UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye tai yenye rangi nyekundu) akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa reli na bandari wa Ubelgiji na Tanzania walionza ziara ya mafunzo leo Ubelgiji. Ziara hiyo ya wiki moja ina lengo la kujifunza mbinu mbalimbali zitakosaidia kuboresha miundombinu ya reli na bandari Tanzania.

 

10 years ago

Mwananchi

Repoa: Wananchi wachoshwa na ukata, wataka fursa za kujikwamua

Taasisi  ya  Utafiti wa Kupunguza Umasikini (Repoa)   imeiomba   Serikali   kutoa  nafasi   kwa  wananchi   waweze kutoa maamuzi  katika  mambo yanayowagusa  ili  kuwakwamua kiuchumi na kuwapunguzia machungu ya umasikini.

 

11 years ago

Habarileo

Wadau kujifunza fursa BRT

WAMILIKI wa mabasi ya abiria Dar es Salaam na wadau wengine watakutana jijini humo kujifunza fursa na kufahamu namna ya kushiriki katika mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT) unaotarajiwa kuanza baadaye mwaka huu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wadau wataka wanahabari walindwe

WADAU wa habari mkoani Mtwara wameiomba serikali kuwawekea ulinzi wa kutosha waandishi wa habari wakati wanapotekeleza majukumu yao. Hayo yalisemwa na mdau wa habari, Mohamed Juma, wakati akichangia mada kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani