Wadau kujifunza fursa BRT
WAMILIKI wa mabasi ya abiria Dar es Salaam na wadau wengine watakutana jijini humo kujifunza fursa na kufahamu namna ya kushiriki katika mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT) unaotarajiwa kuanza baadaye mwaka huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi08 Sep
Makosa yanakunyima fursa ya kujifunza
10 years ago
MichuziKitwanga awataka Watanzania kujifunza fursa Sekta ya Madini


5 years ago
Michuzi
Majanga na mitihani inatoa fursa ya kujifunza mambo mapya.

Nimetumia janga la Ugonjwa wa Virusi vya Korona [COVID19] kujifunza masuala kadhaa (hasa ya virusi na maambukizi) kutoka kwenye maandiko ya kitaaluma na mazungumzo na wataalam. Napenda kuchangia niliyojifunza.
1. Kwanza neno Corona. Corona ni neno la Kilatini. Tafsiri yake kwa Kiswahili ni taji. Corona hutumika zaidi kuelezea “taji la mwanga” linalovika au linalotokana na nyota, jua au mwezi. Jua linapozama, unaona jua na duara la mwanga linalozunguka jua. Hilo duara ndio Corona.
2. Kwanini...
10 years ago
Dewji Blog02 Jul
Boss wa UN, Alvaro Rodriguez atembelea Sabasaba, asema maonyesho ni fursa ya kujifunza
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Jacqueline Mneney Maleko (wa tatu kushoto) akiongozana na Mratibu Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (wa pili kushoto) mara baada ya kuwasili katika viwanja vya maonyesho ya 39 ya kimataifa ya biashara ‘Sabasaba’, barabara ya Kilwa, jijini Dar.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania...
10 years ago
Michuzi.jpg)
NEWS ALERT: BRT mbioni kuanza kipindi cha mpito baada ya wadau kukubaliana kuanza huduma ya mabasi ya haraka Dar es salaam
11 years ago
Mwananchi03 Nov
Wadau wataka fursa kuwekeza kwenye reli
10 years ago
Vijimambo
FURSA YA WADAU KATIKA SEKTA YA TAMTHILIA NA FILAMU

Hii ni fursa ya wadau katika sekta ya tamthilia na filamu, wakiwemo watayarishaji chipukizi na wakongwe kuongeza ujuzi wao.
Mafunzo hayo ni ya muda mfupi. Baadhi ya vitu vitakavyo fundishwa ni pamoja na
SCRIPT WRITING - WIKI 4
Uandishi wa filamu, Screenplay au script ni kazi inayoandikwa na screenwriters kwa ajili ya filamu, video game, au vipindi vya televisheni.
VIDEO EDITING - WIKI 4
ni mchakato wa kuhariri picha tofauti za video ili kukamilisha simulizi. Pia uweka special effects na...
10 years ago
StarTV10 Oct
Wadau barani Afrika wahimizwa kuchangamkia fursa za biashara
Wadau wa sekta ya uchumi barani Afrika wamehimizwa kuzichangamkia fursa za biashara na masoko kwa kuzingatia uwekezaji madhubuti ili kukuza uchumi wa nchi zao.
Wito huo umetolewa jijini Nairobi na meneja masoko wa kampuni ya Kenya airways Chris Diaz, akijielekeza zaidi kuzungumzia wajibu wa makampuni ya kibiashara barani Afrika kuzisaidia nchi za kiafrika kufanikisha mpango wa maendeleo wa 2030.
Mpango wa miaka kumi na tano ulioainishwa na Umoja wa mataifa hivi karibuni ukilenga kumaliza...
10 years ago
MichuziWADAU WA MAENDELEO YA VIWANDA WATANGAZA VYEMA FURSA ZA UWEKEZAJI NCHINI