Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Makosa yanakunyima fursa ya kujifunza

Watu wengi hupenda kujitetea na dhana ya kujifunza kutokana na makosa. Wanaamini, unapokosea jambo fulani au yanapotokea makosa katika jambo fulani, pia unapata fursa ya kujifunza.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wadau kujifunza fursa BRT

WAMILIKI wa mabasi ya abiria Dar es Salaam na wadau wengine watakutana jijini humo kujifunza fursa na kufahamu namna ya kushiriki katika mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT) unaotarajiwa kuanza baadaye mwaka huu.

 

5 years ago

Michuzi

Majanga na mitihani inatoa fursa ya kujifunza mambo mapya.


 Nimetumia janga la Ugonjwa wa Virusi vya Korona [COVID19] kujifunza masuala kadhaa (hasa ya virusi na maambukizi) kutoka kwenye maandiko ya kitaaluma na mazungumzo na wataalam. Napenda kuchangia niliyojifunza.

1. Kwanza neno Corona. Corona ni neno la Kilatini. Tafsiri yake kwa Kiswahili ni taji. Corona hutumika zaidi kuelezea “taji la mwanga” linalovika au linalotokana na nyota, jua au mwezi. Jua linapozama, unaona jua na duara la mwanga linalozunguka jua. Hilo duara ndio Corona.

2. Kwanini...

 

10 years ago

Michuzi

Kitwanga awataka Watanzania kujifunza fursa Sekta ya Madini

Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia Madini, Charles Kitwanga, akisisitiza jambo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kuimarisha ushirikishwaji wa watanzania katika sekta ya madini unaofanyika jijini MwanzaBaadhi wa washiriki wa mkutano wa kuimarisha ushirikishwaji wa watanzania katika sekta ya madini wakifuatilia hotuba ya Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga anayeshughulikia Nishati (hayupo pichani).Kamishna Msaidizi wa Madini anayeshughulikia Migodi Mhandisi Ally...

 

10 years ago

Dewji Blog

Boss wa UN, Alvaro Rodriguez atembelea Sabasaba, asema maonyesho ni fursa ya kujifunza

IMG_5941

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Jacqueline Mneney Maleko (wa tatu kushoto) akiongozana na Mratibu Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (wa pili kushoto) mara baada ya kuwasili katika viwanja vya maonyesho ya 39 ya kimataifa ya biashara ‘Sabasaba’, barabara ya Kilwa, jijini Dar.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).

IMG_5945

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel Fursa Yatumia zaidi ya milioni 3 kumpiga tafu mjasiliamali mwingine - Airtel Fursa wiki hii kuwafaidisha mamia ya vijana Mwanza

 Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (kulia), akiwa na kijana Mariam Mrisho (wa pili kulia) aliyewezeshwa na Airtel Fursa-Tunakuwezesha vifaa mbalimbali na jokufu kwa ajili ya kumsaidia katika biashara yake ya mama lishe na kutengeneza vitafunwa na juisi Dar es Salaam jana. Wa tatu kushoto ni mama wa Mariam Mrisho, Amina Lugome. Wengine ni ndugu zake Mrisho. Meneja Huduma kwa Jamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (katikati), akimkabidhi jokofu kijana Mariam Mrisho (wa...

 

9 years ago

Michuzi

AIRTEL FURSA YAENDELEA KUKWAMUA VIJANA HAPA NCHINI: Vijana wa Tanga wanufaika na mafunzo ya ujasiriamali kupitia Airtel Fursa

Wafanyabishara wadogo na wa kati zaidi ya 300 waliopo katika wilaya mbali mbali mkoani Tanga wameongezewa ujuzi wa elimu ya biashara ili waweze kufanya shughuli zao kwa ufanisi na kuweza kuongezaza kipato chao na kuchangia pato la taifa.  Kampuni ya Airtel Tanzania, kupitia mpango wake wa “Airtel Fursa Tunakuwezesha” imewapatia mafunzo ya ujasiriamali vijana wa manispaa ya Tanga kwa lengo la kuwawezesha kuboresha uendeshaji biashara na kukuza mitaji yao katika warsha iliyofanyika katika...

 

11 years ago

Habarileo

Watanzania kujifunza ufundi China

MJUMBE wa Baraza la Ushauri wa Kisiasa la China (CPPCC), Dk Annie Wu amesema atatoa ufadhili wa nafasi za masomo kwa wanafunzi wa Tanzania kwenda kusoma elimu ya ufundi nchini China.

 

9 years ago

Mwananchi

Wachina na harakati za kujifunza Kiswahili

Hivi karibun nchini Kenya Redio China Kimataifa ilianzisha darasa la kufundisha Kiswahili kwa Wachina waishio Kenya. Lengo kubwa la kufanya hivyo ni kutoa mafunzo ya lugha hiyo ili kuwawezesha Wachina hao kukifahamu Kiswahili na kuweza kuwasiliana na wenyeji katika shughuli zao za kila siku. Darasa hilo maalumu la Kiswahili linahusisha watu wa kada anuwai wakiwamo wafanyabiashara, wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa, Ubalozi wa China na waandishi wa habari.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanahabari kujifunza nishati Ufaransa

Waandishi wa habari wanne, wanatarajiwa kuondoka nchini kesho kwenda Paris, Ufaransa kujifunza masuala ya mabadiliko ya tabianchi na maendeleo ya uchumi katika sekta ya nishati.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani