Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania kujifunza ufundi China

MJUMBE wa Baraza la Ushauri wa Kisiasa la China (CPPCC), Dk Annie Wu amesema atatoa ufadhili wa nafasi za masomo kwa wanafunzi wa Tanzania kwenda kusoma elimu ya ufundi nchini China.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

China kufadhili wanafunzi elimu ya ufundi

NA NTAMBI BUNYAZU
Mjumbe wa Baraza la Ushauri wa Kisiasa la China, Dk. Annie Wu, amesema atatoa ufadhili wa nafasi za masomo kwa wanafunzi wa Kitanzania kwenda kusoma elimu ya ufundi nchini humo.
Alisema lengo la kufanya hivyo ni kukuza na kudumisha uhusiano mzuri uliopo kati ya Tanzania na China.
Dk. Wu amekuja nchini kwa mwaliko wa Rais Jakaya Kikwete, ambapo amefanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome.
Katika mazungumzo hayo alimwambia...

 

11 years ago

Habarileo

Watanzania kujifunza gesi, mafuta Canada

SERIKALI ya Tanzania inatarajia kutuma wataalamu kwenda Canada katika Kamisheni ya Mafuta na Gesi ya jimbo la British Columbia (BC Oil& Gas Commission), kujifunza udhibiti wa mafuta na gesi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watanzania wamekata tamaa kujifunza Kiingereza

WATANZANIA wengi wamekata tamaa ya kujifunza Kiingereza pia wanaigopa lugha hiyo. Hayo yalisemwa Dar es Salaam jana na Katibu Mkuu wa Mradi vitabu vya Watoto ‘Children’s Book Project’, Pilli Dumea...

 

10 years ago

Michuzi

Kitwanga awataka Watanzania kujifunza fursa Sekta ya Madini

Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia Madini, Charles Kitwanga, akisisitiza jambo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kuimarisha ushirikishwaji wa watanzania katika sekta ya madini unaofanyika jijini MwanzaBaadhi wa washiriki wa mkutano wa kuimarisha ushirikishwaji wa watanzania katika sekta ya madini wakifuatilia hotuba ya Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga anayeshughulikia Nishati (hayupo pichani).Kamishna Msaidizi wa Madini anayeshughulikia Migodi Mhandisi Ally...

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA YAASWA KUJIFUNZA NA KUCHUKUA HATUA KUFUATIA CHINA KUKATAZA MATUMIZI YA WINDOWS 8

Katika wiki chache zilizopita kulikuwa na msuguano kati ya serikali ya Marekani na China. Serikali ya Marekani inailaumu China kwa kufanya udukuzi kwenye kampuni zake na biashara nyingine, wakati China nayo ikiilaumu Marekani taarifa juu ya hili (inaweza kusomeka "HAPA" ). Uchina baada ya hali hiyo ikaamua kukataza matumizi ya windows 8 kwenye kompyuta zote za serikali na taasisi zote zinazopewa fedha na serikali ya nchi hiyo na hili linaweza kusomeka kwa kirefu na viambatanishi...

 

10 years ago

Bongo5

China: Kujiunga chuo, kujifunza udereva, ukitaka kuoa au kuolewa sharti uchangie damu

Ajali za barabarani duniani hutokea kila uchao, na wahitaji wa damu wanazidi kuongezeka huku idadi ya wachangia damu nayo ikizidi kushuka siku hadi siku na kuleta hatari kwa maisha ya wahitaji. Kutokana na hali hiyo mji wa Baoji nchini China uko kwenye harakati za uhamasishaji uchangiaji wa damu kwa mtindo wa kipekee , kampeni ambayo […]

 

10 years ago

GPL

BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA AFANYA ZIARA MKOANI KAGERA KUKAGUA ENEO LA KUJENGA CHUO CHA KISASA CHA UFUNDI (VETA) NA KUONA FURSA ZA UWEKEZAJI KATIKA MKOA

Balozi wa China nchini Tanzania,LU Youqing akicheza ngoma ya asili ya Mkoa wa Kagera wakati alipokuwa akilakiwa kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, John Mongella.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, John Mongella akimkabidhi Balozi wa China nchini Tanzania,LU Youqing Hati na ramani eneo lililotengwa na serikali ya mkoa kwa ajili ya kujenga chuo cha Ufundi (VETA) cha Kitaifa kilichoahidiwa na serikali ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Watanzania kunyongwa China

Watanzania zaidi ya 50 waliokamatwa wakijihusisha na biashara ya dawa za kulevya wahukumiwa kifo China

 

11 years ago

Mwananchi

China haitawanyonga Watanzania - Katibu

>Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imesema watu 15 waliokamatwa na dawa za kulevya nchini China, hawatanyongwa na badala yake watafungwa maisha nchini humo kutokana na mawasiliano mazuri ya kidiplomasia baina ya Tanzania na China.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani