China haitawanyonga Watanzania - Katibu
>Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imesema watu 15 waliokamatwa na dawa za kulevya nchini China, hawatanyongwa na badala yake watafungwa maisha nchini humo kutokana na mawasiliano mazuri ya kidiplomasia baina ya Tanzania na China.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili25 Jun
Watanzania kunyongwa China
11 years ago
Habarileo22 Jun
Watanzania kujifunza ufundi China
MJUMBE wa Baraza la Ushauri wa Kisiasa la China (CPPCC), Dk Annie Wu amesema atatoa ufadhili wa nafasi za masomo kwa wanafunzi wa Tanzania kwenda kusoma elimu ya ufundi nchini China.
10 years ago
VijimamboBALOZI WA CHINA AMTEMBELEA KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NJE.
Balozi wa China hapa nchini, Mhe.Lu Youqing akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula.
11 years ago
Mwananchi10 Jul
Mabinti Watanzania wanavyotumikishwa madanguroni China (Pt. 2)
11 years ago
Tanzania Daima25 Jun
Watanzania 35 kunyongwa China kwa mihadarati
VIJANA Watanzania 403 wamekamatwa katika nchi mbalimbali kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya katika kipindi cha mwaka 2008 hadi 2014, kati yao 35 wamehukumiwa kifo nchini China. Akizungumza...
11 years ago
Mwananchi09 Jul
Mabinti Watanzania wanavyotumikishwa madanguroni China-2
10 years ago
Habarileo13 Apr
Watanzania waingia, waishi China kinyemela
WATANZANIA wengi wametajwa kuingia na kuishi nchini China kinyemela na kusababisha wanapopata matatizo yanayohitaji msaada wa serikali kushindikana kupewa, kwa kuwa hawamo katika utaratibu wa Diaspora.
11 years ago
Habarileo11 Feb
‘Si kweli Watanzania 160 wamenyongwa China’
WIZARA ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, imekanusha taarifa za uvumi zinaosambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na vyombo vya habari, kuwa wapo Watanzania wapatao 160 wamenyongwa China kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya.