Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabinti Watanzania wanavyotumikishwa madanguroni China-2

>Jana katika tovuti hii, kulikuwa na habari ambayo inamuhusu binti wa Kitanzania Munira Mathias (siyo jina lake halisi) ambaye alipelekwa China kwa ahadi ya kupewa kazi hotelini, lakini alipofika hadithi iligeuka na alianza kutumikishwa katika biashara ya ukahaba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mabinti Watanzania wanavyotumikishwa madanguroni China (Pt. 2)

>Jana katika tovuti hii, kulikuwa na habari ambayo inamuhusu binti wa Kitanzania Munira Mathias (siyo jina lake halisi) ambaye alipelekwa China kwa ahadi ya kupewa kazi hotelini, lakini alipofika hadithi iligeuka na alianza kutumikishwa katika biashara ya ukahaba.

 

11 years ago

Mwananchi

Binti asimulia Watanzania wanavyotumikishwa kwenye madanguro China

>Wakati wanawake kwa wanaume wengi huenda barani Asia, hasa China kununua bidhaa kwa ajili ya kuja kuzichuuza, hali sasa ni tofauti kwa kuwa kuna wasichana ambao huenda huko kwa ahadi za ajira, lakini huishia kufanya ukahaba kwenye madanguro, gazeti hili linaweza kukuthibitishia.

 

11 years ago

Mwananchi

Watanzania Madanguroni China (Pt. 3): Munira alivyojikuta na ujauzito usiokuwa na baba

Munira anatuma salamu nyumbani Tanzania kuwaeleza adha anayokutana nayo, wasichana wenzake walioko China wanagundua na kumweka kitimoto. Hali inakuwa tete anatoweka.

 

11 years ago

GPL

WATANZANIA WANNE MBARONI KWA KUWATUMIKISHA MABINTI KINGONO NCHINI CHINA

Baadhi ya mabinti wanaotumikishwa katika biashara hiyo ya ngono. WATANZANIA wanne wametiwa nguvuni jijini Macau nchini China kwa kuwatumikisha mabinti katika biashara haramu ya ngono.
Chanzo:…

 

11 years ago

Habarileo

Mabinti wauzwa ukahaba China

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard MembeWATOTO wa kike wenye umri wa hadi miaka 14 wanadaiwa kufanyishwa biashara ya ukahaba China kutokana na kusafirishwa na baadhi ya Watanzania wasio waaminifu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Watanzania kunyongwa China

Watanzania zaidi ya 50 waliokamatwa wakijihusisha na biashara ya dawa za kulevya wahukumiwa kifo China

 

11 years ago

Mwananchi

China haitawanyonga Watanzania - Katibu

>Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imesema watu 15 waliokamatwa na dawa za kulevya nchini China, hawatanyongwa na badala yake watafungwa maisha nchini humo kutokana na mawasiliano mazuri ya kidiplomasia baina ya Tanzania na China.

 

11 years ago

Habarileo

Watanzania kujifunza ufundi China

MJUMBE wa Baraza la Ushauri wa Kisiasa la China (CPPCC), Dk Annie Wu amesema atatoa ufadhili wa nafasi za masomo kwa wanafunzi wa Tanzania kwenda kusoma elimu ya ufundi nchini China.

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania waingia, waishi China kinyemela

Balozi wa Tanzania nchini China, Abdulrahman Shimbo WATANZANIA wengi wametajwa kuingia na kuishi nchini China kinyemela na kusababisha wanapopata matatizo yanayohitaji msaada wa serikali kushindikana kupewa, kwa kuwa hawamo katika utaratibu wa Diaspora.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani