Mabinti wauzwa ukahaba China
WATOTO wa kike wenye umri wa hadi miaka 14 wanadaiwa kufanyishwa biashara ya ukahaba China kutokana na kusafirishwa na baadhi ya Watanzania wasio waaminifu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania09 Feb
Mabinti wa ukahaba warudishwa India
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
WASICHANA 22 walioingizwa nchini na mmiliki wa Continental Night Club na Hunters Club, Omprakash Singh kwa ajili ya kufanya biashara ya ukahaba wanarudishwa leo Nepal na India walikotoka.
Akizungumza jana na Mtanzania kwa njia ya simu, Kamishna wa Uhamiaji Udhibiti na Usimamizi wa Mipaka,
Abdallah Abdullah, alisema wasichana hao wanatarajia kuondoka leo baada ya kumaliza matibabu waliyokuwa wakipata.
“Wasichana waliokuwa wanaugua TB na UTI wote wamepona, tiketi...
11 years ago
BBCSwahili27 Mar
Walaghaiwa kushiriki ukahaba China
11 years ago
Mwananchi10 Jul
Mabinti Watanzania wanavyotumikishwa madanguroni China (Pt. 2)
11 years ago
Mwananchi09 Jul
Mabinti Watanzania wanavyotumikishwa madanguroni China-2
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/IlN0UevPKmb-nwmhLbasuiDe2zGvGjwG6GUU0C3i235R-RCbDWhr0SyhH8HUteW1dep*BnV4C*-iF-lgrLMhut69raM*EBfL/mabinti.png?width=650)
WATANZANIA WANNE MBARONI KWA KUWATUMIKISHA MABINTI KINGONO NCHINI CHINA
9 years ago
Mwananchi31 Aug
Wawili Simba ‘wauzwa’ Senegal
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YBFp7QfmCZduqhxN-3X2oODBSCjIPSchfy0AZ28DVLNSSF9oXLQQ66ZV-V3YKNeXCPJhTNshf9-ug8C-JI2w-Ia6RCknO-Bg/KAHABA.jpg?width=650)
WIMBI LA UKAHABA
11 years ago
Habarileo04 Feb
'Hakuna ukahaba UDOM'
MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Profesa Idris Kikula, ameeleza namna alivyofuatilia na kubaini wasichana wanaofanya vitendo vya kujiuza mjini hapa, wakijifanya ni wanafunzi wa chuo hicho.
11 years ago
Habarileo12 Dec
Wasichana 6 kortini kwa ukahaba
WASICHANA sita wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Sokoine Drive kujibu mashitaka ya kufanya biashara haramu ya ukahaba.