Mabinti wa ukahaba warudishwa India
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
WASICHANA 22 walioingizwa nchini na mmiliki wa Continental Night Club na Hunters Club, Omprakash Singh kwa ajili ya kufanya biashara ya ukahaba wanarudishwa leo Nepal na India walikotoka.
Akizungumza jana na Mtanzania kwa njia ya simu, Kamishna wa Uhamiaji Udhibiti na Usimamizi wa Mipaka,
Abdallah Abdullah, alisema wasichana hao wanatarajia kuondoka leo baada ya kumaliza matibabu waliyokuwa wakipata.
“Wasichana waliokuwa wanaugua TB na UTI wote wamepona, tiketi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo27 Mar
Mabinti wauzwa ukahaba China
WATOTO wa kike wenye umri wa hadi miaka 14 wanadaiwa kufanyishwa biashara ya ukahaba China kutokana na kusafirishwa na baadhi ya Watanzania wasio waaminifu.
10 years ago
Vijimambo08 Jul
‘WATOTO’ WA DIAMOND WARUDISHWA SHULENI
![](http://api.ning.com/files/o1QX7UF1Vt4T*4ofbENGAVfgFQ0J*XxSfoazlh*iN*2kfqdzzA8F4qxfWVYc3oI5-5v4GIB6lKy*Am4Zve4Wqel1vf5-c-z9/dshule9.jpeg?width=650)
Gladness Mallya na Gabriel Ng’osha GPL
BAADA ya vuta nikuvute ya wazazi wa wanafunzi, Hilary na Hamis ‘watoto wa Diamond’ walioshinda katika shindano la kucheza Ngololo mwaka jana na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuahidi kuwasomesha katika shule ya East Africa International iliyopo Mikocheni, Dar huku akishindwa kuwalipia ada na watoto hao kurudishwa nyumbani, hatimaye wamerejeshwa tena shuleni.
Baada ya gazeti hili kuripoti habari...
10 years ago
Mwananchi26 Apr
Watanzania waliokuwa Afrika Kusini warudishwa
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGbho7Eysa4Hb3nJ9MsFqIA*2s-v9ppu55456*ysTU33XEwjePRP8JyYmZ61QJib7SFKPwXlm0VvBXOKTRmBkmjk/wabongo.gif?width=650)
Wabongo waliopelekwa Brazil watelekezwa, warudishwa
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oncLOIv1tO66M60WKbqJqohWx5vSxjx3dji4P6bJwMc3aKejIZ2qOPyH7B03xcCExGVGYnrNBj3oZMa9kuFUawKJMYFeTyoi/DivaLovenessLoveMARCH5B15D.jpg?width=650)
DIVA, B 12, MCHOMVU WARUDISHWA KAZINI CLOUDS
10 years ago
Mwananchi27 Jan
Muswada wa Takwimu wadunda tena bungeni, warudishwa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/o1QX7UF1Vt4T*4ofbENGAVfgFQ0J*XxSfoazlh*iN*2kfqdzzA8F4qxfWVYc3oI5-5v4GIB6lKy*Am4Zve4Wqel1vf5-c-z9/dshule9.jpeg?width=650)
‘WATOTO’ WA DIAMOND WARUDISHWA SHULENI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-34gkG2bvZgQ/Xk5NMbRtsGI/AAAAAAAC77Q/8fAt00BJRFcQGlJ5JR02lcLJ9yT3U55ugCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200220-WA0011.jpg)
WANAFUNZI WALIOCHUKULIWA NA KUWA WAFANYAKAZI WA NDANI WARUDISHWA ITISO
AFISA Tarafa wa Itiso Remidius Emmanuel ameendelea na oparesheni ya kuwafikia wazazi na walezi wote kwa kupita nyumba kwa nyumba na kuwabaini wale wote ambao hadi sasa wameshindwa kuwapeleka watoto wao kuripoti na kuanza masomo ya kidato cha kwanza tangu kufunguliwa kwa shule hizo tarehe 06.01.2020.
Kiongozi huyo amesema juhudi hizo ni sehemu ya maelekezo ya Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Vumilia Nyamoga katika kuhakikisha wanafunzi wote waliofaulu na kuchaguliwa kujiunga na kidato cha...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YBFp7QfmCZduqhxN-3X2oODBSCjIPSchfy0AZ28DVLNSSF9oXLQQ66ZV-V3YKNeXCPJhTNshf9-ug8C-JI2w-Ia6RCknO-Bg/KAHABA.jpg?width=650)
WIMBI LA UKAHABA