Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabongo waliopelekwa Brazil watelekezwa, warudishwa

Joseph Ngilisho na Basili Elias, Arusha
JUMLA ya vijana nane kutoka wilayani Arumeru waliopelekwa nchini Brazil na Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Nyirembe Munasa, kwa lengo la kushuhudia Fainali za Kombe la Dunia, wameonja machungu kwa siku 10 nchini humo baada ya kutelekezwa katika viwanja mbalimbali vya ndege bila mahali pa kufikia. Inadaiwa kuwa, mara baada ya vijana hao kufika uwanja wa ndege nchini humo, walisogea hadi katika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WATOTO MAPACHA WALIOPELEKWA KUTENGANISHWA NCHINI INDIA WAREJEA JIJINI DAR.

 Watoto mapacha kutoka wilayani Kyela mkoani Mbeya waliokuwa wamepelekwa na serikali chini ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kufanyiwa upasuaji mkubwa wa kuwatenganisha wakiwasili nchini Tanzania kutokea nchini India walipokuwa wakipatiwa matibabu katika hospitali ya watoto ya Appolo. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Magonjwa ya Nje wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Edward Sawe, mama mzazi wa watoto hao Bi. Grace Joel na Daktari aliyekuwa akiwaangalia nchini India Dkt.Glory Joseph.

 

10 years ago

Habarileo

Maiti wenye majeraha watelekezwa Mjohoroni

Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro, Geofrey KamwelaWATU watatu wanaume wasiofahamika, wamekutwa wamekufa na kutelekezwa maeneo ya Mjohoroni wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, huku miili yao ikionesha majeraha maeneo tofauti pamoja na kuvuja damu nyingi puani.

 

10 years ago

Habarileo

Wanachuo watelekezwa, wazirai kwa njaa

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dk Norman Sigalla.WANAFUNZI 46 wa chuo kipya cha kilimo na mifugo cha Nice Dream kilichopo Mtaa wa Mapelele, Kata ya Ilemi jijini Mbeya wamejikuta wakiwa katika wakati mgumu, baada ya kutelekezwa na uongozi wa chuo hicho, kiasi cha kushindwa kupata chakula kwa siku tano mfululizo, hali iliyosababisha baadhi yao kuzirai.

 

11 years ago

GPL

WATOTO NJITI MAPACHA WATELEKEZWA NA BABA YAO

Fatuma Hussein akiwa na watoto wake mapacha. Watoto mapacha wakiwa wamelala. Rahma akiwa kalala.…

 

9 years ago

Global Publishers

Mkuu wa Upelelezi TANAPA achinjwa shingo, mwili watelekezwa!

liberatusi-saKamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas. POLISI mkoani Arusha imewatia mbaroni watu wawili wanaohusishwa na tukio la kuuawa kinyama kwa kuchinjwa shingo kwa Mkuu wa Idara ya Upelelezi ya Ulinzi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), Stephen Kisamo. Kifo cha Kisamo kinahusishwa na mambo mengi yakiwemo vita ya kupambana na ujangili, ikielezwa mkuu huyo alikuwa na siri nzito juu ya watu wanaojihusisha na ujangili wakiwemo wafanyabiashara wakubwa wa ndani na nje ya Arusha,...

 

10 years ago

Vijimambo

‘WATOTO’ WA DIAMOND WARUDISHWA SHULENI

‘Watoto wa Diamond’ Hilary na Hamis.
Gladness Mallya na Gabriel Ng’osha GPL
BAADA ya vuta nikuvute ya wazazi wa wanafunzi, Hilary na Hamis ‘watoto wa Diamond’ walioshinda katika shindano la kucheza Ngololo mwaka jana na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuahidi kuwasomesha katika shule ya East Africa International iliyopo Mikocheni, Dar huku akishindwa kuwalipia ada na watoto hao kurudishwa nyumbani, hatimaye wamerejeshwa tena shuleni.

Baada ya gazeti hili kuripoti habari...

 

10 years ago

Mtanzania

Mabinti wa ukahaba warudishwa India

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam

WASICHANA 22 walioingizwa nchini na mmiliki wa Continental Night Club na Hunters Club, Omprakash Singh kwa ajili ya kufanya biashara ya ukahaba wanarudishwa leo Nepal na India walikotoka.

Akizungumza jana na Mtanzania kwa njia ya simu, Kamishna wa Uhamiaji Udhibiti na Usimamizi wa Mipaka,
Abdallah Abdullah, alisema wasichana hao wanatarajia kuondoka leo baada ya kumaliza matibabu waliyokuwa wakipata.

“Wasichana waliokuwa wanaugua TB na UTI wote wamepona, tiketi...

 

11 years ago

GPL

DIVA, B 12, MCHOMVU WARUDISHWA KAZINI CLOUDS

Loveness Malinzi ‘Diva’. WATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi ‘B 12’, Adam Mchomvu na Loveness Malinzi ‘Diva’, wamerudishwa kazini baada ya kuomba msamaha. Hamis Mandi ‘B 12’.…

 

10 years ago

Mwananchi

Watanzania waliokuwa Afrika Kusini warudishwa

Dar es Salaam. Serikali imewarejesha nyumbani Watanzania 26 walioathiriwa na mashambulizi yanayofanywa na wazawa dhidi ya wageni katika Jiji la Durban nchini Afrika Kusini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani