Mkuu wa Upelelezi TANAPA achinjwa shingo, mwili watelekezwa!
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas. POLISI mkoani Arusha imewatia mbaroni watu wawili wanaohusishwa na tukio la kuuawa kinyama kwa kuchinjwa shingo kwa Mkuu wa Idara ya Upelelezi ya Ulinzi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), Stephen Kisamo. Kifo cha Kisamo kinahusishwa na mambo mengi yakiwemo vita ya kupambana na ujangili, ikielezwa mkuu huyo alikuwa na siri nzito juu ya watu wanaojihusisha na ujangili wakiwemo wafanyabiashara wakubwa wa ndani na nje ya Arusha,...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo21 Dec
Mkuu wa Upelelezi TANAPA achinjwa
POLISI mkoani Arusha imewatia mbaroni watu wawili wanaohusishwa na tukio la kuuawa kinyama kwa kuchinjwa shingo kwa Mkuu wa Idara ya Upelelezi ya Ulinzi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), Stephen Kisamo.
11 years ago
Michuzi25 Jul
11 years ago
Habarileo29 Apr
Mkuu wa Upelelezi auawa kwa kisu
MKUU wa Upelelezi, Kituo cha Polisi Isebania Wilaya ya Kurya West, Kenya kilicho mpakani na Tanzania, John Kaduri ameuawa kwa kuchomwa kisu shingoni na mtuhumiwa wa vitendo vya uhalifu.
10 years ago
GPLWILAYA KIPOLISI UKONGA YAMUAGA ALIYEKUWA MKUU WA UPELELEZI.
10 years ago
MichuziASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA AJISALIMISHA POLISI KWA MKUU WA UPELELEZI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM
Askofu Gwajima alifika kituo kikuu cha Polisi saa nane na dakika kumi na tano mchana wa tarehe 27/03/2015. Mara baada ya kufika kituoni hapo alielekezwa kwenda kumuona Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Constantine Masawe ambaye alikuwa akisubiri kufika...
9 years ago
Mwananchi20 Dec
Mkuu wa Idara ya Ulinzi Tanapa auawa, atelekezwa
10 years ago
Michuzi18 Dec
10 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA KILIMANJARO LEONIDAS GAMA AKABIDHIWA MRADI WA UJENZI WA UKUMBI WA CHAKULA ULIOFADHILIWA NA TANAPA
10 years ago
MichuziMKUU WA MAJESHI MSTAAFU JENERALI MRISHO SARAKIKYA APEWA TUZO YA HESHIMA NA TANAPA KWA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO MARA 38