Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WILAYA KIPOLISI UKONGA YAMUAGA ALIYEKUWA MKUU WA UPELELEZI.

Aliyekuwa  mkuu wa upelelezi Wilaya ya Ukonga SSP Idd Kiyomo akiwa  na mke  wake  wakiinga ndani ya ukumbi wa Stakishari Polisi  kwa ajili ya kuagwa  rasmi. Mkuu  huyo ambaye  kwa sasa anahamia mkoani Tabora kwenda kutimiza  majukumu aliyokuwa akiyatekeleza Ukonga akiteta jambo na  Mwenyekiti wa serikali ya mtaa ... Mh Tambalizeni… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MAZISHI YA ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA YA MICHEWENI PEMBA ND.JABU KHAMIS MTWANA YALIYOFANYIKA JANA KIJINI KWAO WILAYA YA MICHEWENI

 Jeneza lililobeba mwili wa marehemu.
 Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akishiriki katika mazishi ya aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Micheweni Pemba.

 

10 years ago

Michuzi

AMIRI JESHI MKUU RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA YA KYERWA LUTENI KANALI BENEDICT KITENGA (MSTAAFU) LEO MKOANI MOROGORO

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete (pichani kati) na Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda (pichani shoto) wakishuhudia askari wa jeshi la Wananchi (JWTZ) wakipiga risasi hewani kama sehemu ya heshima ya kumuaga aliyekuwa mkuu wa wilaya mpya ya Kyerwa mkoani Kagera leo,Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (mstaafu) huko kwenye makaburi ya Mlima Kola Kigurunyembe mkoani Morogoro. PICHA NA IKULU.

 

11 years ago

Michuzi

mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa Hayati Moshi Mussa Chang'a

Baadhi ya Wakuu wa Wilaya nchini na Wananchi wakishiriki kubeba mwili wa Marehemu aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa Hayati Moshi Mussa Chang'a kwa ajili ya kwenda kuusalia katika Msikiti wa Mwanchang'a Kihesa na baadae kupelekwa katika makaburi Mtwivila alikozikwa rasmi na mamia ya wananchi walijitokeza katika msiba huo Mkoani Iringa jana.  Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akisalimiana kwa majonzi makubwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

9 years ago

Vijimambo

ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA YA MICHEWENI PEMBA NDG JABU KHAMIS MBWANA AFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO

Mhe Jabu Khamis Mbwana alipoapishwa kuwa Mkuu wa Wilaya na rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi, Dr A|li Mohamed Shein. 
Innaa lillaahi wainnaa ilayhi Raaji'un
Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Nd. Jabu Khamis Mbwana amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo Kijiji kwake Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Marehemu Jabu alikuwa akisumbuliwa na homa kwa takriban wiki moja sasa na maziko yatafanyika huko Kiuyu saa nne za asubuhi leo hii.

Mkuu huyo wa Wilaya ya...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA NYUMBANI KWA ALIYEKUWA MBUNGE WA UKONGA DAR

Waziri wa Maendele Jamii Jinsia na Watoto Mhe.Sophia Simba (katikati) akizungumza na waombolezaji waliofika nyumbani wa Marehemu,Eugen Mwaiposa leo Mchana. Mme wa Marehemu, ,Ally Mwaiposa (aliyekaa) akifarijiwa na waombolezaji waliofika nyumbani kwake. Nyumbani kwa Marehemu Eugen…

 

10 years ago

Dewji Blog

Shughuli ya kuaga mwili wa Mhe. Eugen Mwaiposa aliyekuwa Mbunge wa Ukonga

6

Mwili wa marehemu  Mhe. Eugen Mwaiposa aliyekuwa mbunge wa Ukonga ukiwasili kwenye viwanja vya bunge leo mjini Dodoma kwa ajili ya kuagwa.

12

Wabunge Mhe. Anna Abdalla (kushoto) na Mhe. Ester Bulaya wakiaga mwili wa  marehemu Mhe. Eugen Mwaiposa aliyekuwa mbunge wa Ukonga kwenye viwanja vya bunge leo mjini Dodoma.

4

Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge Wanawake Mhe. Anna Abdallah akimfariji mume wa marehemu Mhe. Eugen Mwaiposa mbunge wa Ukonga aliyefariki usiku wa kuamkia Juni 2 nyumbani kwake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani