Mkuu wa Idara ya Ulinzi Tanapa auawa, atelekezwa
Watu wasiojulikana wamemuua kwa kumchinja Mkuu wa Idara ya Ulinzi na Usalama katika Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa), Emily Kisamo kisha kumweka katika buti la gari lake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo21 Jun
TANAPA yaanzisha kamati za ulinzi vijijini
SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (Tanapa), limeanzisha mpango wa kuunda kamati za ulinzi shirikishi kwenye vijiji vinavyozunguka hifadhi, ili kuongeza nguvu ya kupambana na ujangili.
11 years ago
Michuzi25 Jul
10 years ago
Vijimambo31 Jul
ASKARI WA TANAPA ASHINDA TUZO YA ULINZI WA FARU AFRIKA
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/1104.jpg)
![2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/296.jpg)
Askari Daraja la Pili Malale Patrick Mwita kutoka Hifadhi ya Taifa Serengeti ameshinda Tuzo ya kila mwaka ya Askari Bora katika ulinzi...
10 years ago
Dewji Blog31 Jul
Askari wa TANAPA ashinda tuzo ya Ulinzi wa Faru Bara la Afrika
Meneja Mawasiliano wa Tanapa, Pascal Shelutete (wa tatu kutoka kushoto) akitangaza ushindi wa Tuzo hiyo akiwa na maafisa wa Shirika hilo ambao wana jukumu la kuhifadhi maliasili kwaajili ya kizazi cha sasa na kijacho.
Mwandishi wetu,Arusha
Askari Daraja la Pili ,Malale Patrick Mwita kutoka Hifadhi ya Taifa Serengeti ameshinda Tuzo ya kila mwaka ya Askari Bora katikaulinzi wa Faru kwa mwaka 2015 barani Afrika inayojulikana “2015 Rhino Conservation Awards”Meneja Mawasiliano wa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-p_QMEZSqIso/VbtjZ2FVpmI/AAAAAAAAEiA/UvaWKjxXpqo/s72-c/1.jpg)
ASKARI WA TANAPA ASHINDA TUZO YA ULINZI WA FARU BARANI AFRIKA
![](http://4.bp.blogspot.com/-p_QMEZSqIso/VbtjZ2FVpmI/AAAAAAAAEiA/UvaWKjxXpqo/s640/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-wqkAs__75zQ/VbtjjpE5G8I/AAAAAAAAEiI/as391ebncz4/s640/2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-lV0ogl-mdws/Vbtjs7Px_aI/AAAAAAAAEiQ/0pSGH5xrqIw/s640/3.jpg)
9 years ago
MichuziTANAPA YAIMARISHA ULINZI WA TEMBO KWA KUWAFUNGA VIFAA MAALUM.
10 years ago
Dewji Blog31 Jul
Askari wa TANAPA ashinda tuzo ya Ulinzi wa Faru Baara la Afrika
Meneja Mawasiliano wa Tanapa, Pascal Shelutete (wa tatu kutoka kushoto) akitangaza ushindi wa Tuzo hiyo akiwa na maafisa wa Shirika hilo ambao wana jukumu la kuhifadhi maliasili kwaajili ya kizazi cha sasa na kijacho.
Mwandishi wetu,Arusha
Askari Daraja la Pili ,Malale Patrick Mwita kutoka Hifadhi ya Taifa Serengeti ameshinda Tuzo ya kila mwaka ya Askari Bora katikaulinzi wa Faru kwa mwaka 2015 barani Afrika inayojulikana “2015 Rhino Conservation Awards”Meneja Mawasiliano wa...
11 years ago
GPLWASHIRIKI WARSHA YA MASHIRIKIANO YA TANAPA NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA KATIKA KUPAMBANA NA UJANGILI YAFANA ARUSHA
11 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII AFUNGA WARSHA YA MASHIRIKIANO BAINA YA TANAPA NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA
Taifa,(TANAPA) na Vyombo vya Ulinzi na Usalama.
Meneja Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa ,TANAPA,Pascal Shelutete akifanya utamburisho kwa washiriki wa Warsha hiyo...