Askari wa TANAPA ashinda tuzo ya Ulinzi wa Faru Baara la Afrika
Meneja Mawasiliano wa Tanapa, Pascal Shelutete (wa tatu kutoka kushoto) akitangaza ushindi wa Tuzo hiyo akiwa na maafisa wa Shirika hilo ambao wana jukumu la kuhifadhi maliasili kwaajili ya kizazi cha sasa na kijacho.
Mwandishi wetu,Arusha
Askari Daraja la Pili ,Malale Patrick Mwita kutoka Hifadhi ya Taifa Serengeti ameshinda Tuzo ya kila mwaka ya Askari Bora katikaulinzi wa Faru kwa mwaka 2015 barani Afrika inayojulikana “2015 Rhino Conservation Awards”Meneja Mawasiliano wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo31 Jul
ASKARI WA TANAPA ASHINDA TUZO YA ULINZI WA FARU AFRIKA
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/1104.jpg)
![2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/296.jpg)
Askari Daraja la Pili Malale Patrick Mwita kutoka Hifadhi ya Taifa Serengeti ameshinda Tuzo ya kila mwaka ya Askari Bora katika ulinzi...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-p_QMEZSqIso/VbtjZ2FVpmI/AAAAAAAAEiA/UvaWKjxXpqo/s72-c/1.jpg)
ASKARI WA TANAPA ASHINDA TUZO YA ULINZI WA FARU BARANI AFRIKA
![](http://4.bp.blogspot.com/-p_QMEZSqIso/VbtjZ2FVpmI/AAAAAAAAEiA/UvaWKjxXpqo/s640/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-wqkAs__75zQ/VbtjjpE5G8I/AAAAAAAAEiI/as391ebncz4/s640/2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-lV0ogl-mdws/Vbtjs7Px_aI/AAAAAAAAEiQ/0pSGH5xrqIw/s640/3.jpg)
10 years ago
Dewji Blog31 Jul
Askari wa TANAPA ashinda tuzo ya Ulinzi wa Faru Bara la Afrika
Meneja Mawasiliano wa Tanapa, Pascal Shelutete (wa tatu kutoka kushoto) akitangaza ushindi wa Tuzo hiyo akiwa na maafisa wa Shirika hilo ambao wana jukumu la kuhifadhi maliasili kwaajili ya kizazi cha sasa na kijacho.
Mwandishi wetu,Arusha
Askari Daraja la Pili ,Malale Patrick Mwita kutoka Hifadhi ya Taifa Serengeti ameshinda Tuzo ya kila mwaka ya Askari Bora katikaulinzi wa Faru kwa mwaka 2015 barani Afrika inayojulikana “2015 Rhino Conservation Awards”Meneja Mawasiliano wa...
10 years ago
Habarileo01 Aug
Askari ashinda tuzo ya ulinzi wa faru
ASKARI daraja la pili, Malale Mwita kutoka Hifadhi ya Taifa ya Serengeti ameshinda tuzo ya kila mwaka ya askari bora katika ulinzi wa faru kwa mwaka 2015 Barani Afrika.
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Mkenya ashinda Tuzo ya CNN Afrika
10 years ago
MichuziWASHINDI TUZO ZA HABARI TANAPA WATEMBELEA MAENEO YA KIHISTORIA AFRIKA KUSINI
9 years ago
BBCSwahili11 Dec
Toure ashinda tuzo ya BBC ya mwanasoka bora Afrika
9 years ago
Mwananchi11 Dec
Manji ashinda tuzo nyingine ya mjasiriamali kijana Afrika
10 years ago
MichuziWASHINDI TUZO ZA HABARI ZA TANAPA 2013 WAENDELEA KUJIFUNZA MAENEO YA UTALII AFRIKA KUSINI