Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkuu wa Upelelezi TANAPA achinjwa

POLISI mkoani Arusha imewatia mbaroni watu wawili wanaohusishwa na tukio la kuuawa kinyama kwa kuchinjwa shingo kwa Mkuu wa Idara ya Upelelezi ya Ulinzi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), Stephen Kisamo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Mkuu wa Upelelezi TANAPA achinjwa shingo, mwili watelekezwa!

liberatusi-saKamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas. POLISI mkoani Arusha imewatia mbaroni watu wawili wanaohusishwa na tukio la kuuawa kinyama kwa kuchinjwa shingo kwa Mkuu wa Idara ya Upelelezi ya Ulinzi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), Stephen Kisamo. Kifo cha Kisamo kinahusishwa na mambo mengi yakiwemo vita ya kupambana na ujangili, ikielezwa mkuu huyo alikuwa na siri nzito juu ya watu wanaojihusisha na ujangili wakiwemo wafanyabiashara wakubwa wa ndani na nje ya Arusha,...

 

11 years ago

Habarileo

Mkuu wa Upelelezi auawa kwa kisu

MKUU wa Upelelezi, Kituo cha Polisi Isebania Wilaya ya Kurya West, Kenya kilicho mpakani na Tanzania, John Kaduri ameuawa kwa kuchomwa kisu shingoni na mtuhumiwa wa vitendo vya uhalifu.

 

10 years ago

GPL

WILAYA KIPOLISI UKONGA YAMUAGA ALIYEKUWA MKUU WA UPELELEZI.

Aliyekuwa  mkuu wa upelelezi Wilaya ya Ukonga SSP Idd Kiyomo akiwa  na mke  wake  wakiinga ndani ya ukumbi wa Stakishari Polisi  kwa ajili ya kuagwa  rasmi. Mkuu  huyo ambaye  kwa sasa anahamia mkoani Tabora kwenda kutimiza  majukumu aliyokuwa akiyatekeleza Ukonga akiteta jambo na  Mwenyekiti wa serikali ya mtaa ... Mh Tambalizeni… ...

 

10 years ago

Michuzi

ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA AJISALIMISHA POLISI KWA MKUU WA UPELELEZI KANDA MAALUM DAR ES SALAAM

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limeanza kumhoji Askofu JOSEPHAT GWAJIMA wa Kanisa la Ufufuo na Uzima baada ya kujisalimisha kama alivyotakiwa kufanya hivyo na Kamishana wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam.
Askofu Gwajima alifika kituo kikuu cha Polisi saa nane na dakika kumi na tano mchana wa tarehe 27/03/2015. Mara baada ya kufika kituoni hapo alielekezwa kwenda kumuona Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Constantine Masawe ambaye alikuwa akisubiri kufika...

 

9 years ago

Mwananchi

Mkuu wa Idara ya Ulinzi Tanapa auawa, atelekezwa

Watu wasiojulikana wamemuua kwa kumchinja Mkuu wa Idara ya Ulinzi na Usalama  katika Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa), Emily Kisamo kisha kumweka katika buti la gari lake.

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO LEONIDAS GAMA AKABIDHIWA MRADI WA UJENZI WA UKUMBI WA CHAKULA ULIOFADHILIWA NA TANAPA

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama akisalimiana na viongozi wa wilaya ya Rombo mara baada ya kuwasili katika shule ya sekondari Olele iliyopo kata ya Olele kwa ajili ya kukabidhi Mradi wa ujenzi wa ukumbi wa Chakula uliojengwa kwa ufadhili wa Shirika la Hifadhi za Taifa , Tanzania (TANAPA).Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama pamoja na mkuu wa wilaya ya Rombo Lembris Kipuyo wakifurahia nyimbo iliyokuwa ikiimbwa na wanafunzi wa shule ya  sekondari ya Olele wakati alipofika kwa...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MAJESHI MSTAAFU JENERALI MRISHO SARAKIKYA APEWA TUZO YA HESHIMA NA TANAPA KWA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO MARA 38

Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akimkabidhi tuzo maalum ya heshima Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Sarakikya akiwa na mkewe kwa kupanda mlima Kilimanjaro mara 38, Jenerali Sarakikya pia  amepewa Kadi maalum ya kuingia mbuga zozote za TANAPA Bure yeye pamoja na familia yake, lakini katika hatua nyingine  atalipiwa gharama zote za kushiriki mkutano wa masuala ya utalii kuhusu milima mirefu zaidi duniani  yeye pamoja na mke wake huko nchini Marekani, Katika mkutano huo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani