MKUU WA MAJESHI MSTAAFU JENERALI MRISHO SARAKIKYA APEWA TUZO YA HESHIMA NA TANAPA KWA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO MARA 38
![](http://3.bp.blogspot.com/-88xmnCjl42I/VZGnkJyiC5I/AAAAAAAC75k/FtSi_R81hXU/s72-c/15.jpg)
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu akimkabidhi tuzo maalum ya heshima Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Sarakikya akiwa na mkewe kwa kupanda mlima Kilimanjaro mara 38, Jenerali Sarakikya pia amepewa Kadi maalum ya kuingia mbuga zozote za TANAPA Bure yeye pamoja na familia yake, lakini katika hatua nyingine atalipiwa gharama zote za kushiriki mkutano wa masuala ya utalii kuhusu milima mirefu zaidi duniani yeye pamoja na mke wake huko nchini Marekani, Katika mkutano huo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-mJyhK9iHA5w/VmUS0QgZ8xI/AAAAAAAAX6E/urV_-8Mo9rM/s72-c/IMG_0925%2B%25281024x683%2529.jpg)
MKUU WA MAJESHI MSTAAFU, JENERALI GEORGE WAITARA AONGOZA TIMU YA MAAFISA 24 WA JESHI KUPANDA MLIMA KILIMANJARO
![](http://3.bp.blogspot.com/-mJyhK9iHA5w/VmUS0QgZ8xI/AAAAAAAAX6E/urV_-8Mo9rM/s640/IMG_0925%2B%25281024x683%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-TdRpHV6vOUo/VmUSfgLwDWI/AAAAAAAAX5c/iTHuuYxJ8_8/s640/IMG_0908%2B%25281024x683%2529.jpg)
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Fulgence Mponji akizungumza katia hafla fupi ya kuanzisha safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa maofisa 24 wa jeshi la wananchi Tanzania .kulia ni Mkuu wa Majeshi Mstaafu,Jenerali George Waitara na kushoto ni Mnadhimu mkuu wa Jeshi la wananchi ,Luteni...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-PQLi7CFm3_0/VVQxeL0FhGI/AAAAAAAAPgk/ESbXHxt6Jnc/s72-c/E86A7406%2B(800x533).jpg)
HIFADHI YA MLIMA KILIMANJARO YATANGAZA OFA YA KUPANDA MLIMA HUO KWA WATALII WA NDANI WA AFRIKA MASHARIKI.
![](http://1.bp.blogspot.com/-PQLi7CFm3_0/VVQxeL0FhGI/AAAAAAAAPgk/ESbXHxt6Jnc/s640/E86A7406%2B(800x533).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-nk0KZCcGQN4/VVQxgn_gTwI/AAAAAAAAPg8/7xN5938A0zA/s640/E86A7410%2B(800x533).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-GlZpcsbrQw0/VVQxh9G8W4I/AAAAAAAAPhE/UPUw9RgUWu8/s640/E86A7429%2B(800x533).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-enM6rRU2dM8/VVQxizBL0aI/AAAAAAAAPhM/p5osEa44hGU/s640/E86A7444%2B(800x533).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-4aKvL6XrIiI/VVQxjbG9bzI/AAAAAAAAPhQ/ugq5vjzVRTI/s640/E86A7450%2B(800x533).jpg)
10 years ago
MichuziMAGEREZA WAJIFUA TAYARI KWA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-GlZpcsbrQw0/VVQxh9G8W4I/AAAAAAAAPhE/UPUw9RgUWu8/s72-c/E86A7429%2B(800x533).jpg)
KINAPA YATANGAZA OFA YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA WATALII WA NDANI WA AFRIKA MASHARIKI
IDADI ya watalii wanaotembelea hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) imeongezeka kutoka 37,000 hadi kufikia 51,287 ndani ya kipindi cha miaka 10 huku asilimia 4 na sita kati yao wakiwa ni wazawa.
Asilimia hiyo inatajwa ni ya watanzania ambao wamekuwa wakipanda Mlima huo kwa muda wa siku moja hali inayoilazimu uongozi wa hifadhi hiyo kuendelea kuhamsisha wananchi kutembelea hifadhi zetu ili kujionea urithi tuliopewa na...
9 years ago
MichuziUmoja wa Mataifa waanza maadhimisho ya miaka 70 kwa kupanda miti Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro
11 years ago
MichuziMTOTO WA MIAKA 9 ATAKA KUWEKA REKODI YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA KUTUMIA NJIA NGUMU
kupanda Mlima Kilimanjaro.
kupanda Mlima Kilimanjaro.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-yfrR6KD4V_I/VYhKKm7B1bI/AAAAAAAAVNk/o6xM1bVxPCI/s72-c/ACACIA_KILIMANJARO.jpg)
ACACIA KUKUSANYA DOLA 200,000 KWA AJILI YA UFADHILI WA ELIMU KWA WATOTO MASKINI, NI KUPITIA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO
![](http://2.bp.blogspot.com/-yfrR6KD4V_I/VYhKKm7B1bI/AAAAAAAAVNk/o6xM1bVxPCI/s640/ACACIA_KILIMANJARO.jpg)
Akizungumza muda mfupi kabla ya kuanza kwa safari ya kupanda mlima Kilimanjaro kwenye lango la Machame,iliyo shirikisha watu 21, Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni...
10 years ago
Mwananchi21 Jul
Aahidi kuwa balozi wa kupanda Mlima Kilimanjaro
11 years ago
MichuziKINAPA YATANGAZA OFA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO.
HIFADHI ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro ,imetoa fursa kwa wananchi wa...