WIMBI LA UKAHABA
![](http://api.ning.com:80/files/YBFp7QfmCZduqhxN-3X2oODBSCjIPSchfy0AZ28DVLNSSF9oXLQQ66ZV-V3YKNeXCPJhTNshf9-ug8C-JI2w-Ia6RCknO-Bg/KAHABA.jpg?width=650)
Stori: Waandishi Wetu, Dar na Morogoro Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa! Mwanadada mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Fadhila Omary, mkazi wa Mbezi jijini Dar ametikisa midume na kuzua gumzo nchini baada ya kukamatwa mkoani Morogogo kwenye msako wa makahaba. KWA NINI? Unaweza ukajiuliza kwa nini amegeuka gumzo lakini jibu ni kwamba ishu hiyo imemkuta hivi karibuni ikiwa ni miezi michache baada ya Mahakama ya Jiji la Dar...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo04 Feb
'Hakuna ukahaba UDOM'
MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Profesa Idris Kikula, ameeleza namna alivyofuatilia na kubaini wasichana wanaofanya vitendo vya kujiuza mjini hapa, wakijifanya ni wanafunzi wa chuo hicho.
10 years ago
BBCSwahili02 Feb
Straus Kahn ahusishwa na ukahaba
10 years ago
Michuzi19 Jan
WIMBI LA KUTEKWA EMAIL ADDRESS
Kuna matukio mengi ya kuteka anuani za watu na kuzitumia kwa maovu hasa kuombea misaada n.k.
Endapo janga hili litakukuta wasiliana nasi ili tuokoe anuani na jumbe zako pamoja na kuzuia maafa yatokanayo na uhalifu huu.Tujulishe mara moja kwa kutuma SMS kwenye simu ifuatayo:
+81-90-8498-9270
Huduma hii ni ya majaribio itatolewa
bure hadi tarehe 30/6/2015.
sent by T.J.Martin.
10 years ago
Mtanzania09 Feb
Mabinti wa ukahaba warudishwa India
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
WASICHANA 22 walioingizwa nchini na mmiliki wa Continental Night Club na Hunters Club, Omprakash Singh kwa ajili ya kufanya biashara ya ukahaba wanarudishwa leo Nepal na India walikotoka.
Akizungumza jana na Mtanzania kwa njia ya simu, Kamishna wa Uhamiaji Udhibiti na Usimamizi wa Mipaka,
Abdallah Abdullah, alisema wasichana hao wanatarajia kuondoka leo baada ya kumaliza matibabu waliyokuwa wakipata.
“Wasichana waliokuwa wanaugua TB na UTI wote wamepona, tiketi...
11 years ago
Habarileo27 Mar
Mabinti wauzwa ukahaba China
WATOTO wa kike wenye umri wa hadi miaka 14 wanadaiwa kufanyishwa biashara ya ukahaba China kutokana na kusafirishwa na baadhi ya Watanzania wasio waaminifu.
11 years ago
BBCSwahili27 Mar
Walaghaiwa kushiriki ukahaba China
11 years ago
BBCSwahili08 Feb
Wimbi la ghasia nchini Bosnia
11 years ago
BBCSwahili04 Feb
WHO yaonya kuhusu wimbi la saratani
11 years ago
Habarileo12 Dec
Wasichana 6 kortini kwa ukahaba
WASICHANA sita wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Sokoine Drive kujibu mashitaka ya kufanya biashara haramu ya ukahaba.