Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANIA YAASWA KUJIFUNZA NA KUCHUKUA HATUA KUFUATIA CHINA KUKATAZA MATUMIZI YA WINDOWS 8

Katika wiki chache zilizopita kulikuwa na msuguano kati ya serikali ya Marekani na China. Serikali ya Marekani inailaumu China kwa kufanya udukuzi kwenye kampuni zake na biashara nyingine, wakati China nayo ikiilaumu Marekani taarifa juu ya hili (inaweza kusomeka "HAPA" ). Uchina baada ya hali hiyo ikaamua kukataza matumizi ya windows 8 kwenye kompyuta zote za serikali na taasisi zote zinazopewa fedha na serikali ya nchi hiyo na hili linaweza kusomeka kwa kirefu na viambatanishi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Ykileo

TANZANIA YAASWA KUJIFUNZA KUTOKA KWA WACHINA KUKATAZA MATUMIZI YA WINDOW 8

Katika wiki chache zilizopita kulikuwa na msuguano kati ya serikali ya Marekani na China , Serikali ya Marekani inailaumu china kwa kufanya udukuzi kwenye kampuni zake na biashara nyingine huku china nayo ikiilaumu marekani taarifa juu ya hili inaweza kusomeka "HAPA" .


Uchina baada ya hali hiyo ikaamua kukataza matumizi ya windows 8 kwenye kompyuta zote za serikali na taasisi zote zinazopewa fedha na serikali ya nchi hiyo na hili linaweza kusomeka kwa kirefu na viambatanishi vingine...

 

5 years ago

BBCSwahili

Hatua za Italia za kudhibiti coronavirus: Taifa zima kuchukua hatua ya kujitenga.

Matembezi ya raia wa Italia wapatao milioni 60 yamedhibitiwa kutokana na mlipuko. Italia ina idadi kubwa zaidi ya vifo vya virusi vya corona baada ya China.

 

9 years ago

Dewji Blog

Wawezeshaji wa kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamtaka serikali kuchukua hatua kunusuru Tembo nchini

tembo-620x308

Miongoni mwa matukio ya tembo kufanyiwa ujangili kwa kutolewa pembe zake kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya marigafi.

Na Rabi Hume

Vijana wa kitanzania ambao wameungana na kuanzisha kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamemtumia barua ya wazi rais Dr. John Magufuli kwa kumtaka serikali yake ichukue hatua za makusudi ili kuokoa tembo waliosalia nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mratibu wa kampeni hiyo Shubert Mwarabu amesema wao kama vijana wameamua kumwandikia barua hiyo rais...

 

9 years ago

Mwananchi

Bavicha watishia kuchukua hatua

Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) limelitaka Jeshi la Polisi kuwakamata na kuwafikisha haraka mahakamani watu wote waliohusika na mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo vinginevyo watachukua hatua mkononi.

 

10 years ago

Mwananchi

Hatua za kuchukua unapoibiwa simu yako

Kama una tabia ya kununua simu zilizotumika kutoka kwa watu au zile mpya barabarani na sio kwenye maduka, unashauriwa kuacha tabia hiyo mara moja kwa sababu inaweza kukuleta shida siku moja .

 

10 years ago

Tanzania Daima

Torongey awataka Chalinze kuchukua hatua

ALIYEKUWA mgombea ubunge Chalinze kwenye uchaguzi mdogo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mathayo Torongey, amewataka wananchi wa jimbo hilo kuacha kulalamika, badala yake wachukue hatua katika uchaguzi ujao....

 

10 years ago

BBCSwahili

Umoja wa mataifa kuchukua hatua Yemen

Baraza la usalama la UN limesema kuwa liko tayari kuchukua hatua zaidi iwapo waasi wa Houthi hawatarudi katika mazungumzo

 

9 years ago

Mwananchi

Hatua za kuchukua kabla ya kuanzisha biashara mpya

Watu wengi wana shauku ya kuanzisha biashara mpya. Inawezekana una wazo kubwa na hata ukimwambia mtu mwingine atakuonyesha dole, ishara kwamba ni wazo zuri na linauza.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uchafuzi mazingira Mwanza na danadana za kuchukua hatua

LICHA ya kuwepo kwa sera na sheria zinazozuia uchafuzi wa mazingira nchini, hali hii inaonekana kuibua mapya katika uongozi wa Jiji la Mwanza. Ingawa wapo baadhi ya watu wanaodaiwa kutiririsha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani