Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wachina na harakati za kujifunza Kiswahili

Hivi karibun nchini Kenya Redio China Kimataifa ilianzisha darasa la kufundisha Kiswahili kwa Wachina waishio Kenya. Lengo kubwa la kufanya hivyo ni kutoa mafunzo ya lugha hiyo ili kuwawezesha Wachina hao kukifahamu Kiswahili na kuweza kuwasiliana na wenyeji katika shughuli zao za kila siku. Darasa hilo maalumu la Kiswahili linahusisha watu wa kada anuwai wakiwamo wafanyabiashara, wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa, Ubalozi wa China na waandishi wa habari.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Ykileo

TANZANIA YAASWA KUJIFUNZA KUTOKA KWA WACHINA KUKATAZA MATUMIZI YA WINDOW 8

Katika wiki chache zilizopita kulikuwa na msuguano kati ya serikali ya Marekani na China , Serikali ya Marekani inailaumu china kwa kufanya udukuzi kwenye kampuni zake na biashara nyingine huku china nayo ikiilaumu marekani taarifa juu ya hili inaweza kusomeka "HAPA" .


Uchina baada ya hali hiyo ikaamua kukataza matumizi ya windows 8 kwenye kompyuta zote za serikali na taasisi zote zinazopewa fedha na serikali ya nchi hiyo na hili linaweza kusomeka kwa kirefu na viambatanishi vingine...

 

10 years ago

Mwananchi

Harakati za Kiswahili EAC

Hivi sasa katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kuna harakati za kuraghabisha maendeleo ya wananchi wa nchi za Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda na Burundi, lengo likiwa kuwashirikisha wananchi wa ngazi mbalimbali katika shughuli za uchumi, siasa, utamaduni, elimu, biashara na masuala ya kijamii.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wachina wanaozungumza kiswahili China

Fatuma Halnur ni baadhi ya Wachina hapa wanaozungumza kiswahili pia. Fatuma, ambaye ni muislamu, ni mwanafunzi katika chuo cha Lugha za kigeni cha Beijing

 

9 years ago

Mwananchi

Kiswahili katika harakati za ukombozi

Hatuwezi kuzungumzia ukombozi wa Afrika bila kukitaja Kiswahili. Inabainishwa kuwa katika Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia (1914 – 1918) na ya pili mwaka (1939-1945) na katika mapambano ya nchi za Kiafrika dhidi ya ukoloni, Kiswahili kilikuwa miongoni mwa lugha za harakati za ukombozi zilizotumika. Katika miongo miwili ya mapambano ya kupata uhuru kwa nchi za Afrika, Kiswahili kilishuhudiwa kushika kasi.

 

10 years ago

Mwananchi

Harakati za Waingereza kukuza Kiswahili

Waingereza walipochukua koloni la Tanganyika kutoka kwa Wajerumani, walikuta Kiswahili kimeimarika na kutumika katika utawala na maeneo mengine.

 

11 years ago

Mwananchi

KISWAHILI KWA WANAFUNZI: Ngeli tisa za Kiswahili na upatanisho wa kisarufi

Ngeli ni vikundi vya majina ya Kiswahili. Ngeli za nomino ni utaratibu unaotumika kuweka nomino katika matabaka au makundi yanayofanana.

 

10 years ago

Vijimambo

DARASA LA KISWAHILI DMV KUWAKILISHA LUGHA YA KISWAHILI KATIKA SIKU YA MAONYESHO YA WHITE OAK CENTER

Image result for atc metro DMVJUMUIYA YA WATANZANIA DMV INAWAKARIBISHA WATOTO WOTE KUSHIRIKI SIKU YA WHITE OAK CENTER ; SAA 5:00 ASUBUHU HADI SAA 8:00 MCHANA1700 April Lane, Silver Spring
240-777-6940FAX 240-777-6941
KUTAKUWA NA NA MOON BOUNCE,FIRE MAN,FIRE TRUCKS, CLOWNS, ICE CREAM ,HOT DOGS,PIZZA,COTTON CANDY, NA MENGINE  MINGINE .

KIINGILIO  BUREEEEE        











 

11 years ago

Michuzi

CHUO KIKUU CHA IRINGA WAZINDUA TAWI LA WANAFUNZI WANAOSOMA KISWAHILI AFRIKA MASHARIKI, WATAKA KATIBA MPYA KISWAHILI KIPEWE NAFASI

Mlezi wa chama  cha Chawakama na mwalimu wa kiswahili chuo kikuu cha Iringa Tulla Tweve  akitambulisha  wageni Mmoja kati ya  viongozi akieleza malengo ya Chawakama Mwalimu Chalamila akieleza  maana ya lugha ya kiswahili Mwalimu wa kiswahili  chuo cha Iringa ambae ni msanii wa wimbo wa Mufindi yetu  akiburudisha Wanachama  wakicheza  na msanii  huyo.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani