Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Harakati za Waingereza kukuza Kiswahili

Waingereza walipochukua koloni la Tanganyika kutoka kwa Wajerumani, walikuta Kiswahili kimeimarika na kutumika katika utawala na maeneo mengine.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Harakati za Kiswahili EAC

Hivi sasa katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kuna harakati za kuraghabisha maendeleo ya wananchi wa nchi za Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda na Burundi, lengo likiwa kuwashirikisha wananchi wa ngazi mbalimbali katika shughuli za uchumi, siasa, utamaduni, elimu, biashara na masuala ya kijamii.

 

9 years ago

Mwananchi

Wachina na harakati za kujifunza Kiswahili

Hivi karibun nchini Kenya Redio China Kimataifa ilianzisha darasa la kufundisha Kiswahili kwa Wachina waishio Kenya. Lengo kubwa la kufanya hivyo ni kutoa mafunzo ya lugha hiyo ili kuwawezesha Wachina hao kukifahamu Kiswahili na kuweza kuwasiliana na wenyeji katika shughuli zao za kila siku. Darasa hilo maalumu la Kiswahili linahusisha watu wa kada anuwai wakiwamo wafanyabiashara, wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa, Ubalozi wa China na waandishi wa habari.

 

9 years ago

Mwananchi

Kiswahili katika harakati za ukombozi

Hatuwezi kuzungumzia ukombozi wa Afrika bila kukitaja Kiswahili. Inabainishwa kuwa katika Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia (1914 – 1918) na ya pili mwaka (1939-1945) na katika mapambano ya nchi za Kiafrika dhidi ya ukoloni, Kiswahili kilikuwa miongoni mwa lugha za harakati za ukombozi zilizotumika. Katika miongo miwili ya mapambano ya kupata uhuru kwa nchi za Afrika, Kiswahili kilishuhudiwa kushika kasi.

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WAASWA KUKUZA KISWAHILI

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Maendendeleo ya Utamaduni Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Kitengo cha Lugha Hajaty Shani Kitogo akizindua vitabu viwili vya Kuzaliwa kwa Msafiri na Hadithi za Watoto ambavyo vimetayarishwa na Kituo cha Utamaduni cha India.Hafla hiyo imefanyika jana jijini Dar es Salaam Balozi wa India nchini Debnath Shaw kushoto akimkabidhi vitabu mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Makumbusho Sabrina Komba mara baada ya uzinduzi wa vitabu hivyo ...

 

10 years ago

Mwananchi

Ushirikiano kukuza Kiswahili muhimu

Ushirikiano wa pamoja baina wa vyombo vinavyokuza lugha ya Kiswahili unahitajika sana. Ushirikiano huu unahitajika ndani ya nchi na pia nje ya nchi. Kwa mfano ndani ya nchi yetu ya Tanzania viko vyombo vya serikali na vya watu binafsi ambavyo vinajishughulisha na lugha ya Kiswahili.

 

10 years ago

Mwananchi

Ukosefu wa uzalendo, utashi wa kisiasa katika kukuza Kiswahili

Niliwahi kuandika kwamba Serikali imeshindwa kutekeleza majukumu yake ya kimataifa kuhusu kukiendeleza Kiswahili.

 

5 years ago

Michuzi

UNESCO YATAMBUA KISWAHILI KAMA LUGHA ITAKAYOSAIDIA KUKUZA UTANGAMANO BARANI AFRIKA

 


Mhe. Balozi Shelukindo (wa pili kushoto) akiwa na baadhi ya Wajumbe kutoka UNESCO wakiangalia machapisho mbalimbali ya Lugha ya Kiswahili yaliyoandaliwa na Ubalozi baada ya kushiriki mjadala kuhusu Lugha ya Kiswahili ulioandaliwa na Ubalozi kwa kushirikiana na UNESCO.

Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa na Mwakilishi wa Kudumu katika UNESCO, Mhe. Samwel Shelukindo akizungumza kwenye Mjadala kuhusu "Fursa na Changamoto za Kukitambua Kiswahili kama Lugha rasmi ya Bara la Afrika kwa ajili...

 

10 years ago

Vijimambo

SHULE ZA MOSHI MJINI MJADALA WA KUKUZA NA KUDUMISHA KISWAHILI NA KUINUA KIWANGO CHA ELIMU, MGENI RASMI KIJANA DAUDI MRINDOKO

Mjadala kubwa wa kukuza na kudumisha lugha ya Kiswahili ulitawala katika Debate iliyofanyika mjini Moshi,mdahalo huo uliudhuriwa na walimu pamoja na wanafunzi kutoka shule za Secondary...Korongoni Secondary / Regnal Mengi Secondary / Bendel secondary / Mother Theresa Secondary na zinginezo katika mdahalo huo mgeni rasmi alikuwa Kijana Daudi Babu Mrindoko mwenyekiti wa tahasisi ya Wazalendo Tanzania pia mjumbe wa Uvccm mkoa kilimanjaro.Wanafunzi wa shule hizo wamedhamiria kukikuza,kukidumisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani