Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kiswahili katika harakati za ukombozi

Hatuwezi kuzungumzia ukombozi wa Afrika bila kukitaja Kiswahili. Inabainishwa kuwa katika Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia (1914 – 1918) na ya pili mwaka (1939-1945) na katika mapambano ya nchi za Kiafrika dhidi ya ukoloni, Kiswahili kilikuwa miongoni mwa lugha za harakati za ukombozi zilizotumika. Katika miongo miwili ya mapambano ya kupata uhuru kwa nchi za Afrika, Kiswahili kilishuhudiwa kushika kasi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

MWAJEMI KALUFYA : Alianza harakati za ukombozi wa mwanamke 1969

Katikati ya kundi la wanawake wanaharakati kutoka vyuo vikuu na wanataaluma, aliibuka Mwajemi Kalufya akitambulishwa kuwa ni miongoni mwa wakongwe waliosaidia kutetea haki za wanyonge, hasa wanawake wenzao.

 

10 years ago

Dewji Blog

Zitto na ACT Wazalendo ‘waanza harakati za ukombozi Songea wafungua matawi kila kona

Mwenyekiti Anna Mngwira, baada ya Kuzindua ofisi za Mkoa  za chama cha ACT Mkoani Ruvuma.

Wafuasi wa ACT wakiwa kwenye msafara wa kuwapokea viongozi  wa chama hicho Mjini Songea Mkoani Ruvuma.

Wafuasi wa ACT wakiwa kwenye msafara wa kuwapokea viongozi wa chama hicho Mjini Songea Mkoani Ruvuma.

NA MWANDISHI WETU

MJI wa Songea jana ulizizima kwa mapokezi makubwa  ya viongozi wa  Chama cha ACT-Wazalendo wakiongozwa na kiongozi wa chama hicho Zitto Kabwe.

Zitto, ambaye ameambatana na viongozi wengine wa juu wa ACT akiwemo Mwenyekiti wa ACT Taifa, Anna Mghwira pamoja na Katibu Mkuu wake Samson Mwigamba.

Viongosi hao walisili jana mjini hapa  ambapo walilakiwa na mamia ya wananchi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Harakati za Kiswahili EAC

Hivi sasa katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kuna harakati za kuraghabisha maendeleo ya wananchi wa nchi za Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda na Burundi, lengo likiwa kuwashirikisha wananchi wa ngazi mbalimbali katika shughuli za uchumi, siasa, utamaduni, elimu, biashara na masuala ya kijamii.

 

10 years ago

Mwananchi

Harakati za Waingereza kukuza Kiswahili

Waingereza walipochukua koloni la Tanganyika kutoka kwa Wajerumani, walikuta Kiswahili kimeimarika na kutumika katika utawala na maeneo mengine.

 

9 years ago

Mwananchi

Wachina na harakati za kujifunza Kiswahili

Hivi karibun nchini Kenya Redio China Kimataifa ilianzisha darasa la kufundisha Kiswahili kwa Wachina waishio Kenya. Lengo kubwa la kufanya hivyo ni kutoa mafunzo ya lugha hiyo ili kuwawezesha Wachina hao kukifahamu Kiswahili na kuweza kuwasiliana na wenyeji katika shughuli zao za kila siku. Darasa hilo maalumu la Kiswahili linahusisha watu wa kada anuwai wakiwamo wafanyabiashara, wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa, Ubalozi wa China na waandishi wa habari.

 

10 years ago

Vijimambo

DARASA LA KISWAHILI DMV KUWAKILISHA LUGHA YA KISWAHILI KATIKA SIKU YA MAONYESHO YA WHITE OAK CENTER

Image result for atc metro DMVJUMUIYA YA WATANZANIA DMV INAWAKARIBISHA WATOTO WOTE KUSHIRIKI SIKU YA WHITE OAK CENTER ; SAA 5:00 ASUBUHU HADI SAA 8:00 MCHANA1700 April Lane, Silver Spring
240-777-6940FAX 240-777-6941
KUTAKUWA NA NA MOON BOUNCE,FIRE MAN,FIRE TRUCKS, CLOWNS, ICE CREAM ,HOT DOGS,PIZZA,COTTON CANDY, NA MENGINE  MINGINE .

KIINGILIO  BUREEEEE        











 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA WIKI YA UKOMBOZI BARA LA AFRIKA,WANAWAKE WAELEZA NAMNA WALIVYOSHIRIKI KATIKA UKUMBOZI

 Mwenyekiti wa Bodi ya AICC na Mgeni Rasmi wa Maadhimisho ya wiki ya Ukombozi wa Bara la Afrika, Balozi Christopher Liundi akikata utepe katika maadhimisho hayo ikiwa leo ni siku ya Kuona Mchango wa Wanawake katika Ukombozi wa Bara la Afrika, maadhimisho hayo yamefanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.Profesa Ruth Meene akizungumza na baadhi ya wanafunzi na watu wengine waliohudhuria (hawapo pichani) ili kujua mchango wa wanawake katika ukombozi wa Bara la Afrika,...

 

11 years ago

Mwananchi

10 years ago

Vijimambo

KANISA LA BAPTIST ALILOKUA AKITUMIA DR KING KATIKA HARAKATI ZA KUPINGA UBAGUZI

 Kanisa la Baptist lililopo jiji la Birmingham jimbo la Alabama kanisa alilokua akilitumia Dr. Martin Luther King miaka ya 1965 katika kuendeleza harakati za kupinga ubaguzi wa Wamarekani weusi mpaka kupelekea kanisa hili kupigwa bomu lililoua watoto wanne. Kanisa hili lipo barabara ya 16 N na barabara ya 6 N kwenye mji huo wa Birmingham.Watu kutoka kila kona ikiwemo Vijimambo wakitengeneza historia ya kufika mahali ambapo Dr. Martin Luther King alipatumia kuendeleza harakati zake za kupinga...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani