DARASA LA KISWAHILI DMV KUWAKILISHA LUGHA YA KISWAHILI KATIKA SIKU YA MAONYESHO YA WHITE OAK CENTER
JUMUIYA YA WATANZANIA DMV INAWAKARIBISHA WATOTO WOTE KUSHIRIKI SIKU YA WHITE OAK CENTER ; SAA 5:00 ASUBUHU HADI SAA 8:00 MCHANA1700 April Lane, Silver Spring
240-777-6940FAX 240-777-6941
KUTAKUWA NA NA MOON BOUNCE,FIRE MAN,FIRE TRUCKS, CLOWNS, ICE CREAM ,HOT DOGS,PIZZA,COTTON CANDY, NA MENGINE MINGINE .
KIINGILIO BUREEEEE
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo24 Nov
UANDIKISHAJI WA WANAFUNZI DARASA LA KISWAHILI DMV
UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV UNAWATAARIFU
KUHUSU UFUNGUZI RASMI WA MADARASA YA LUGHA YA KISWAHILI
Uandikishaji wa shule ya kujifunza lugha ya kiswahili utaanza rasmi tarehe 1/12/2014
Kutakuwa na madarasa mawili kila Jumamosi kuanzia tarehe 10/1/2015 saa 9:00 mchana hadi saa 11:00 Jioni.
Kuandikisha watoto wa miaka 3 hadi 5 wasiliana naBernadeta Kaiza namba (240) 704-5891.Kwa umri wa miaka 6 na kuendelea, hata watu wazima wasiliana na Asha Nyang’anyi namba (301) 793-2833.
...
10 years ago
VijimamboDARASA LA KISWAHILI DMV JUMAMOSI MARCH 28, 2015
Mwalimu Asha Nyang'anyi akiwafundisha kiswahili watoto wa wazazi wa Tanzania wanajifunza kuzungumuza ikiwemo kusoma na kuandika lugha ya kiswahili katika Darasa la kiswahili linaloendelea kila siku ya Jumamosi kuanzia saa 9 alasiri mpaka saa 12 jioni Silver Spring, Maryland na darasa likiwa chini ya Jumuiya ya Watanzania DMV.
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/mrC6uF2HbH4/default.jpg)
10 years ago
VijimamboMsimu wa pili wa Darasa la Kiswahili waanza rasmi DMV
Awamu ya pili ya Darasa la Kiswahili kwa watoto waishio Washington DC na vitongoji vyake umeanza Jumamosi ya Januari 24, 2015. Rais wa Jumuiya Bw Iddi Sandaly alipata fursa ya kuzungumza nasi kwa ufupi kuhusu darasa hilo.
Karibu umsikilize
10 years ago
Vijimambo09 Jan
TANGAZO MAALUM: UFUNGUZI RASMI WA DARASA LA KISWAHILI DMV.
Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania unapenda kuwatangazia watanzania wote wanaoishi maeneo ya Washington DC, Maryland na Virginia kuhusu Madarasa ya Kiswahili yatakayoanza rasmi tarehe 24 January, 2015.
White Oak Community Recreation Center,1700 April Lane, Silver Spring, MD 20904 Kuanzia tarehe 24/1/2015 Saa 9 mchana – 11 Jioni kila Jumamosi
![](http://www.columbiaengineering.com/Lists/Photos/Community/White%20Oak%20Community%20Center.jpg)
Kwa maelezo zaidi wasiliana na viongozi wafuatao:
Rais- Iddy Sandaly (301) 613-5165Makamu wa Rais – Harriet...
11 years ago
GPLJANUARY MAKAMBA ATEMBELEA DARASA LA KISWAHILI DMV
Naibu Waziri wa mawasiliano, sayansi na teknologia, Mhe. January Makamba akiongozana na Afisa Ubalozi Mindi Kasiga siku ya Jumamosi Dec 7, 2013 College Park Maryland, siku alipotembelea darasa la Kiswahili DMV.
Mhe. January Makamba akisalimiana na viongozi wa Jumuiya ya Watanzania mara tu alipoingia kwenye darasa hilo Jumamosi Dec 7, 2013 College Park, Maryalnd.…
...
11 years ago
MichuziMISS TANZANIA USA PAGEANT JOY KALEMERA ATEMBELEA DARASA LA KISWAHILI DMV
11 years ago
GPLMISS TANZANIA USA PAGEANT, JOY KALEMERA ATEMBELEA DARASA LA KISWAHILI DMV
Joy Kalemera (wapili toka kulia) akiwa College Park Maryland alipowatembelea darasa la kiswahili DMV siku ya Jumamosi Feb 8, 2014. Wengine katika picha ni waratibu wa Miss Tanzania USA akiwemo mkurugenzi Ma Winny Casey (wa kwanza kushoto) .
 Wanafunzi wa darasa la kiswahili DMV wakimsalimia Miss Tanzania USA Pageant na kumwimbia nyimbo mbalimbali za kiswahili ukiwemo wimbo wa… ...
9 years ago
Mwananchi03 Nov
Jiendeleze katika lugha ya Kiswahili
Watu makini katika lugha ya Kiswahili waliwahi kusema kuwa njia pekee za kukieneza na kukiimarisha Kiswahili ni kuandaa maandishi ambayo yatasomwa na watu wengi kwa kuzingatia msemo usemao, “Watu hupenda kusikia lakini zaidi sana hutaka kuonaâ€. Kwa hiyo kwa kupitia njia ya uandishi itawezesha kusaidia habari kusomwa na kuenea sehemu kubwa ya nchi na watu wengi wakasoma maandishi hayo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania