Msimu wa pili wa Darasa la Kiswahili waanza rasmi DMV
Sehemu ya wanafunzi, wazazi, mwalimu na viongozi wa jumuiya waliohudhuria siku ya kwanza ya darasa la Kiswahili DMV
Awamu ya pili ya Darasa la Kiswahili kwa watoto waishio Washington DC na vitongoji vyake umeanza Jumamosi ya Januari 24, 2015. Rais wa Jumuiya Bw Iddi Sandaly alipata fursa ya kuzungumza nasi kwa ufupi kuhusu darasa hilo.
Karibu umsikilize Sehemu ya wanafunzi wakimsikiliza Mwalimu Asha Nyang'anyi. Kushoto kwake ni Katibu wa Jumuiya ya waTanzania hapa DMV Said Mwamende
Baadhi ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo09 Jan
TANGAZO MAALUM: UFUNGUZI RASMI WA DARASA LA KISWAHILI DMV.
Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania unapenda kuwatangazia watanzania wote wanaoishi maeneo ya Washington DC, Maryland na Virginia kuhusu Madarasa ya Kiswahili yatakayoanza rasmi tarehe 24 January, 2015.
White Oak Community Recreation Center,1700 April Lane, Silver Spring, MD 20904 Kuanzia tarehe 24/1/2015 Saa 9 mchana – 11 Jioni kila Jumamosi
![](http://www.columbiaengineering.com/Lists/Photos/Community/White%20Oak%20Community%20Center.jpg)
Kwa maelezo zaidi wasiliana na viongozi wafuatao:
Rais- Iddy Sandaly (301) 613-5165Makamu wa Rais – Harriet...
10 years ago
VijimamboDARASA LA KISWAHILI DMV KUWAKILISHA LUGHA YA KISWAHILI KATIKA SIKU YA MAONYESHO YA WHITE OAK CENTER
240-777-6940FAX 240-777-6941
KUTAKUWA NA NA MOON BOUNCE,FIRE MAN,FIRE TRUCKS, CLOWNS, ICE CREAM ,HOT DOGS,PIZZA,COTTON CANDY, NA MENGINE MINGINE .
KIINGILIO BUREEEEE
![](http://www.columbiaengineering.com/Lists/Photos/Community/White%20Oak%20Community%20Center.jpg)
10 years ago
Vijimambo24 Nov
UANDIKISHAJI WA WANAFUNZI DARASA LA KISWAHILI DMV
UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV UNAWATAARIFU
KUHUSU UFUNGUZI RASMI WA MADARASA YA LUGHA YA KISWAHILI
Uandikishaji wa shule ya kujifunza lugha ya kiswahili utaanza rasmi tarehe 1/12/2014
Kutakuwa na madarasa mawili kila Jumamosi kuanzia tarehe 10/1/2015 saa 9:00 mchana hadi saa 11:00 Jioni.
Kuandikisha watoto wa miaka 3 hadi 5 wasiliana naBernadeta Kaiza namba (240) 704-5891.Kwa umri wa miaka 6 na kuendelea, hata watu wazima wasiliana na Asha Nyang’anyi namba (301) 793-2833.
...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/mrC6uF2HbH4/default.jpg)
10 years ago
VijimamboDARASA LA KISWAHILI DMV JUMAMOSI MARCH 28, 2015
Mwalimu Asha Nyang'anyi akiwafundisha kiswahili watoto wa wazazi wa Tanzania wanajifunza kuzungumuza ikiwemo kusoma na kuandika lugha ya kiswahili katika Darasa la kiswahili linaloendelea kila siku ya Jumamosi kuanzia saa 9 alasiri mpaka saa 12 jioni Silver Spring, Maryland na darasa likiwa chini ya Jumuiya ya Watanzania DMV.
11 years ago
GPLJANUARY MAKAMBA ATEMBELEA DARASA LA KISWAHILI DMV
11 years ago
MichuziMISS TANZANIA USA PAGEANT JOY KALEMERA ATEMBELEA DARASA LA KISWAHILI DMV
11 years ago
GPLMISS TANZANIA USA PAGEANT, JOY KALEMERA ATEMBELEA DARASA LA KISWAHILI DMV
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-Q0Pa4RyHSes/VMg9InMGcCI/AAAAAAAAH1Q/sP_NxrcZI2U/s72-c/Darasa%2Bla%2Bkiswahili%2BDMV.jpg)
Darasa la Kiswahili DMV. Jumamosi hii na kila jumamosi
![](http://3.bp.blogspot.com/-Q0Pa4RyHSes/VMg9InMGcCI/AAAAAAAAH1Q/sP_NxrcZI2U/s640/Darasa%2Bla%2Bkiswahili%2BDMV.jpg)
Sasa linafanyika kila Jumamosi kuanzia saa 9 kamili alasiri mpaka saa 11 kamili jioni
Anwani ni...
1700 April Lane,
Silver Spring, MD 20904
KARIBUNI NYOTE