Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JANUARY MAKAMBA ATEMBELEA DARASA LA KISWAHILI DMV‏

Naibu Waziri wa mawasiliano, sayansi na teknologia, Mhe. January Makamba akiongozana na Afisa Ubalozi Mindi Kasiga siku ya Jumamosi Dec 7, 2013 College Park Maryland, siku alipotembelea darasa la Kiswahili DMV.
Mhe. January Makamba akisalimiana na viongozi wa Jumuiya ya Watanzania mara tu alipoingia kwenye darasa hilo Jumamosi Dec 7, 2013 College Park, Maryalnd.…
...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MISS TANZANIA USA PAGEANT, JOY KALEMERA ATEMBELEA DARASA LA KISWAHILI DMV‏

Joy Kalemera (wapili toka kulia) akiwa College Park Maryland alipowatembelea darasa la kiswahili DMV siku ya Jumamosi Feb 8, 2014. Wengine katika picha ni waratibu wa Miss Tanzania USA akiwemo mkurugenzi Ma Winny Casey (wa kwanza kushoto) .
 Wanafunzi wa darasa la kiswahili DMV wakimsalimia Miss Tanzania USA Pageant na kumwimbia nyimbo mbalimbali za kiswahili ukiwemo wimbo wa… ...

 

11 years ago

Michuzi

MISS TANZANIA USA PAGEANT JOY KALEMERA ATEMBELEA DARASA LA KISWAHILI DMV

Joy Kalemera (wapili toka kulia) akiwa College Park Maryland alipowatembelea darasa la kiswahili DMV siku ya Jumamosi Feb 8, 2014. Wengine katika picha ni waratibu wa Miss Tanzania USA akiwemo mkurugenzi Ma Winny Casey (wa kwanza kushoto)  Wanafunzi wa darasa la kiswahili DMV wakimsalimia Miss Tanzania USA Pageant na kumwimbia nyimbo mbalimbali za kiswahili ukiwemo wimbo wa Taifa.  Miss Tanzania USA Pageant akijitambulisha na kuwaambia yeye ni mhandisi anayefanyakazi New Jersey na...

 

10 years ago

Vijimambo

DARASA LA KISWAHILI DMV KUWAKILISHA LUGHA YA KISWAHILI KATIKA SIKU YA MAONYESHO YA WHITE OAK CENTER

Image result for atc metro DMVJUMUIYA YA WATANZANIA DMV INAWAKARIBISHA WATOTO WOTE KUSHIRIKI SIKU YA WHITE OAK CENTER ; SAA 5:00 ASUBUHU HADI SAA 8:00 MCHANA1700 April Lane, Silver Spring
240-777-6940FAX 240-777-6941
KUTAKUWA NA NA MOON BOUNCE,FIRE MAN,FIRE TRUCKS, CLOWNS, ICE CREAM ,HOT DOGS,PIZZA,COTTON CANDY, NA MENGINE  MINGINE .

KIINGILIO  BUREEEEE        











 

10 years ago

Vijimambo

UANDIKISHAJI WA WANAFUNZI DARASA LA KISWAHILI DMV



UONGOZI WA JUMUIYA YA  WATANZANIA DMV UNAWATAARIFU 
KUHUSU UFUNGUZI RASMI WA MADARASA YA LUGHA YA KISWAHILI

Uandikishaji wa shule ya kujifunza lugha ya kiswahili utaanza rasmi tarehe 1/12/2014
Kutakuwa na madarasa mawili kila Jumamosi kuanzia tarehe 10/1/2015 saa 9:00 mchana hadi saa 11:00 Jioni.
Kuandikisha watoto wa miaka 3 hadi 5 wasiliana naBernadeta Kaiza namba (240) 704-5891.Kwa  umri wa miaka 6 na kuendelea, hata watu wazima  wasiliana na Asha Nyang’anyi namba (301) 793-2833.
...

 

10 years ago

Vijimambo

DARASA LA KISWAHILI DMV JUMAMOSI MARCH 28, 2015


Mwalimu Asha Nyang'anyi akiwafundisha kiswahili watoto wa wazazi wa Tanzania wanajifunza kuzungumuza ikiwemo kusoma na kuandika lugha ya kiswahili katika Darasa la kiswahili linaloendelea kila siku ya Jumamosi kuanzia saa 9 alasiri mpaka saa 12 jioni Silver Spring, Maryland na darasa likiwa chini ya Jumuiya ya Watanzania DMV. Watoto wa wazazi wa Kitanzania wakifuatilia somo la Kiswahili. Wanafunzi wa darasa la Kiswahili wakiwa darasani. Mwalimu Asha Nyang'anyi akiwapa somo la lugha ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Msimu wa pili wa Darasa la Kiswahili waanza rasmi DMV

Sehemu ya wanafunzi, wazazi, mwalimu na viongozi wa jumuiya waliohudhuria siku ya kwanza ya darasa la Kiswahili DMV
Awamu ya pili ya Darasa la Kiswahili kwa watoto waishio Washington DC na vitongoji vyake umeanza Jumamosi ya Januari 24, 2015. Rais wa Jumuiya Bw Iddi Sandaly alipata fursa ya kuzungumza nasi kwa ufupi kuhusu darasa hilo.
Karibu umsikilize
Sehemu ya wanafunzi wakimsikiliza Mwalimu Asha Nyang'anyi. Kushoto kwake ni Katibu wa Jumuiya ya waTanzania hapa DMV Said MwamendeBaadhi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

TANGAZO MAALUM: UFUNGUZI RASMI WA DARASA LA KISWAHILI DMV.




Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania unapenda kuwatangazia watanzania wote wanaoishi maeneo ya Washington DC, Maryland na Virginia kuhusu Madarasa ya Kiswahili yatakayoanza rasmi tarehe 24 January, 2015. 
http://2.bp.blogspot.com/-wi1cpjxwRtk/UWClBrUy3nI/AAAAAAABv7g/qTJocYlw-bc/s640/IMG_0402.JPG

 White Oak Community Recreation Center,1700 April Lane, Silver Spring, MD 20904  Kuanzia tarehe 24/1/2015 Saa 9 mchana – 11 Jioni kila Jumamosi



                        Kwa maelezo zaidi  wasiliana na viongozi wafuatao:
Rais- Iddy Sandaly (301) 613-5165Makamu wa Rais – Harriet...

 

10 years ago

Vijimambo

Darasa la Kiswahili DMV. Jumamosi hii na kila jumamosi

Darasa la Kiswahili hapa Washington DC na vitongoji vyake linaratibiwa na Jumuiya ya waTanzania ya hapa DMV
Sasa linafanyika kila Jumamosi kuanzia saa 9 kamili alasiri mpaka saa 11 kamili jioni
Anwani ni...
1700 April Lane,
 Silver Spring, MD 20904
KARIBUNI NYOTE

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani