Zitto na ACT Wazalendo ‘waanza harakati za ukombozi Songea wafungua matawi kila kona
Wafuasi wa ACT wakiwa kwenye msafara wa kuwapokea viongozi wa chama hicho Mjini Songea Mkoani Ruvuma.
NA MWANDISHI WETU
MJI wa Songea jana ulizizima kwa mapokezi makubwa ya viongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo wakiongozwa na kiongozi wa chama hicho Zitto Kabwe.
Zitto, ambaye ameambatana na viongozi wengine wa juu wa ACT akiwemo Mwenyekiti wa ACT Taifa, Anna Mghwira pamoja na Katibu Mkuu wake Samson Mwigamba.
Viongosi hao walisili jana mjini hapa ambapo walilakiwa na mamia ya wananchi wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog06 Apr
Zitto Kabwe na ACT Wazalendo kupeleka Uzalendo Songea Mjini Aprili 10
Na Andrew Chale wa Modewji Blog
Chama cha Wazalendo ACT-Tanzania kinatarajia kufanya mkutano wake Mkoani Ruvuma, Ijumaa ya Aprili 10, katika eneo la Songea Mjini.
Kwa mujibu wa taarifa kupitia kurasa ya twitter ya chama hicho kilieleza kuwa, viongozi wakuu wa chamaa hicho wanatarajiwa kuwa wazungumzaji wakuu huku Mwanachama mwenye mvuto kwa vijana ambaye pia ni msanii Afande Sele kutoka Morogoro naye akitarajiwa kuwapo kwenye mkutano huo na viongozi wa Kitaifa.
Aidha, chama hicho...
9 years ago
MichuziCHAMA CHA ACT WAZALENDO WAFUNGUA KAMPENI ZA CHAMA HICHO IRINGA
![](https://mail.google.com/mail/u/0/images/cleardot.gif)
Na MatukiodaimaBLogCHAMA cha ACT wazalendo kimezindua kampeni zake za ubunge katika jimbo la Iringa huku mgombea wake ubunge katika jimbo hilo Bi Chiku Abwao akivilalamikia baadhi ya vyombo vya habari nchini kwa kukalia habari zake zinazohusiana na uchafu wa mgombea Urais wa chama cha Demokrasia na maendeleo (chadema) anayewakilisha vyama vinavyounda umoja wa...
9 years ago
Mwananchi06 Sep
ACT-Wazalendo waanza kushambulia Kigoma
10 years ago
TheCitizen27 Jul
Act-Wazalendo to go it alone in polls, Zitto says
10 years ago
Mtanzania28 May
Zitto awaonya viongozi ACT-Wazalendo
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameionya sekretarieti ya uongozi wa chama hicho na kuitaka kuishi kwa maadili kwa kuzingatia katiba ya chama na kuitekeleza kwa vitendo.
Amesema uadilifu umekuwa ni changamoto kubwa katika nchi hali inayowafanya watanzania washindwe kuaminiana katika masuala mbalimbali.
Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam juzi alipofungua mkutano wa kwanza wa sekretarieti ya uongozi wa chama hicho.
Alisema iwapo watashindwa kuishi...
9 years ago
Habarileo17 Aug
Zitto aongoza wagombea ubunge ACT-Wazalendo
CHAMA cha ACT Maendeleo kimetoa rasmi majina ya wagombea wake watakaokiwakilisha chama hicho, katika nafasi za ubunge na uwakilishi kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu, huku Kiongozi Mkuu wa chama hicho, Kabwe Zitto akiwania ubunge jimbo la Kigoma mjini.
9 years ago
Habarileo15 Oct
Zitto:ACT Wazalendo ina majibu kero ya maji
KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema serikali itakayotokana na Chama hicho baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu itaanzisha mfuko wa wakala wa maji vijijini kwa ajili ya kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya maji safi na salama kwa uhakika.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-q3yrwKsL4ZI/XkvtKHxvXtI/AAAAAAALd8Y/E-18OpAUTvkp-eRz9yfPRPEKSMiJqr4lgCLcBGAsYHQ/s72-c/Screen-Shot-2020-02-18-at-4.16.39-AM-660x400.png)
ZITTO ACHUKUA FOMU KUWANIA NAFASI YA UONGOZI ACT WAZALENDO
![](https://1.bp.blogspot.com/-q3yrwKsL4ZI/XkvtKHxvXtI/AAAAAAALd8Y/E-18OpAUTvkp-eRz9yfPRPEKSMiJqr4lgCLcBGAsYHQ/s640/Screen-Shot-2020-02-18-at-4.16.39-AM-660x400.png)
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam mara baada ya kuchukua fomu hiyo muda mfupi baada ya kutoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi inayomkabili ambapo katika shauri hilo la uchochezi...
10 years ago
VijimamboMBUNGE CHIKU ABWAO WA CHADEMA AMFUATA ZITTO KABWE ACT-WAZALENDO
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10