Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNESCO YATAMBUA KISWAHILI KAMA LUGHA ITAKAYOSAIDIA KUKUZA UTANGAMANO BARANI AFRIKA

 


Mhe. Balozi Shelukindo (wa pili kushoto) akiwa na baadhi ya Wajumbe kutoka UNESCO wakiangalia machapisho mbalimbali ya Lugha ya Kiswahili yaliyoandaliwa na Ubalozi baada ya kushiriki mjadala kuhusu Lugha ya Kiswahili ulioandaliwa na Ubalozi kwa kushirikiana na UNESCO.

Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa na Mwakilishi wa Kudumu katika UNESCO, Mhe. Samwel Shelukindo akizungumza kwenye Mjadala kuhusu "Fursa na Changamoto za Kukitambua Kiswahili kama Lugha rasmi ya Bara la Afrika kwa ajili...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Nguvu ya lugha ya Kiswahili nje ya mipaka ya Afrika Mashariki

Kiswahili ni lugha pekee ya Afrika ambayo imetambuliwa rasmi na Umoja wa Afrika, ambayo pia inaonesha kuendelea kupata umaarufu.

 

10 years ago

Vijimambo

DARASA LA KISWAHILI DMV KUWAKILISHA LUGHA YA KISWAHILI KATIKA SIKU YA MAONYESHO YA WHITE OAK CENTER

Image result for atc metro DMVJUMUIYA YA WATANZANIA DMV INAWAKARIBISHA WATOTO WOTE KUSHIRIKI SIKU YA WHITE OAK CENTER ; SAA 5:00 ASUBUHU HADI SAA 8:00 MCHANA1700 April Lane, Silver Spring
240-777-6940FAX 240-777-6941
KUTAKUWA NA NA MOON BOUNCE,FIRE MAN,FIRE TRUCKS, CLOWNS, ICE CREAM ,HOT DOGS,PIZZA,COTTON CANDY, NA MENGINE  MINGINE .

KIINGILIO  BUREEEEE        











 

11 years ago

BBCSwahili

Urusi yatambua Crimea kama taifa huru

Rais wa Urusi Vladmir Putin ametia saini ilani ya katiba inayotambua jimbo la Crimea kama taifa huru linaloweza kuwa Urusi.

 

10 years ago

Mwananchi

Kuthamini lugha lugha ya Kiswahili

makala zangu kwa muda mrefu uliopita, nilieleza juu makosa mbalimbali yanayotokea katika magazeti ya Kiswahili hapa nchini. Nilieleza kuwa kipimo cha kujitathmini kwetu kama kweli tunathamini utamaduni wetu ni jinsi tunavyoenzi mila na desturi zetu na hasa lugha yetu ya Kiswahili ambayo ni urithi tuliopata kutoka kwa wazee wetu waliotutangulia. Wazee wetu walijitoa muhanga kuilinda lugha yetu kwa kutunga tenzi, mashairi, hadithi, tambo za aina mbalimbali  na hasa nyimbo, misemo, nahau na...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI LAZARO NYALANDU ASHIRIKI HAFLA YA KUCHANGIA USTAWI WA MISITU KAMA VYANZO MUHIMU VYA MAJI BARANI AFRIKA JIJINI PENNSYLVANIA MAREKAN

1Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (MB) akizungumza katika halfa maalum ya kuchangia ustawi wa misitu kama vyanzo muhimu vya maji barani Afrika iliyoandaliwa na Taasisi ya Africa 6000 International jana mjini Erie, Pennsylvania, Marekani2Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Africa 6000 International Bi. Teresa Murtland akizungumza katika halfa maalum ya kuchangia ustawi wa misitu kama vyanzo muhimu vya maji barani Afrika iliyoandaliwa na Taasisi ya Africa 6000 International jana...

 

11 years ago

Mwananchi

Lugha mama, Unesco, maendeleo ya watu na nchi

Maendeleo ya watu na nchi ni vitu vinavyotakiwa kwenda mbele kwa pamoja. Iwapo kimoja kitaendelea na kingine kukwaza watu , nchi husika hukumbwa na matatizo ya kila aina.

 

10 years ago

Dewji Blog

UNESCO yaahidi kuviendeleza vyombo vya habari jamii kukuza Demokrasia

DSC_0120

 Mwalikishi wa Shirika la Kimataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) ambaye pia ni mshauri na mkufunzi wa redio jamii, Bi. Rose Haji Mwalimu akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO Tanzania, Zulmira Rodrigues kwenye sherehe za uzinduzi wa kituo hicho cha redio jamii Uvinza FM uliofanyika wilayani Uvinza mkoani Kigoma.

Kutoka kushoto ni Meneja wa huduma za kijamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi, Mkurugenzi Mtendaji wa Uvinza FM Radio Bi. Nuru Kalufya, Mgeni rasmi Mkuu wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Lugha sanifu ya Kiswahili.

Katika makala zangu zilizotangulia, nilijikita zaidi katika makosa yanayojitokeza katika magazeti ya Kiswahili ya kila siku. Wanaosoma makala haya baadhi wamefanikiwa kuepuka makosa yao. Ni matumaini yangu kuwa moyo wa kupenda kujiendeleza uendelee kuimarika na kushamiri kwa lengo la kuwa mfano wa kuigwa kwa waandishi wengin

 

9 years ago

Mwananchi

Utafiti wa Lugha ya Kiswahili

Katika mojawapo ya makala zangu, nimewahi       kueleza kuwa mojawapo ya njia za kukiimarisha Kiswahili ili kiwe kweli ni tunu ya taifa ni lazima serikali itoa fedha za kutosha za kufanya utafiti lengo likiwa ni kuimarisha msamiati na istilahi za Kiswahili na hatimaye kuchapisha kamusi za istilahi za taaluma mbalimbali. Tunaweza kufanya hivyo kwa kutumia hazina iliyopo katika lugha zetu za asili zikiwamo lugha za Kibantu na pia zile ambazo siyo za Kibantu. Eneo jingine la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani