Wadau wataka wanahabari walindwe
WADAU wa habari mkoani Mtwara wameiomba serikali kuwawekea ulinzi wa kutosha waandishi wa habari wakati wanapotekeleza majukumu yao. Hayo yalisemwa na mdau wa habari, Mohamed Juma, wakati akichangia mada kwenye...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo11 Jun
Wabunge wataka walindwe na polisi
MBUNGE wa Muhambwe, Felix Mkosamali (NCCRMageuzi) ameomba Serikali iwape ulinzi wa polisi wabunge, kama inavyofanya kwa viongozi wengine, wakiwemo wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya.
11 years ago
Mwananchi06 Jul
Wadau wataka mfumo wa elimu uboreshwe
10 years ago
Habarileo14 Dec
Wadau wataka wabunge EAC kuchaguliwa na wananchi
WANANCHI wametaka wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) kuchaguliwa na wananchi kutoka nchi wanachama badala ya hivi sasa wabunge hao kuchaguliwa na mabunge ya nchi wanazotoka.
10 years ago
Mwananchi03 Nov
Wadau wataka fursa kuwekeza kwenye reli
10 years ago
Habarileo09 Jun
Wadau wa lishe wataka serikali kuongeza bajeti
WADAU wa masuala ya lishe nchini, wameiomba Serikali kuongeza kiwango cha fedha inachotenga kwenye bajeti yake kuhusu masuala ya lishe ili kuongeza nguvu zaidi katika kukabiliana na tatizo la utapiamlo nchini.
10 years ago
MichuziWADAU WATAKA SERIKALI ZISIMAMIE UFUATILIAJI NA TATHMINI YA SDGs
11 years ago
GPLMULTICHOCIE TANZANIA YAFUNGA MWAKA KWA KUSHEREHEKEA NA WANAHABARI, WADAU JIJINI DAR
10 years ago
VijimamboWADAU WATAKA SERIKALI ZISIMAMIE UFUATILIAJI NA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA SDGs
5 years ago
MichuziWADAU WA MAENDELEO WEKENI MAZINGIRA RAFIKI KWA WANAHABARI KUTEKELEZA MAJUKUMU KIPINDI HICHI CHA CORONA
………………………………………………………….
Na Ahmed Mahmoud Arusha .
Imeelezwa kuwa Waandishi wa habari nchini wapo kwenye kipindi kigumu cha kutekeleza majukumu yao wakati huu wa mapambano ya Ugonjwa wa Covid 19 kiuchumi na wadau wametakiwa kujitokeza kusaidia kada hiyo ili iweze kutoa taarifa sahihi na kweli.
Kwa mujibu wa Mdau wa maendeleo jijini Arusha Mwanasheria Maarufu Albert Msando na mmiliki wa The Don ambaye ametoa Barakoa na vitakasa mikono kwa klabu ya waandishi wa habari Mkoa wa Arusha (APC) ikiwa...