Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MULTICHOCIE TANZANIA YAFUNGA MWAKA KWA KUSHEREHEKEA NA WANAHABARI, WADAU JIJINI DAR

Baadhi ya wadau na wanahabari wakijiachia wakati wa sherehe ya kufunga mwaka ya kampuni ya Multichoice Tanzania jana usiku katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Hawa wakiserebuka kwa muziki.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Chama Cha Utabibu wa Dawa Asilia Tanzania chatoa somo kwa Wanahabari jijini dar

Mlezi wa Chama Cha Utabibu wa Dawa Asilia Tanzania (ATME),Mzee Kingunge Ngombale Mwiru (kushoto), akifungua mafunzo kwa wahariri na waandishi wa vyombo vya habari kuhusu tiba asilia, May 15,2014 katika ukumbi wa mikutano NIMR jijini Dar es Salaam,ambapo amewataka Watanzania kuondokana na imani potofu dhidi ya tiba asili na badala yake watumie ili kupona maradhi mbalimbali yanayowakabili (kulia),Mwenyekiti wa Chama cha Utabibu wa Dawa Asili Tanzania (ATME), Bw.Simba Abdulrahmani. Lucey...

 

10 years ago

GPL

MKUTANO WA MWAKA WA WADAU WA MAZINGIRA NA MABADILIKO YA TABIANCHI WAFANYIKA JIJINI DAR

 Picha ya pamoja ya wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi waliohudhuria Mkutano wa wadau wa mambo hayo uliofanyika British Council jijini Dar es Salaa. Mjumbe wa Bodi ya ForumCC, Vera Florida Mugittu akitoa mada wakati wa Mkutano wa Wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi uliofanyika British Council jijini Dar es Salaa.… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

M.K Pub-yafunga shindano la “fanyakweli kiwanjani” kwa kishindo jijini Dar

DSC_1259

Meneja wa chapa ya Tusker toka kampuni ya bia ya Serengeti, Bi. Sialouise Shayo (kulia) akitoa zawadi ya fedha taslim Tsh.100,000/= kwa wahudumu wa baa ya MK iliyopo Kinondoni jijini Dar wakati wa sherehe za kuipongeza baa hiyo ambapo baa hiyo illibuka mshindi wa mwisho wa shindano la Fanyakeli Kiwanjani. Zawadi hiyo ni kwa ajili ya wahudumu wote wa baa hiyo baada ya kufanya kweli kwa kutoa huduma nzuri kwa wateja wa Tusker waliofika kiwanjani hapo. Wakipokea zawadi hiyo kwa niaba ya...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa Mwaka wa Wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi wafanyika jijini Dar es Salaam

ForumCC imewakutanisha wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi kutoka Tanzania Bara na Visiwani Zanzibar katika Mkutano Mkuu wa Mwaka ili kutoa ripoti ya mafanikio na kujadili changamoto zilizopo katika kupambana na mabadiliko ya tabianchi Picha ya pamoja ya wadau wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi waliohudhuria Mkutano wa wadau wa mambo hayo uliofanyika British Counciljijini Dar es SalaaMjumbe wa Bodi ya ForumCC, Vera Florida Mugittu akitoa mada wakati wa Mkutano wa Wadau wa...

 

11 years ago

GPL

GEPF YATOA SEMINA KWA WANAHABARI JIJINI DAR

Meneja Masoko wa GEPF, Aloyce Ntukamazina akita mada katika semina ya wanahabari. Sehemu ya wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari jijini Dar wakimsikiliza Aloyce.…

 

11 years ago

Michuzi

PSPF YATOA ELIMU YA MFUKO WAKE KWA WANAHABARI JIJINI DAR


Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa PSPF, Adam Mayingu akizungumza na Waandishi wa habari pamoja na wadau wa mfuko huo katika semina ya siku moja kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na mfuko huo na fursa mbalimbali pamoja na mafao yanayotolewa na mfuko. 
Miongoni mwa huduma wanazotoa na ikiwa ni huduma ya fao jipya ni Mpango wa Uchangiaji kwa Hiyari  (PSS) ambapo mwanachama anatakiwa kujiunga kwa kiwango cha chini cha shilingi 10,000/= na kuchangia kadri awezavyo kila siku, wiki, Mwezi na...

 

9 years ago

Michuzi

HUAWEI TANZANIA YAKUTANA NA WADAU WA HABARI JIJINI DAR

Mkuu wa Mahusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Huawei, Jimmy Jin akizungumza na waandishi wa habari wa Tanzania na China wakati wa mkutano na waandishi hao uliofanyika Makao makuu ya Kampuni hiyo jijini Dar es Salaam mwanzoni mwa wiki wenye malengo ya kuweka mahusiano mazuri na kati ya waandishi wa habari na Kampuni hiyo.
 Kampuni ya Huawei Tanzania leo hii imewakaribisha waandishi wa habari mbalimbali jijini Dar Es Salaam kupata chai ya asubuhi pamoja na mkutano mfupi kuelezea...

 

9 years ago

Michuzi

SALAMU ZA MWAKA ZA RAIS WA TFF KWA WADAU WA MPIRA WA MIGUU TANZANIA

Ndugu zangu, Kwa niaba ya Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania kupitia kwenu wanahabari ninaomba nitoe salam za mwaka za Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF.
Awali ya yote tumshukuru Mwenyezi Mungu ambaye ametulinda kwa mwaka mzima na kupitia Baraka zake tumeweza kuwa na nguvu, uwezo na hekima za kutimiza majukumu yetu mbalimbali katika kipindi hiki cha mwaka 2015. Tuzidi kumuomba atuvushe salama mwaka 2015.
Ninaomba nichukue fursa hii kuwapongeza Watanzania wenzangu kwa kukamilisha...

 

10 years ago

Michuzi

PSPF YATOA SOMO KWA WADAU WA HABARI JIJINI DAR

 Mkutugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), Adam Mayingu akifafanua jambo wakati akizungumza na Wadau mbali mbali wa Sekta ya Habari wakati wa Semina ya siku moja ya kuelezea shunguli mbali mbali za Mfuko huo kwa Wadau hao, iliyofanyika Machi 31, 2015 kwenye Makao Makuu ya PSPF, Golden Jubilee Tower, jijini Dar es salaam. Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), Neema Muro akitoa maelezo ya Mfuko huo kwa Wadau wa Sekta ya Habari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani