Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HUAWEI TANZANIA YAKUTANA NA WADAU WA HABARI JIJINI DAR

Mkuu wa Mahusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Huawei, Jimmy Jin akizungumza na waandishi wa habari wa Tanzania na China wakati wa mkutano na waandishi hao uliofanyika Makao makuu ya Kampuni hiyo jijini Dar es Salaam mwanzoni mwa wiki wenye malengo ya kuweka mahusiano mazuri na kati ya waandishi wa habari na Kampuni hiyo.
 Kampuni ya Huawei Tanzania leo hii imewakaribisha waandishi wa habari mbalimbali jijini Dar Es Salaam kupata chai ya asubuhi pamoja na mkutano mfupi kuelezea...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RwandAir yakutana na wadau wake katika chakula cha jioni jijini Dar

Wafanyakazi wa Rwandair wakipozi katika picha ya pamoja na zawadi zao, kushoto ni Lucy Ismail RwandAir country manager, Gladys Buhama na Hamida Hamza Reservation staff na kulia ni Eugene Mugisha Airport Station ManagerRwandAir Tanzania Country Manager, Lucy Ismail akifungua sherehe kwa kukaribisha wageni waalikwa na kutambulisha baadhi ya staff,kulia ni Roshni,Lucy, Mayyada,Gladys na mwisho kushoto ni Naina.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

SSRA yakutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari jijini Dar


Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Irene Isaka (kulia) akizunguma wakati wa semina ya wahariri wa vyombo vya habari, iliyofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Picolo, Kawe jijini Dar es Salaam. Kushoto ni baadhi ya wahariri hao.Mkurugenzi wa Utafiti, Tathimini na Sera wa SSRA, Ansgar Mushi akiwasilisha mada kuhusu Mafao ya Pensheni, wakati wa semina hiyo ya wahariri, Dar es Salaam jana.Baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya...

 

9 years ago

Michuzi

NEC YAKUTANA NA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu,Damian Lubuva akizungumza na wamiliki  wa vyombo vya habari (hawapo pichani) jinsi ya tume hiyo inavyofanya kazi kuelekea uchagauzi Mkuu katika mkutano ulifanyika leo katika Ukumbi wa Serena jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dk.Reginard Mengi akichangia maada katika mkutano wa Wamiliki na Vyombo vya habari  uliotishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) uliofanyika leo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

PSPF YATOA SOMO KWA WADAU WA HABARI JIJINI DAR

 Mkutugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), Adam Mayingu akifafanua jambo wakati akizungumza na Wadau mbali mbali wa Sekta ya Habari wakati wa Semina ya siku moja ya kuelezea shunguli mbali mbali za Mfuko huo kwa Wadau hao, iliyofanyika Machi 31, 2015 kwenye Makao Makuu ya PSPF, Golden Jubilee Tower, jijini Dar es salaam. Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), Neema Muro akitoa maelezo ya Mfuko huo kwa Wadau wa Sekta ya Habari...

 

10 years ago

Michuzi

NBC YAKUTANA NA WADAU WA PPF JIJINI ARUSHA

Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano wa Benki ya NBC, William Kallaghe (kushoto) akizungumza huku Mkuu wa Huduma za Rejareja za Kibenki wa NBC, Mongateko Makongoro akimsikiliza katika Mkutano wa 24 wa Wadau na Wanachama wa Mfuko wa PPF uliofanyika hivi karibuni jijini Arusha. Mkuu wa Huduma za Rejareja za Kibenki wa NBC, Mongateko Makongoro akizungumza katika Mkutano huo.Kaimu Mhazini Mkuu wa Benki ya NBC Tanzania, Ivan Tarimo, (wa pili kushoto), akizungumza wakati wa tafrija ya chakula cha jioni...

 

11 years ago

Michuzi

WAANDISHI NA WADAU WA HABARI WAJIUNGA NA MFUKO WA PENSHENI WA PPF HAPO JANA KATIKA UKUMBI WA KARIMJEE, JIJINI DAR

 Mwandishi wa habari, Ndg Francis Dande (wa kwanza kulia) akijaza fomu ya kujiunga na mfuko wa pensheni wa PPF jana  mara baada ya mkutano wa waandishi na wadau wa habari kumalizika katika Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar Es Salaam, Mkutano huo uliandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF ulilenga Kuwapa elimu waandishi na wadau wa habari nchini juu ya huduma nyingine zinazotolewa na Mfuko huo wa PPF. Mwandishi wa Habari wa Kituo Cha Runinga cha ITV, Bi Fatma Almasi Nyangasa akijaza fomu ya...

 

10 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA TANZANIA YAKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI (JUDICIAR MEDIA FORUM) KUJADILI JUU YA MISINGI BORA YA UPASHANAJI HABARI KATIKA UTENDAJI BAINA YA TAASISI HIZO MBILI

 Mhe. Jaji Mstaafu Thomas MIHAYO, Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) akitoa neno katika Mkutano Kati ya Mahakama na Vyombo vya Habari, 'Judiciary Media Forum' unaofanyika Leo katika UKUMBI wa mikutano wa Julius Nyerere International Convention Centre. (JNICC). Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania (wa kwanza kushoto), Mhe. Jaji Mstaafu, Thomas MIHAYO, Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) wa pili kushoto, Mhe. Shaaban Lila, Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania (wa ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani