Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WADAU WA BANDARI NA RELI KUTOKA TANZANIA WAANZA ZIARA YA MAFUNZO UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye tai yenye rangi nyekundu) akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa reli na bandari wa Ubelgiji na Tanzania walionza ziara ya mafunzo leo Ubelgiji. Ziara hiyo ya wiki moja ina lengo la kujifunza mbinu mbalimbali zitakosaidia kuboresha miundombinu ya reli na bandari Tanzania.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WADAU WA BANDARI NA RELI WAKUTANA NA KAMPUNI YA BESIX YA UBELGIJI,PIA WATEMBELEA KIWANDA KINACHOTENGENEZA MTAMBO WA KUZALISHA UMEME UTAKAOPELEKWA BIHARAMULO

Wadau wa bandari na reli wa Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa kampuni ya BESIX ya Ubelgiji baada ya kumaliza kikao cha pamoja na kampuni hiyo. Kampuni ya BESIX ilianzishwa mwaka 1909 na imeajiri watu 19,0000. Mwaka jana kampuni hiyo ilipata faida Euro 2.13 bilioni. Pamoja na mambo mengine, kampuni hiyo imehaidi kusaidia shughuli za jamii Tanzania kupitia taasisi yake inayosaidia shughuli mbalimbali za jamii (BESIX FOUNDATION). Wadau wa reli na bandari wakishuhudia...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wadau wa Reli na Bandari walipotembelea kiwanda cha mitambo ya Umeme cha ABC

DSCF5501

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na jumuiya ya Ulaya Dr Kamala akisikiliza maelezo kutoka kwa uongozi wa kampuni ya Anglo Belgium Corporation ABC inayoshughuikia utengenezaji wa mitambo mbalimbali ya umeme,pichani Balozi Kamala akiwa na wadau kutoka sekta mbalimbali za reli na bandari wakisikiliza kwa makini shughuli zinazofanywa kiwandani hapo.

DSCF5522

Mh. Balozi Dr. Kamala akiwa na wadau toka Tanzania katika kiwanda cha utengenezaji wa mitambo ya umeme kinachojulikana kama Anglo Belgian...

 

11 years ago

GPL

WADAU WA RELI NA BANDARI WALIPOTEMBELEA KIWANDA CHA MITAMBO YA UMEME CHA ABC‏

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Jumuiya ya Ulaya Dr. Kamala akisikiliza maelezo kutoka kwa uongozi wa kampuni ya Anglo Belgium Corporation ABC inayoshughulikia utengenezaji wa mitambo mbalimbali ya umeme, pichani Balozi Kamala akiwa na wadau kutoka sekta mbalimbali za reli na bandari wakisikiliza kwa makini shughuli zinazofanywa kiwandani hapo.  Mh:Balozi Dr Kamala akiwa na wadau toka Tanzania katika… ...

 

10 years ago

Michuzi

Ziara ya mafunzo kutoka U.S. Army War Collage ofisi za Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania umoja wa mataifa

Mhe. Balozi Tuvako Manongi mwishoni mwa wiki alikutana na ujumbe wa wanawajeshi wanafunzi kutoka chuo cha Kijeshi (U.S. Army War Collage) ambao walikuwa katika ziara ya mafunzo. Miongoni mwa wanafunzi yupo Luteni Kanali Juma Sipe kutoka JWTZ. Ungeni huo ulitumia ziara hiyo kujifunza masuala mbalimbali yanayoihusu Tanzania kitaifa na kimataifa na uwepo wake kama nchi mwanachama wa Umoja wa Mataifa, Mhe. Balozi akielezea jambo mbele ya  kikundi  cha wanajeshi wanafunzi  ambao wapo...

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MKUU MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA AKAGUA VICHWA SABA VYA TRENI VILIVYOPO KARAKANA YA RELI MKOANI MORO

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Mhandisi Deusidedit Kakoko ametembelea Karakana ya Reli iliyopo mkoani Morogoro kwa lengo la kukagua matengenezo ya vichwa saba vya treni.

Vichwa hivyo vya treni ndivyo vitakavyosaidia usafirishaji wa mizigo kutoka Bandari ya Dar es Salaam hadi Bandari Kavu ya Kwala-Ruvu pamoja na Yadi ya Ubungo.

Akiwa katika Karakana hiyo leo Mei 8 mwaka huu,Mkurugenzi huyo wa TPA ameelezwa na wataalam wa Karakana hiyo kuwa vichwa vinne vitakamilika...

 

10 years ago

Vijimambo

Ziara ya mafunzo kutoka U.S. Army War Collage Uwakilishi wa Kudumu

 Mhe. Balozi akielezea jambo mbele ya  kikundi  cha wanajeshi wanafunzi  ambao wapo katika  mafunzo  katika chuo cha U.S Army War Collage, wanafunzi hao walipata fursa ya kumuuliza Balozi maswali mbalimbali na ambayo yalijibiwa kwa ufasaha na  Mhe. Balozi Kiongozi wa Msafara akitoa zawadi yao kwa Mhe. Balozi kama kumbukumbu  na shukrani yao kwa kupokelewa na kwa Balozi kutenga muda wake kukutana nao.
 Mhe. Balozi Tuvako  Manongi akiwa katika picha ya pamoja na Wanajeshi kutoka U.S Army War...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Uboreshaji bandari uendane na reli

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) imekuwa katika mchakato wa kuboresha huduma zinazotolewa na bandari za Tanzania hasa Bandari ya Dar es Salaam kwa muda sasa, kitendo kinachostahili kuungwa mkono.

Katika uboreshaji wa huduma hizo, TPA imefungua ofisi ndogo mbili nje ya nchi; moja jijini Lusaka, Zambia na nyingine huko Lubumbashi, DRC ambazo zitawasaidia wafanyabiashara kutoka nchi hizo kufuatilia mizigo yao na kupata huduma bila kusafiri hadi Dar es Salaam.

Tayari...

 

10 years ago

Vijimambo

Maafisa wa Arsenal, waanza ziara yao Tanzania

stones..KLABU ya Arsenal leo imeanza mazungumzo rasmi na makampuni 20 ya hapa nchini kwa lengo la kufungua mahusiano ya kibiashara lakini katika mpango huo makocha wa timu hiyo na baadhi ya nyota waliowahi kutamba watapata fursa ya kudhuru hapa nchini.

Mapema mwenyeji wa wageni hao, Afisa mtendaji mkuu wa EAG Group, Bw Imani Kajura, alisema hii ni fursa sahihi kwa makampuni ya Tanzania kuchangamkia ili kutambulika kimataifa, na kutoa fursa kwa Nchi, kunufaika na miradi ya kijamii itakayoendeshwa kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Japan yajitolea kuboresha reli, bandari

SERIKALI ya Japan imeahidi kuboresha miundombinu nchini. Ahadi hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa  Japan, Noria Mitsuya, kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani